Marekani: Sera za Rais mteule wa Marekani Mr Trump hazikubaliani na Pentagon wanavyotaka


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,026
Likes
5,487
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,026 5,487 280
mr-trump-jpg.439539


*Making America Great Again*????

Trump's first day at the Oval Office after being elected President.
First briefing by the CIA, Pentagon, FBI...

*Trump:* "We must destroy ISIS immediately.. No delays."

*CIA:* "We cannot do that, sir.. We created them along with Turkey, Saudi,
Qatar and others."

*Trump:* "The Democrats created them."
*CIA:* "We created ISIS, Sir. You need them or else you would lose funding from the natural gas lobby."

*Trump:* "Stop funding Pakistan. Let India deal with them."
*CIA:* "We can't do that Sir."

*Trump:* "Why is that?"
*CIA:* "India will cut Balochistan out of Pakistan."

*Trump:* "I don't care."
*CIA:* "India will have peace in Kashmir and then they will stop buying our weapons. They will then become a superpower.. so we have to fund Pakistan to keep India busy in Kashmir."

*Trump:* "But you have to destroy the Taliban!"
*CIA:* "Sir, we can't do that. We created the Taliban to keep Russia in check during the 80's. Now they are keeping Pakistan busy and away from their nukes."

*Trump:* "We have to destroy terror sponsoring regimes in the Middle East! Let us start with the Saudis."
*Pentagon:* "Sir, we can't do that. We created those regimes because we want their oil. We can't have democracy there, otherwise their people will get that oil; and we cannot let the people own it."

*Trump:* "Then, let us invade Iran at least."
*Pentagon:* "We cannot do that either, Sir."

*Trump:* "Why not?"
*CIA:* "We are talking to them, Sir."

*Trump:* "What? Why?"
*CIA:* "We want our Stealth Drones back. And anyway, if we attack them, Russia will destroy us as they did to our buddy ISIS in Syria... Besides we need Iran to keep Israel in check."

*Trump:* "Then let us invade Iraq again!"
*CIA:* "Sir, our friends ISIS are already occupying 1/3rd of Iraq."

*Trump:* "Why not the whole of Iraq?"
*CIA:* "We need the Shi'ite govt of Iraq to keep ISIS in check."

*Trump:* "I am banning Muslims from entering US."
*FBI:* "We can't do that Sir."

*Trump:* "Why not?"
*FBI:* "Then our own population will become fearless."

*Trump:* "I am deporting all illegal immigrants to south of the border."
*Border patrol:* "You can't do that, sir."

*Trump:* "Why not?"
*Border patrol:* "If they're gone, who will build the wall?"

*Trump:* "I am banning H1B visas."
*USCIS:* "You cannot do that Sir."

*Trump:* "Why?"
*Chief of Staff:* "If you do so, we'll have to outsource White House operations to Bangalore, Which is in India."

*Trump (sweating profusely by now):* "What the hell should I do as President??"
*CIA:* "Enjoy the White House, sir! We will take care of the rest!"
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,697
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,697 280
Mkuu hizo ni story tu za Manhattan.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,026
Likes
5,487
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,026 5,487 280
Mkuu hizo ni story tu za Manhattan.
Tungojee atakavyo kuja kuwa Rais utaona yote aliyoyasema wakati wa kampeni hatoweza kuyafanya hata moja ile ilikuwa ni kampeni ili wapate watu kumchaguwa sio kweli aliyokuw aanayoyasema MR Trump hatowezakuyafanya kamwe. Siasa ni uongo wa hali ya juu. Mii huwa siwaamini Viongozi wa kisiasa hata kam bab yangu ni Mwanasiasa sitoweza kumuamini anayoyasema kuhusu Siasa ninajuwa ana wadanganya watu ili wapate kumchaguwa ili awe ni kiongozi wao,Siasa ni mchezo mchafu sana. Viongozi karibu wote Wanasisa wakati wa kampeni hutoa ahadi feki aka ahadi hewa sio za ukweli ili wapate kupewa kura na kushinda uchaguzi.
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,697
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,697 280
Tungojee atakavyo kuja kuwa Rais utaona yote aliyoyasema hatoweza kuyafanya hata moja ile ilikuw ani kampeni ili wapate watu kumchaguwa sio kweli aliyokuw aanayoyasema MR Trump hatowezakuyafanya kamwe. Siasa ni uongo wa hali ya juu. Mii huwa siwaamini Viongozi wa kisiasa hata kam bab yangu ni Mwanasiasa sitoweza kumuamini anayoyasema kuhus Sias ninajuwa ana wadanganya watu ili wapate kumchaguywa awe ni kiongozi wao,Siasa ni mchezo mchafu sana.
Nakubaliana na wewe unachosema lakini hiyo habari ni story tu.

Rais wa Marekani hana mamlaka ya kuamua kila kitu ni mfumo ndiyo unaofanya kazi.

Hata ukipita kwenye site ya Trump vitu vingi alivyosema kwenye kampeni kuwa atavifanya kaishaviondoa.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,026
Likes
5,487
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,026 5,487 280
Nakubaliana na wewe unachosema lakini hiyo habari ni story tu.

