Marekani: Ndege yaahirisha safari baada ya wanaume wawili wa KIISLAM kupungiana mikono wakiwa ndani ya ndege

Hapana hujanikwaza

Vipi kama ungeongelea ubaguzi kiujmla ungewajumlisha waarabu kua ndio vinara wa ubaguzi kuliko usa???

Kila taifa kuna wabaguzi na ubaguzi unatofautiana
Kwa kweli wa kwanza wangekuwa South Africa
 
Watu weupe wote ni washenzi tu linapokuja suala la ubaguzi dhidi ya watu weusi. Ila yote ya yote dunia haipo fair kabisa. Sijapenda walichofanyiwa hao mabwana. Ingekua vijana wa kiarabu washenzi washenzi ningefurahishwa to be honest.
 
Vipi kuhusu Yesu? Nae alikuwa na madevu kibao wakati wa uhai wake.!!

Acheni woga, Acheni kuogopa watu wenye imani nyengine za dini, mnaona imani zenu bora kuliko za wengine..

Duuuh hizi sasa hallucinations
 
Kila taifa kuna wabaguzi na ubaguzi unatofautiana
Kwa kweli wa kwanza wangekuwa South Africa
Sijakataa hilo

Ila ukianza kupanga mataifa kulingana na idadi ya aslimia kubwa ya ubaguzi utaona mataifa ya uarabuni yamekithiri yani yana high rates
 
Halafu wapo wachache sana duniani hapa ila balaa lao likitokea huwa linaacha alama ya ukumbusho wa milele

Hahahaha kuna clip moja niliona mwarabu karusha begi lenye midola kibao kwenye kundi la ombamba marekani wacha watimue mbio wakidhani ni bomu nyingine kaenda kwe kusanyiko la watu wengi akarusha tena begi lenye mihela sherehe zilikwisha muda huo huo kila mtu anaokoa uhai wake kumbe neema wanaikimbia
 
Toka waajemi wametungua drone ya ghali hofu imezidi kuongezeka
Kabla hata hiyo waarabu tu nuksi wazungu wanaogopa asalamu aleikhum, inshalah na alhamdulilah ukisikika tu wewe gaid bus au chombo chochote cha usafir wanakushusha hawataki uwakatishe uhai😂😂
 
Wanaume wawili Waislamu nchini Marekani wametaka uchunguzi kufanywa baada ya kusema kwamba walibaguliwa kidini katika ndege moja iliokuwa ikielekea mjini Dallas. Abderraoof Alkhawaldeh na Issam Abdallah wamedai kwamba safari yao ilifutiliwa mbali kwa kuwa abiria hawakufurahia kusafiri na wanaume hao wenye imani ya dini ya Kiislamu.

Walikuwa wakisafiri kila mtu kivyake, lakini wakatambuana kupitia kundi moja la Kiislamu na kupungiana mikono wakiwa ndani ya ndege.

Ndege hiyo ilicheleweshwa na bwana Abdallah akaelekea msalani.Alipotoka mfanyakazi mmoja wa ndege alikuwa amesimama nje ya choo hicho kama ambaye alikuwa akijaribu kusikiliza kilichokuwa kikiendelea ndani.

---------
Two Muslim men have called for an investigation after they say they were "racially profiled" and the American Airlines flight to Dallas they were travelling on was cancelled.

Isam Abdallah said his flight was cancelled because the aeroplane crew was "not comfortable to fly" with him and a second passenger, Abderraoof Alkhawaldeh, on board.

Alkhawaldeh said he has been a frequent flyer since 1989 and that there was no reason for security officers or crew members to be suspicious of him.

"I have been a loyal customer since 1989, I have taken hundreds of flights ... with American Airlines," Alkhawaldeh said at a news conference organised on Thursday by the Council for American-Islamic Relations (CAIR).

"And to be treated with disrespect, suspicion, to be racially profiled ... for absolutely no reason, this is absurd, unacceptable and un-American," he said.

American Airlines defended its decision in a statement, saying the flight was "cancelled due to concerns raised by a crew member and a passenger."

"American and all of its regional partners have an obligation to take safety and security concerns raised by crew members and passengers seriously," it added.

