Marekani: Rais Trump amfukuza kazi afisa wa ngazi za juu wa Navy

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
617
1,799
Richard Spencer alifukuzwa katika nafasi yake kama Katibu wa Navy katika kesi inayohusu ripoti kwamba uongozi wa jeshi la Marekani umekasirishwa na kuingilia kwa Trump katika kesi za kinidhamu.

Afisa huyo mkubwa katika Jeshi la Wanamaji alimkosoa Donald Trump baada ya kufukuzwa kufuatia mgogoro juu ya Rais kuingilia kati na kumrudishia cheo chake komando wa Jeshi hilo ambaye uongozi wa jeshi ulimshusha cheo kwa utovu wa nidhamu.

Mgogoro huo umekuwa ukimhusisha komando Edward Gallagher ambaye alishtakiwa kwa uhalifu wa kivita lakini akapatikana na hatia ya makosa madogo.

1574659205392.png

==========

Richard Spencer was ousted as Navy Secretary, a civilian position, in a case that has fueled reports that the US military leadership has been angered by Trump's interference in discipline cases.

The chief of the US Navy on Sunday criticized Donald Trump after being sacked in a dispute over an elite SEAL commando whose demotion for misconduct was reversed by the president.

Richard Spencer was ousted as Navy Secretary, a civilian position, in a case that has fueled reports that the US military leadership has been angered by Trump's interference in discipline cases.

"I no longer share the same understanding with the Commander in Chief who appointed me, in regards to the key principles of good order and discipline," Spencer said in a stinging letter published by US media.

"I hereby acknowledge my termination as United States Secretary of the Navy."

The dispute centers on the fate of Navy SEAL Edward Gallagher who was accused of war crimes in a high-profile case but was found guilty of a lesser offense.

On November 15, Trump the commander-in-chief of the US military reversed the demotion handed down to Gallagher. Trump tweeted on Sunday that Gallagher had been "treated very badly" by the navy, and that Spencer had been asked to resign over the issue and over his alleged failure to address budget overruns.

The president said Gallagher would not be expelled from the elite SEAL (Sea, Air, and Land) force. "Eddie will retire peacefully with all of the honors that he has earned," Trump tweeted.

Chanzo: Daily Monitor
 
Daah, maisha haya ni noma eti leo na Trump huyu huyu aliyekimbia kwenda vitani kule Vietnam wakati vijana wenzake wakienda ambapo dingi ake alifoji kuonyesha Trump ni unfit for the for the service na yeye anaweza kutumbua Ma-komandoo wanao sacrifice maisha yao kwa ajili ya US wkt ambpo trump yeye alikua bize ku-tomb.a ma porn stars,kuigiza kwny home alone, kutokea kwny reality tv na kucheza makamari huko casino.

Kweli kumbe inawezekana mtu kujifunzia uzalendo na kupenda nchi uzeeni kama vile Trump alivyojifunza.

Dawa ni kua mwanasiasa tu, la sivyo jiandae hatma yako kuamuliwa na wanasiasa.
 
Hivi Bwana Trump alicheza kwenye Home Alone!
Au Ndio ile mizee mihuni iliyokuwa inataka kupora kwa kijana aliyeachwa na ndege ya kwenda holiday
Daah maisha haya ni noma eti leo na Trump huyu huyu aliyekimbia kwenda vitani kule Vietnam wkt vijana wenzake wakienda ambapo dingi ake alifoji kuonyesha Trump ni unfit for the for the service na yeye anaweza kutumbua Ma-komandoo wanao sacrifice maisha yao kwa ajili ya US wkt ambpo trump yeye alikua bize ku-tomb.a ma porn stars,kuigiza kwny home alone,kutokea kwny reality tv na kucheza makamari huko casino.

Kweli kumbe inawezekana mtu kujifunzia uzalendo na kupenda nchi uzeeni kama vile Trump alivyojifunza.

Dawa ni kua mwanasiasa tu,la sivyo jiandae hatma yako kuamuliwa na wanasiasa.View attachment 1271859
 
Kwny Home Alone 2 kuna kipande ameonekana, cheki YouTube hicho kisehemu alichoonekana utamuona.
Hivi Bwana Trump alicheza kwenye Home Alone!
Au Ndio ile mizee mihuni iliyokuwa inataka kupora kwa kijana aliyeachwa na ndege ya kwenda holiday
 
Back
Top Bottom