Marekani: Padri ahukumiwa miaka 30 kwa koss la ulawiti wa watoto.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,320
Huko Marekani padri mmoja wa kanisa katoliki jimbo la New Mexico amehukumiwa miaka 30 kwa kusa la kulawiti na kuwadhulumu watoto kingono.

Padri huyo baada ya kusikia anatafta akamatwe akakimbilia Morocco na kujificha kabla hajasakwa na kudakwa kisha kurejeshwa Marekani na kutupwa selo.
 
Back
Top Bottom