Marekani yachota akiba ya mafuta kupunguza kupanda kwa bei ya nishati

Marekani pekee karibu wanatumia barrel milion 18 kwa siku. Sasa Biden anasema anatoa barrel milion 80! Si ni utani huo! Mafuta ambayo hayawezi kutosha siku 5 kwa US unasema unapunguza shock ya uhaba wa mafuta duniani!!!

Wafanyabiashara wameona ni utani!
Ulitegemea watoe ngapi?
 
Back
Top Bottom