MAREKANI: Tweet ya Trump yaongeza vitisho vya mauaji kwa Mbunge mwenye asili ya Somalia

Kale kamama kajinga sana, kana miaka 40 lakini bado kama kanabalehe hivi, yani ugaidi wa 9/11 kanaita "something" kiutani utani, ni Mara ya tatu hii kanafanya ujinga huu, ni swala la muda tu Huyu poyoyo atajutia actions zake
 
... kipumbavu sana Mkuu. Culture zilezile za kijinga kanataka kupeleka nchi za watu. Naona hao waliomchagua wanajaribu "kuonja sumu"; na itawatokea puani maana mbegu za kigaidi kanazojaribu kupandikiza sio za kawaida.
Amejisahau tatizo
 
Huyu anatakiwa arudishwe hapo Somalia akutane na Alshabab tuone kama ataweza kugombea hata ujumbe wa nyumba kumi.
 
Waafrika tuache utumwa wa kifikra.

Hilo tukio la 9/11 ni kijitukio kidogo tu ukilinganisha na matukio kama Atlantic slave Trade, wazungu waliua over 1 million Africans.Ni sawa tu 9/11 kuitwa ni something.

Lile tukio La charlie huko facebook waliweka mpaka bendera za ufaransa, yaliyotokea huko kenya wazungu wakawa hawana mda.

Imeungua ile cathedral kule france kuna wabantu huku wamelia lakini hawakuwai kulia na matukio ya mafuriko huku africa , meli ya ukerewe, watoto wanaochinjwa , kibiti etc.wazungu wamefanya rooting na piracy za antifacts huku africa zingine zipo huko German, lakini antifacts za france zimefanya watu waanze kulia.

Huyu Trumps tunaemshabikia kaziita nchi zetu shimo la choo., maana wakivua nguo wanadump huku.

Hao wazungu kwa Tamaa zao za mafuta walizuga wanaenda Somalia kutatua matatizo, wakala kichapo wakaamsha mazima.leo wana tweet eti "We will never forget" So hao wakimbizi wa somalio wao ndo waforget.

Haya kuna mzungu anaitwa Paulo katengeneza "dubwasha" kwa malengo yake ya kisiasa huko Rome.limekuja kutupwa huku Africa na wakoloni, imekua Songombingo watu wanatoana mapepo, wanalishana nyoka, wanakula majani, wanakanyagwa mateke, kupigwa vibao.
Mtu unaeungama dhambi kwake ni Tapeli kazi kula sadaka.Wao wazungu hawana mda wanasema "There is no GOD".

Imefikia hatua dada wa Kiafrica anaweka wigi awe kama ladygaga.

Wazungu wamejaribu kwenda kuwachezea watu huko middle east,Zahma walio ipata
Wameishia kusema "they hate us"
Maana wale watu wa jangwani wanasema "bora nikuchinje I cant waste my bullet on a white pig". Mzungu kawaita terrorist na sisi waafrica Tukalimeza, tukasahau Ugaidi tunaofanyiana huku Africa.

Leo wazungu wamegeuza nchi za watu kua arms race. Kila mtu anadondosha swaga zake, syria imekua Gofu. Afu tunawaambia hao wasyria kwanini wasiende kwa waarabu wenzao wanakimbila ulaya.Vile VYUMA vinavyotupwa kule utaenda wapi ?ni lazima uwe sumaku.

And so on and so forth,

Maneno yamekata..................
Ni mpumbavu hataelewa haya maneno
Wapo wazungu weusi na wayahudi weusi wanaotetea mpaka povu linawatoka
Hawajielewi
Bado mzungu anajifisia eti the best sniper aliuwa watu zaidi ya 300
Lakini wairaq snipers na snipers wa kisomali hawasemwi ng'oo
 
Mkuu wa Africa wanashangaza , sijui ata wanaanzaje kujifaharisha kwa wazungu na waarabu , watu waliowafanya kama Mbwa , wnastaajabisha kweli kweli waafrica
 
Hata hao "makafiri" USA siyo kwao Kama udhanivyo, ni wahamiaji tu kama ilivyo kwa Ilhan Omar na historia inaonesha Waislam walifika kabla ya makafiri huko ambako sasa kunaitwa USA.
Waislam walifika lini USA ambao ni 2%au 5% ya whole population. Waislam kila nchi ni Mali Yao .yaani ninyi mna shida Kwa kweli. Tanzania nayo mnasemaga ni Mali yenu. Waarabu waliwalushaga matango pori
 
Acha kutudanganya wewe ajuza usidhani historian ya marekani hatuijui vizuri .