'Discrimination against my religion'
Abdallah and Alkhawaldeh were booked to travel from Alabama to Dallas on an American Airlines flight on September 14.

According to Abdallah's account, the flight was initially delayed by 15 minutes due to maintenance issues, later on it was delayed again. During the interruption, he said, he decided to go the restroom.

"When I opened the [restroom] door, the flight attendant was [standing] by the door like she was eavesdropping," he said. "I was really shocked."

Ten minutes later the crew requested the passengers to leave the aeroplane, he said, adding that shortly after the pair was approached by a security person and later by an FBI agent.

Abdallah said he was told by the officer that a passenger and an airline staff "were not comfortable with flying with him after he "went to the restroom and flushed the toilet twice".

"It was really humiliating," he said at the news conference. "I felt discriminated against my ethnicity and my religion," he added.

Islamophobia in the US
After the experience, Alkhawaldeh said he was really concerned about his coming trips.

"I travel for a living, and the last few days I'm really worried [about] how will my next travel experience will be," he said.
"Imagine you have ... police officers around you, after you, for what? For somebody flushing in the bathroom, or somebody waving at his friend, I hope this doesn't happen again, and those responsible must be held accountable," he added.

This is not the first time Muslim passengers have alleged discrimination during flights, with activists raising fears over rising Islamophobia in the United States.

Omar Suleiman, an activist based in Dallas, said incidents like this "happens to people in our community far too often". "People want to move on from those horrific experiences, and [it] is not something that often goes reported," Suleiman, who was present at the news conference, said.

In 2016, an American social media celebrity Adam Saleh was removed from a New York-bound plane in London after speaking Arabic on the aircraft. A year earlier, a US Muslim woman Kameelah Rasheed was forced off a plane and taken for questioning. She was later allowed to fly but she missed her flight.

Source: https://www.aljazeera.com/news/2019...racially-profiled-flight-190920053406942.html
Wa kulaumiwa ni Osama bin Laden, ndio kasababisha yote haya.
 
Mokaze FaizaFoxy Zurri na mashia wengine mkitaka kujilipua huwa mnapungiana mikono?😝😝😝


Hivi WOTE wanaopungiana mikono ni waislamu pekee??--- hao hawakuwa na lolote isipokuwa wanalao jambo la kufanya na hivyo wanataka kuhadaa dunia ili iwe njia ya kulitekeleza.

Kwani hatukuona jinsi Marekani ilivyohadaa ulimwengu kuhusu silaha za maangamizo za Sadam??, kilichotokea baadaye kwa Iraq kila mtu anajua, wamefanya biashara yavsilaha zao kwa damu za Wairaq, ulimwengu wa Wazungu na Israeli umejaa ufisadi, hila, uongo, uchonganishi, dhuluma, wizi wa makinikia yetu na ubaguzi wa rangi nk.

Wazungu kwa nje ni binadamu kwa ndani ni watu--wanyama.🐱🦁🐤🐦🦄🐬🦂🐃🐂
 
Hili shirika ni la kibaguzi sana tena blacks wanaonewa sana wakipanda hizo ndege
Waislam pia wanabaguliwa sana sio mara hii tu
View attachment 1212157

Msiwe mnajudge watu kabla ya kujua story yote. Americal airlines hawakumbagua huyu mtu, yeye ndiyo alikua msumbufu, aligoma mtu mwenye mbwa kukaa karibu yake pamoja na kua alikua na tiketi, wakataka kumuamisha pia akagoma, sasa analeta usumbufu anategemea wasimtoe kwenye ndege? Support animals wapona wanaruhusiwa kusafiri na mtu sababu kuna watu bila hao wanyama hawawezi panda ndege kabisa sababu za kiafya sio starehe tu.

Hata mimi na weusi wangu bado ningemtoa asilete ujinga kupotezea watu wengine muda. Ndege ukisumbua kidogo tu wanakushusha maana hakuna kitu cha muhimu kama kutunza muda kwenye ndege, ikichelewa ni mamilioni ya fine wanapigwa airport zote mbili
 
Back
Top Bottom