MAREKANI: Tweet ya Trump yaongeza vitisho vya mauaji kwa Mbunge mwenye asili ya Somalia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
One of the first ever Muslim members of the US Congress has said that a tweet by President Donald Trump has led to an increase in threats against her life.

Minnesota's Ilhan Omar said the threats were sparked by "violent rhetoric", accusing Mr Trump of stoking right-wing extremism. "It has to stop," she added.

It comes after Speaker of the House Nancy Pelosi announced a new "security assessment to safeguard" the lawmaker.

The tweet showed Ms Omar talking to a US-Muslim group about the 9/11 attacks.

On Monday Mr Trump stepped up his attacks against Ms Omar, calling her "out of control".

He also said Mrs Pelosi "should look at the anti-Semitic, anti-Israel and ungrateful US HATE statements Omar has made" before defending her.
Presentational white space

What's the background?

Congresswoman Omar has become a lightning rod for criticism following her 2018 election.

Mr Trump tweeted on Friday "WE WILL NEVER FORGET" alongside a 43-second edited video showing footage of the 11 September 2001 terrorist attacks, spliced with a speech by Ms Omar.

"Some people did something," she is seen saying, in between footage of planes hitting the World Trade Center, damage to the Pentagon and people fleeing buildings.

BBC
 
.... ila hicho kibinti kina maneno ya shombo sana. Kimebeep wakapiga saa hizi kinalialia ovyo. The way alivyoongea na hiyo taasisi ya kiislamu ni kama vile kufurahia tukio la 9/11. Trump wala hakuongea sana, aliandika maneno ma4 tu: WE WILL NEVER FORGET as a result ni mtafutano kila mahali.
 
Kale kabinti ni kapumbavu sana,pamoja kale kakilaza kenzake,Alexandria Ocarcio Cortez.Haiwezekani utolewe Kenya kwenye lambi ya wakimbizi,upewe uraia USA,na wazazi wako.Halafu uje uongee shombo za kijinga tu.Hata kama kanatofautiana nao,but kaheshim roho za watu 3k waliokufa 9/11.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... kipumbavu sana Mkuu. Culture zilezile za kijinga kanataka kupeleka nchi za watu. Naona hao waliomchagua wanajaribu "kuonja sumu"; na itawatokea puani maana mbegu za kigaidi kanazojaribu kupandikiza sio za kawaida.
 
Huyo mwanamke kwa nini asiende kwao Somalia akaishi huko atoke kwa hao wanaowaita makafiri. Kama hawezi kufanya hivyo basi hana lolote naye ni mnafiki tu.
Hata hao "makafiri" USA siyo kwao Kama udhanivyo, ni wahamiaji tu kama ilivyo kwa Ilhan Omar na historia inaonesha Waislam walifika kabla ya makafiri huko ambako sasa kunaitwa USA.
 
Ms. Omar had every chance to pave the way for other Arab/Somali migrants political space in USA but she is blowing it badly.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hata hao "makafiri" USA siyo kwao Kama udhanizyo, ni wahamiaji tu kama ilivyo kwa Ilhan Omar na historia inaonesha Waislam walifika kabla ya makafiri huko ambako sasa kunaitwa USA.
Acha kutudanganya wewe ajuza usidhani historian ya marekani hatuijui vizuri .

Halafu waislamu huwa mnafuata nini kwenye nchi za makafir nyie watu wa ajabu sana kwanini msiende ishi huko OMan ,Saudis,Jordanian,Sudan

Kila Sikh mnakimbilia UK,US,Canada kufanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.... ila hicho kibinti kina maneno ya shombo sana. Kimebeep wakapiga saa hizi kinalialia ovyo. The way alivyoongea na hiyo taasisi ya kiislamu ni kama vile kufurahia tukio la 9/11. Trump wala hakuongea sana, aliandika maneno ma4 tu: WE WILL NEVER FORGET as a result ni mtafutano kila mahali.
Kwani hiyo september 11 si ilitengenezwa na CIA na Mossad ili kuweza kuingia Iraq na ndo kilichotokea. Somalia hawakuhusika kabisa
 
Kale kabinti ni kapumbavu sana,pamoja kale kakilaza kenzake,Alexandria Ocarcio Cortez.Haiwezekani utolewe Kenya kwenye lambi ya wakimbizi,upewe uraia USA,na wazazi wako.Halafu uje uongee shombo za kijinga tu.Hata kama kanatofautiana nao,but kaheshim roho za watu 3k waliokufa 9/11.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yeye ndo kawaua? waliofanya hicho kitendo ndo wanashoboka mazee
 
Back
Top Bottom