Halafu waislamu huwa mnafuata nini kwenye nchi za makafir nyie watu wa ajabu sana kwanini msiende ishi huko OMan ,Saudis,Jordanian,Sudan

Kila Sikh mnakimbilia UK,US,Canada kufanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule kiuhalisia ndio kuna maisha zaidi ndio maana Trump alipopiga marufuku nchi kadhaa za Kiislam zisikanyage Marekani walianza kuandamana na kulia lia huku wakisema Trump ni mbaguzi. Western countries ndio kuna maisha. Ndio wanaicontrol Dunia world bank ipo kule
 
Waislam walifika lini USA ambao ni 2%au 5% ya whole population. Waislam kila nchi ni Mali Yao .yaani ninyi mna shida Kwa kweli. Tanzania nayo mnasemaga ni Mali yenu. Waarabu waliwalushaga matango pori
Walifika miaka 300 kabla ya wakristo. Na hata babu zako wa Kiafrika waliopelekwa na wazungu huko utumwani wengi wao (Kama si wote) walikuwa ni Waislam. Soma.
 
Kiuhalisia hata Tanzania waarabu walikuja miaka mingi Sana. Hizi dini sio za kugombana sisi watu weusi Hizi dini tuliletewa kutoka uarabuni na uzunguni. Chamsingi hata kama walifika kule miaka 300 uislam haikuwa dini ya Marekani. Waliipeleka tuu Ila mwisho wa siku ukristo ulipoenda wanashindwa competition. Hata ulaya iliwahi ilikuwa inaelekea kuwa Islamic state lakini baadae wakristo wakashamiri na uislam ulaya ukapotea .
 
Waafrika tuache utumwa wa kifikra.

Hilo tukio la 9/11 ni kijitukio kidogo tu ukilinganisha na matukio kama Atlantic slave Trade, wazungu waliua over 1 million Africans.Ni sawa tu 9/11 kuitwa ni something.

Lile tukio La charlie huko facebook waliweka mpaka bendera za ufaransa, yaliyotokea huko kenya wazungu wakawa hawana mda.

Imeungua ile cathedral kule france kuna wabantu huku wamelia lakini hawakuwai kulia na matukio ya mafuriko huku africa , meli ya ukerewe, watoto wanaochinjwa , kibiti etc.wazungu wamefanya rooting na piracy za antifacts huku africa zingine zipo huko German, lakini antifacts za france zimefanya watu waanze kulia.

Huyu Trumps tunaemshabikia kaziita nchi zetu shimo la choo., maana wakivua nguo wanadump huku.

Hao wazungu kwa Tamaa zao za mafuta walizuga wanaenda Somalia kutatua matatizo, wakala kichapo wakaamsha mazima.leo wana tweet eti "We will never forget" So hao wakimbizi wa somalio wao ndo waforget.

Haya kuna mzungu anaitwa Paulo katengeneza "dubwasha" kwa malengo yake ya kisiasa huko Rome.limekuja kutupwa huku Africa na wakoloni, imekua Songombingo watu wanatoana mapepo, wanalishana nyoka, wanakula majani, wanakanyagwa mateke, kupigwa vibao.
Mtu unaeungama dhambi kwake ni Tapeli kazi kula sadaka.Wao wazungu hawana mda wanasema "There is no GOD".

Imefikia hatua dada wa Kiafrica anaweka wigi awe kama ladygaga.

Wazungu wamejaribu kwenda kuwachezea watu huko middle east,Zahma walio ipata
Wameishia kusema "they hate us"
Maana wale watu wa jangwani wanasema "bora nikuchinje I cant waste my bullet on a white pig". Mzungu kawaita terrorist na sisi waafrica Tukalimeza, tukasahau Ugaidi tunaofanyiana huku Africa.

Leo wazungu wamegeuza nchi za watu kua arms race. Kila mtu anadondosha swaga zake, syria imekua Gofu. Afu tunawaambia hao wasyria kwanini wasiende kwa waarabu wenzao wanakimbila ulaya.Vile VYUMA vinavyotupwa kule utaenda wapi ?ni lazima uwe sumaku.

And so on and so forth,

Maneno yamekata..................
Mkuu endelea kuwpiga knucles hao wazungu 'senzi zao'.
Ukimaliza pitia duka la karibu nawe kuna toleo jipya la iPhone, jipatie moja.
 
Back
Top Bottom