Marekani: Serikali ya Tanzania iweke wazi chanzo Kifo cha aliyedhaniwa kuwa na Ebola

Punguza msongo wa mawazo Mangi.

Kila mahali unazungumza upuuzi tu, hakuna jema

ambalo serikali inafanya na ukapongeza.

.

Kwako mimi sitakiwi ni make any sense!!

Na wewe hutakiwi kutoa sense kwangu pia!

Kuna watu wanaona naongea sense,ila wewe haina haja kuona any sense in me likewise me to you!

Msongo wa mawazo kwako wewe Mr Zacha?Really?

Hakuna jema lolote na sio kazi yangu kuisifia serikali,ni kazi yako!

Kazi yangu mimi ni kuikosoa serikali wewe yako ni kuisifia!

Fanya yako na mimi niache nifanye yangu!

Unaniingilia kazi yangu!
 
Ningekua na mamlaka wazungu wangekubali mbona,, wakileta kamtu kameambukizwa nakamata naua nazika kimya kimya..halafu ulinzi wa kimya kimya naeka wa kutosha huko mipakani yaani namake sure kila anaeingia najua status yake kabla hajavuka hata km 3 ..tungeheshimiana tuu
 
Back
Top Bottom