Rais wa Marekani hana mamlaka ya kuamua kila kitu ni mfumo ndiyo unaofanya kazi.

Hata ukipita kwenye site ya Trump vitu vingi alivyosema kwenye kampeni kuwa atavifanya kaishaviondoa.
Asante ilikuwa kampeni ya ujanja tu kupata jkura za watu ili ashinde sio maneno ya ukweli aliyoyasema mii siwaamini kabisa viongozi wa kisiasa.Ndio maana hata huko nyumbani mimi sipo chama chochote kile cha kisiasa ninaona ni uongo mtupu.Siasa ni Mchezo Mchafu.
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,402
Likes
51,024
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,402 51,024 280
Mods peleka hii kwenye jukwaa la jokes na vitimbi.
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,402
Likes
51,024
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,402 51,024 280
Mods peleka hii kwenye jukwaa la jokes na vitimbi.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,026
Likes
5,487
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,026 5,487 280
Mods peleka hii kwenye jukwaa la jokes na vitimbi.
Imefika hivyo tena mkuu.......Kwani yanayo zungumzwa hapo ni maneno ya utani? Au umezoea Siasa zenu za uchwara kuwa shambulia viongozi wenu wa kisiasa. Siasa za nje hamzijuwi zaidi ya siasa ya bongo? Kama hukupenda kulikuwa hakuna haja ya wewe u Ku Comment.... unge...... ignore...............
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
12,360
Likes
6,730
Points
280
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
12,360 6,730 280
Hii ni story imetungwa na Mwislam..!!

Waislam mijinga utayajua tu..!! All this long fake story ya nn..? lying tupu.!!
 
B

Brahnman

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
1,716
Likes
853
Points
280
Age
37
B

Brahnman

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
1,716 853 280
Yeah ni kweli kwa nchi za wenzetu mfumo ulijengwa na nchi ndo unasimamia sera sio chama eti kila mwaka kinasema tunatekeleza Ilani,what is Ilani ina US?? Trump atatekeleza kwa mujibu wa sera za Marekani......
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,156
Likes
40,575
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,156 40,575 280
Hayo maongezi ni mafunuo ya Anthony Lusekelo
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,026
Likes
5,487
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,026 5,487 280
Hii ni story imetungwa na Mwislam..!!

Waislam mijinga utayajua tu..!! All this long fake story ya nn..? lying tupu.!!
Mwislam wapi na wapi na Sera za Marekani ni nchi ya Kikristo sio nchi ya Kiislam iweje Muislam atunge Sera za Wakristo?Umejifunzia wapi wewe hiyo elimu? Unajuw akile unacho kisema lakini?
 
Iceman 3D

Iceman 3D

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Messages
20,742
Likes
66,716
Points
280
Iceman 3D

Iceman 3D

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2016
20,742 66,716 280
This is illogical, he have to fight ISIS. Ana senate ana congress hakuna kitu kinaweza kumzuia except kama kina hatarisha America. Na hivi ISIS inavo waletea wahamiaji ambao ni hatari sidhani kama ata kubali hivi hivi.

Halafu umesema ISIS ni friends of America!!! Asee. Kweli hii inatakiwa iende kwenye jukwa la jokes
 
Ekyoma

Ekyoma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,905
Likes
2,370
Points
280
Ekyoma

Ekyoma

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,905 2,370 280
Ni ngumu sana mwana siasa kuuona ufalme wa mbingu
 
A

akazuba

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Messages
537
Likes
475
Points
80
A

akazuba

JF-Expert Member
Joined May 16, 2014
537 475 80
Ukiangalia kwa jicho la tatu ndivyo ilivyo..kama utani... na sisi tunawekwa busy na ushoga tunapambana kweli kuukataa tunaacha kufikiria uchumi wetu, wao kupitia Acacia, Ashanti, Tanzanite one na wengine wanatuach mashimo.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,026
Likes
5,487
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,026 5,487 280
This is illogical, he have to fight ISIS. Ana senate ana congress hakuna kitu kinaweza kumzuia except kama kina hatarisha America. Na hivi ISIS inavo waletea wahamiaji ambao ni hatari sidhani kama ata kubali hivi hivi.

Halafu umesema ISIS ni friends of America!!! Asee. Kweli hii inatakiwa iende kwenye jukwa la jokes
Tatizo Sisi Wa-Tanaznia lugha ya kiingereza hatujuwi ndio munasema iwekwe kwenye jukwaa la joke. Hakusema Mr Trump kuwa ISIS ni rafiki yetu Pentagon wamemjibu kuwa ISIS ndio rafiki yetu kwani anatawala sehemu kubwa nchini Irak hebu soma hapa kisha utafsiri kwa lugha yako ya machungwa.

*Trump:* "Then let us invade Iraq again!"
*CIA:* "Sir, our friends ISIS are already occupying 1/3rd of Iraq.

ISIS imetengenezwa na Rais Obama ili kuwachanganya Waarabu akili zao .
 

Forum statistics

Threads 1,273,260
Members 490,343
Posts 30,475,692