MAREKANI: Tweet ya Trump yaongeza vitisho vya mauaji kwa Mbunge mwenye asili ya Somalia

Wote ni wakimbizi tu na nchi yoyote yenye maendeleo imejengwa na wahamiaji
Hata Trump mwenyewe ni mjerumani na ivanka katoka Europe
Watu povu linawatoka kisa msomali au alichoongea?
Africa haitaendelea kwa ubaguzi serikalini
Hii inafanya mwafrika awe mkia kwa kila kitu
Trump mjerumani????????

Na sio kwamba mama yake anaasili ya Scottish?
Mbona unakurupuka vibaya
 
Walifika miaka 300 kabla ya wakristo. Na hata babu zako wa Kiafrika waliopelekwa na wazungu huko utumwani wengi wao (Kama si wote) walikuwa ni Waislam. Soma.
Haya ni maajabu mapya ulimwenguni!😓😓

Yani miaka ya 100,200 n.k Africa kulikuwa na uislamu?
 
Trump mjerumani????????

Na sio kwamba mama yake anaasili ya Scottish?
Mbona unakurupuka vibaya
Unajua tatizo lenu huwa hamjipi homework kidogo tu
Pole sana kwa kukurupuka
Trump mwenyewe alikurupuka mara mbili na kusema baba yake alizaliwa ujerumani wakati alizaliwa N.Y. ingawa ni mjerumani
Hebu kabla ya kujibu uwe unajiridhisha kwanza sawa
 
Kaka achana kabisa na sniper wa kisomali, imebidi mzungu awaachie hii kazi nyumbu wa kiafrica.Mzungu kule anapita mbali sana na sub marine.

Waarabu atleast wamejitahidi kukaza kumaintain their values.Ndo leo mwanamke haendeshi gari inaonekana kama wako rigid.Hapa inaonyesha tu nia ya jamii ya Mwarabu kutunza heshima ya mwanamke.

Ukija huku Africa Tumevurugwa vibaya sana.Mwanamke kawa SEX SLAVE. Eti tunawashangaa Daesh, ma slay Queen wakutosha, ni mwendo wa kutafuta ma sponsor.Maisha ni kudanga, uchumi wa kati.

Kuna mdada kapigwa shoka la kichwani kwa kumpa boyfriend HIV.

Wadada wanapata Degree Africa kwa kutoa rushwa ya ngono.

Wadada wanameza vidonge wakimbizane na wazungu.

Africa mama zetu , dada zetu wamejichubua ngozi wawe kama wazungu.

Kucheat ndo lifestyle #hapa pamoto sana.maana visu na risasi vimetembea sana na wengine kujinyonga

Tunawaiga wazungu kwa mashindano ya wadada kukaa uchi.

Yule mkaka wa arusha akaona isiwe tabu ngoja nikaoelewe ulaya.

Eeeh Mungu nisamehe.

Sasa kati ya huko IRAQ na Africa Wapi kuna sex slave.
Wanahuzunisha sana
Umeongea ukweli mpaka nimeshtuka
Maneno mazito ambayo si wanawake wa kiafrika wala wanaume wanataka kuyasikia
Ila wapo vibaraka wanaona ndio way of life
 
Unajua tatizo lenu huwa hamjipi homework kidogo tu
Pole sana kwa kukurupuka
Trump mwenyewe alikurupuka mara mbili na kusema baba yake alizaliwa ujerumani wakati alizaliwa N.Y. ingawa ni mjerumani
Hebu kabla ya kujibu uwe unajiridhisha kwanza sawa
Ninajua ndio maana ninakushangaa kwa sababu You know nothing about huyo bwana zaidi ya udini usio na maana.

Trump baba yake ni muamerica typically ila mama yake ni m_Scottish
 
Back
Top Bottom