ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,062
- 6,197
Vipi kuhusu mtetezi wa wanyonge anaewajazia polisi ili kuwatisha, kuwapigia na kuwaua hata wapita njia ili tu "washinde" kwa 100%. Huku wasomi "wetu" walojazana wanashangilia kwa matumbo.Kibaraka mwingine huyo kajitokeza!
Hujiulizi kwa nini Waisraeli watetewa sana na marekani!
Mtu anakuja kwako anasema anakuletea amani na kabeba jambia lilojaa damu ya jirani nanyi mliobebewa akili mnamkaribisha!
Totally pathetic walahi!
That’s all