Marekani: Watanzania 9 miongoni mwa Watu 11 waliohukumiwa kwa kusafirisha dawa za kulevya

Shkuba kafungwa miaka 8,Tiko miaka mitatu na mfullu miaka 4,wale waajemi wa miaka 11,afadhali wamehukumiwa marekani maana hapa bongo wange fungwa maisha,komaeni wanangu jela marekani ni kama hoteli ya five star hapa bongo,huko jela marekani kuna gang inaitwa KUMI415,hao watawalinda sana mtaishi kifalme,kwa wale wafanyabiashara wa unga wanaelewa mchango wa shkuba kwenye hii game,watu wametengeneza maisha kwa mgongo wa shkuba,game litakumiss sana, hopefully utamaliza kifungo salama,baada ya miaka mitatu tiko tunaye tena pale magomeni makanya,pole ni sana wazee wa kazi,hamjafungwa miaka mingi,mtatoka tu
kwa avatar hiyo ya Shkuba na kwa ID hiyo pamoja na haya maoni yako nathubutu kusema wewe ni mmoja wao au ndoto zako ni kuwa mmoja wao.
 
Hilo mbona lipo wazi. Wamerekani wenyewe kama serikali inawatumia Waislam kufanya biashara ya madawa. Ni mpango mahsusi. Si yangu hayo, usome hapa...

Usiende huko.... Bora uishie hpa
Maana ukitaka watu wafunguke Enzi hizo walivyokuwa wanaenda Iran, Pakistan kutokea
Bongo kwa kupewa msaada wa taasisi fulani kbw hpa.... Tutachafua Hali ya hewa humu

Ova
 
Wanarudishwa....watatumikia vifungo hivyo ndani za nchi zao......kwahiyo utapata muda visitors day ukonga au segedansi......
Shkuba kafungwa miaka 8,Tiko miaka 3 na mfullu miaka 4,wale waajemi wa miaka 11, afadhali wamehukumiwa Marekani maana hapa bongo wange fungwa maisha, komaeni wanangu jela marekani ni kama hoteli ya five star hapa bongo, huko jela Marekani kuna gang inaitwa KUMI415, hao watawalinda sana mtaishi kifalme,
kwa wale wafanyabiashara wa unga wanaelewa mchango wa shkuba kwenye hii game, watu wametengeneza maisha kwa mgongo wa shkuba, game litakumiss sana, hopefully utamaliza kifungo salama, baada ya miaka mitatu tiko tunaye tena pale magomeni makanya, poleni sana wazee wa kazi, hamjafungwa miaka mingi, mtatoka tu
 
Mahakama za Marekani wameamua kumkomoa Meko, Meko alitaka wakanyongwe na hata miaka yao ikiisha watarudi bongo watakuta mzee amesha sepa zake Burigi Chato....

Yaani hatakuwa na tofauti na wafungwa wa kitanzania walio mtaani, maana sisi Watanzania tunaishi maisha ya jela tukiwa mtaani, huko state mchizi analindwa na kula ugali wa sembe na mrija......
 
Shkuba kafungwa miaka 8,Tiko miaka 3 na mfullu miaka 4,wale waajemi wa miaka 11, afadhali wamehukumiwa Marekani maana hapa bongo wange fungwa maisha, komaeni wanangu jela marekani ni kama hoteli ya five star hapa bongo, huko jela Marekani kuna gang inaitwa KUMI415, hao watawalinda sana mtaishi kifalme,
kwa wale wafanyabiashara wa unga wanaelewa mchango wa shkuba kwenye hii game, watu wametengeneza maisha kwa mgongo wa shkuba, game litakumiss sana, hopefully utamaliza kifungo salama, baada ya miaka mitatu tiko tunaye tena pale magomeni makanya, poleni sana wazee wa kazi, hamjafungwa miaka mingi, mtatoka tu

Huku Tanganyika kesi zao hazikuisha, bado wanakiporo. Kumbuka Mr. D Uchwara alisema waliamua kuwapeleka kwanza wakatumikie kifungo huko, wakirudi baada ya kifungo waje wamalize kesi zao za madawa. Ngoma bado mbichi wala usifurahi. Wanasubiriwa hapa kwa hamu kubwa sana
 
mahakama hapa bongo hawana ushahidi wowote
 
Shkuba kafungwa miaka 8,Tiko miaka 3 na mfullu miaka 4,wale waajemi wa miaka 11, afadhali wamehukumiwa Marekani maana hapa bongo wange fungwa maisha, komaeni wanangu jela marekani ni kama hoteli ya five star hapa bongo, huko jela Marekani kuna gang ya wabongo inaitwa KUMI415, hao watawalinda sana mtaishi kifalme,
kwa wale wafanyabiashara wa unga wanaelewa mchango wa shkuba kwenye hii game, watu wametengeneza maisha kwa mgongo wa shkuba, game litakumiss sana, hopefully utamaliza kifungo salama, baada ya miaka mitatu tiko tunaye tena pale magomeni makanya, poleni sana wazee wa kazi, hamjafungwa miaka mingi, mtatoka tu

Source: Nimepigiwa simu sasa hivi whatsapp video call na dealer mmoja black America ndo ananipa hiyo habari,na ni mtu ambaye ninayeheshimiana nae sana na nimefanya nae kazi kwa muda mrefu bila shida yeyote,nina uhakika hajanidanganya

Drug dealer mkubwa sana Bongo
kwahiyo ndiyo Pablo Escobar kwa huku Bongo siyo?

Ingawa hata kama amefungwa ameacha familia yake kubwa sana i.e wafuasi wake katika usambazaji wa dawa za kulevya na biashara haramu na hatari kwa wanajamii.
 
Source: Nimepigiwa simu sasa hivi whatsapp video call na dealer mmoja black America ndo ananipa hiyo habari,na ni mtu ambaye ninayeheshimiana nae sana na nimefanya nae kazi kwa muda mrefu bila shida yeyote,nina uhakika hajanidanganya
Kwahiyo wewe nae ni drug dealer mkuu? kwa sababu ukiwa na Rafiki mwizi maana yake ni kwamba wewe nae ni mwizi.
 
Back
Top Bottom