Nini hoja yako? Uchunguzi usifanyike watoe tu adhabu?! Kwa taarifa hata mtu akiua mahakani mbele ya jaji, polisi na muendesha mashtaka lazima uchunguzi ufanyike. Kuna Mambo mengi sana huibuliwa na uchunguzi, Sababu ya kutenda kosa, Kuna mtu nyuma yake au ni yeye tu, nk.Dunia nzima imeona kilicho tokea, kuna haja gani ya kupoteza muda kwenye suala ambalo ni too obvious!!
Nani ambaye hajui kwamba Trump mwenye anaungwa mkono sana na kundi hatarishi la white supremacists aka KKK, kuna tetesi kwamba Trump mwenyewe ni member wa kundi hilo kwa siri.
Kama unakumbuka vizuri wakati wa campaign ya kuwania kiti cha Uraisi, kundi hilo lilijitokeza adhalani na kumpigia campaign Trump, raia wengi huko Merikani wali laani kitendo hicho lakini Trump alikaa kimya - why? Jibu ni kwamba Trump hakulaani kitendo hicho kwa kuwa ni muumini mwenzao katika ushenzi wa ubaguzi wa rangi, mnakumbuka alivyo itukana Afrika pamoja na Waafrika wenyewe alipo ingia madarakani hiyo haikuwa bahati mbaya nae deep down ni mbaguzi wa rangi.
Simuungi mkono Trump na tabia yake lakini namuunga mkono kuitukana Africa na viongozi wake.Dunia nzima imeona kilicho tokea, kuna haja gani ya kupoteza muda kwenye suala ambalo ni too obvious!!
Nani ambaye hajui kwamba Trump mwenye anaungwa mkono sana na kundi hatarishi la white supremacists aka KKK, kuna tetesi kwamba Trump mwenyewe ni member wa kundi hilo kwa siri.
Kama unakumbuka vizuri wakati wa campaign ya kuwania kiti cha Uraisi, kundi hilo lilijitokeza adhalani na kumpigia campaign Trump, raia wengi huko Merikani wali laani kitendo hicho lakini Trump alikaa kimya - why? Jibu ni kwamba Trump hakulaani kitendo hicho kwa kuwa ni muumini mwenzao katika ushenzi wa ubaguzi wa rangi, mnakumbuka alivyo itukana Afrika pamoja na Waafrika wenyewe alipo ingia madarakani hiyo haikuwa bahati mbaya nae deep down ni mbaguzi wa rangi.
Na wananchi wa Africa aliwatukana?! Kama hakuwatuka ilibidi awajumuishe pia kwenye matusi. Ona huyu mwananchi Bukyanagandi anakosoa Uchunguzi kufanyika eti kisa tukio lilifanyika hadharani na watu wote wameona!Simuungi mkono Trump na tabia yake lakini namuunga mkono kuitukana Africa na viongozi wake
This is too obvoius!Dunia nzima imeona kilicho tokea, kuna haja gani ya kupoteza muda kwenye suala ambalo ni too obvious!!
Ndugu siku mkifikia kuishi kwa uhuru angalau kama South Africa au Botswana ndipo mtafahamu umuhimu wa Democrasia. Leo mnajiandaa kuingia uchaguzi mkuu huku chama kimoja kikiwa na ruhusa ya kufanya kitakavyo na bado mnajiita mko huru. Kuna Watanzania wanaishi maisha ya kuhangaika sana ugenini lakini ukiwauliza kwa nini hamtaki kurudi nyumbani wanakwambia bora kuishi kwa uhuru kuliko kuishi kwa hofu.Na wananchi wa Africa aliwatukana?! Kama hakuwatuka ilibidi awajumuishe pia kwenye matusi. Ona huyu mwananchi Bukyanagandi anakosoa Uchunguzi kufanyika eti kisa tukio lilifanyika hadharani na watu wote wameona!
Ili tuendelee tunahitaji Ardhi, watu na siasa Safi hapo kwenye bold ndo tatizo letu kuu.Ndugu siku mkifikia kuishi kwa uhuru angalau kama South Africa au Botswana ndipo mtafahamu umuhimu wa Democrasia. Leo mnajiandaa kuingia uchaguzi mkuu huku chama kimoja kikiwa na ruhusa ya kufanya kitakavyo na bado mnajiita mko huru. Kuna Watanzania wanaishi maisha ya kuhangaika sana ugenini lakini ukiwauliza kwa nini hamtaki kurudi nyumbani wanakwambia bora kuishi kwa uhuru kuliko kuishi kwa hofu
Nini hoja yako? Uchunguzi usifanyike watoe tu adhabu?! Kwa taarifa hata mtu akiua mahakani mbele ya jaji, polisi na muendesha mashtaka lazima uchunguzi ufanyike. Kuna Mambo mengi sana huibuliwa na uchunguzi, Sababu ya kutenda kosa, Kuna mtu nyuma yake au ni yeye tu, nk.
Hatafuti kura black ni minority na wengi walikuwa Hillary side.Anatafuta kura za watu weusi?
Ammm sick comment!Uchunguzi gani wakati aliyefanya mauaji ameonekana duniani kote
Mahakama ndiyo itamtia hatiani, bila uchunguzi watapeleka nini mahakamani? Au watasema 'dunia nzima imeona kwenye picha na video, hata wewe jaji umeona' mahakamani sio kijiwe cha kahawa.Uchunguzi gani wakati aliyefanya mauaji ameonekana duniani kote
The criminal justice system hawawezi tu kuharakisha kum-charge for murder because the angry mob demands it au ninyi hata ambao marekani hamkujui mna demand!Uchunguzi gani wakati aliyefanya mauaji ameonekana duniani kote
Trump ni loved man hamjui tu endeleeni kujidanganya!This is too obvoius!
Dunia imeona, ushahidi uko wazi, uchunguzi ili kujua kwanini Polisi alimuua? Au Kumpeleka Mahakamani?
Trump ni mbaguzi sana, anajitahidi kujifichaficha ili apaye kura za weusi, lakini anaonekana kabisa kwa maneno yake na jinsi anavyomuandama Rais Obama. Ana wivu kwanini Obama ametawala vizuri kwa kupendwa halafu yeye watu wanamdis!
Katika kazi zetu sisi hufanya kitu kinaitwa "incident Investigation" lengo ni kufukua madhaifu ili tujifunze isitokee wakati mwingine. Watu wengine watajijufunzaje au watapataje ukweli wa kilichotokea bila investigation. Acheni akili za kutaka kuficha kila kitu kama huku Tz.Dunia nzima imeona kilicho tokea, kuna haja gani ya kupoteza muda kwenye suala ambalo ni too obvious!!