Marekani yadai kumuua mtoto wa Osama Bin Laden, Hamza Bin Laden

Sio kisa ni muislam bali aliwahi kuropoka mwenyewe kwmb atalipiza kisasi cha kuuliwa kwa baba ake (osama) thats why marekani kamsaka kwa udi na uvumba mpk wamemtia mkononi kabla ya kuleta madhara.

Tupia hiyo clip akiongea hayo maneno, maana mzungu kwenu ni kama Mungu.
 
Al qaeda wanakiri osama bin laden ameuawa,

Obama anatangazia osama ameuliwa katika operation iliyotekelezwa na marekani,

familia ya osama wanakiri baba yao ameuliwa na marekani,

mtoto wa osama (hamza) anachaguliwa kuliongoza kundi la al qaeda kushika nafasi ya marehem baba yake,huyu mtoto nae majuzi wameripot ameuawa kwa mashambulio ya anga ya marekani,

serikali ya pakistan wanakiri wazi osama kauliwa na wanajitetea hawakuwa wanajua kuwa amejificha nchini pakistani,

wanajeshi
na intelijensia ya pakistan wanalalamika kwanini marekani imefanya operatin nchini mwao bila kuwashirikisha katika kumkamata na kumuua osama bin laden.

Osama mwenyewe(kama wafanyavyo magaidi wote) toka ithibitike ameuawa hajajitokeza wala kurekodi mkanda wa video hadharani kuwasuta marekani kuwa yuko hai mpaka leo, ilihali enzi akiwa hai zaidi ya mara nne, amekuwa akirelease mkanda wa video kutuma ujumbe mbali mbali kwa wafuasi wake na kuwazodoa marekani

mtanzania(mnyonge) yuko temeke kwa aziz ally na mbagala anasema LILE LILIKUWA PICHA LA MAREKANI KUMUUA OSAMA, OSAMA YUKO HAI, hii ndiyo Tz ya vi-wonder
 
Back
Top Bottom