Marekani: Uchambuzi wa data za visa vya corona vilivyofungwa waonesha vifo ni 40%

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,919
15,604
Wanajamvi, US yaendelea kupambana na corona. Hata hivyo, pamoja na juhudi zote imeshika nafasi ya kwanza kwa uwingi wa idadi ya vifo. Ikiwa na vifo zaidi ya 20,000 huku ikiipita Italy na Spain kwa vifo takribani 1000 na 3500, kwa mtiririko.

Uchambuzi wa data za visa vilivyohitimishwa (waliopona na waliokufa) waonesha kuwa watu waliopona ni takriban 30,500 wakati waliokufa ni 20,500.
Kwa maana waliokufa ni asilimia 40 ya visa vilivyofungwa.

Mwazoni mwa janga la corona waMarekani wa Kantalamba walikuwa wakitupigia makelele hapa jamvini kuwa nchi yao ina mapesa na huduma bora za kiafya. Corona kwao (US) haitokuwa tatizo. Tuliwaambia corona sio malaria, corona ina kanuni na taratibu zake za kushambulia na kuua baada ya wiki kadhaa. Tuliwaomba wasubiri wiki kadhaa zipite. Sasa, ni muda muafaka wa wao kuja na majibu hapa jamvini kuhusu hali halisi halisia ya corona nchini Marekani.

Na kama hizi takwimu ni fake watueleze hapa.

Screenshot_2020-04-12-14-33-22-1.png

2020-04-12 14.38.12.png

Screenshot_2020-04-12-14-33-53-1.png
 
Huu uzi wale jamaa kina Sexer Frank Wanjiru Nawamarekani Wengine wa Mozambique Wanaupita Kama Hawauoni

Maana zile koment zao walizozitua masiku kadhaa Nyuma Wanatamani Kuzifuta Ila Ndio Hivyo Tena

Mungu Awape Afuen Na Awaondolee Janga Linalowakabili.....

Sent using My COVID-19
 
Naona unavyosherehekea zawadi yako ya pasaka, corona imekupa raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi wale jamaa kina Sexer Frank Wanjiru Nawamarekani Wengine wa Mozambique Wanaupita Kama Hawauoni

Maana zile koment zao walizozitua masiku kadhaa Nyuma Wanatamani Kuzifuta Ila Ndio Hivyo Tena

Mungu Awape Afuen Na Awaondolee Janga Linalowakabili.....

Sent using My COVID-19
Wacha kunichekesha mkuu, umeamua kuwaita kwa sauti baada ya kuona wanapita kimya kimya, vichwa chini 😂😂😂
 
Wala sijawahi kusherehekea pasaka ila nawakumbusha muje kula matapishi yenu maana awali mulihisi hawa jamaa ni MIUNGU Hawatakaa Wapate Majanga Haya Sasa hivi mnaogopa hata kuchangia

Sent using My COVID-19
Screen short hiyo post yangu niliyoandika US haitopata haya majanga, Kwan miungu wako Waajemi hawafi?
 
Screen short hiyo post yangu niliyoandika US haitopata haya majanga, Kwan miungu wako Waajemi hawafi?
Kwani kuna sehemu nlisema umesema hawapati majanga kijana
Kujua kusoma ni ishu moja na kufahamu unachokisoma ni ishu nyengine ohooo hem soma vyema kijana au huelewi

Sent using My COVID-19
 
Kwani kuna sehemu nlisema umesema hawapati majanga kijana
Kujua kusoma ni ishu moja na kufahamu unachokisoma ni ishu nyengine ohooo hem soma vyema kijana au huelewi

Sent using My COVID-19
Acha kurukaruka kama bisi kikaangoni bwana mdogo, onyesha niliposema au nilipohisi au niliposema nahisi US haitopata majanga. 🤣🤣Ebu onyesha acha porojo
 
Acha kurukaruka kama bisi kikaangoni bwana mdogo, onyesha niliposema au nilipohisi au niliposema nahisi US haitopata majanga. Ebu onyesha acha porojo
C wakat mnatoa maoni yenu kwamba WAAJEMI Wanapigwa na US Sababu Yakupiga Kambi Zao Kule IRAQ ww na Swahib Wako Root mlikua mstari wambele sanaaa

Sent using My COVID-19
 
C wakat mnatoa maoni yenu kwamba WAAJEMI Wanapigwa na US Sababu Yakupiga Kambi Zao Kule IRAQ ww na Swahib Wako Root mlikua mstari wambele sanaaa

Sent using My COVID-19
Onyesha ni vipi au Ni wapi nilihisi Marekani hawezi patwa na majanga kama unavyodai, acha kurukaruka.
 
Back
Top Bottom