Marekani na Urusi zawasilisha maazimio yanayokinzana kuhusu Venezuela


Display Name

Display Name

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Messages
336
Likes
64
Points
45
Display Name

Display Name

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2014
336 64 45
Marekani na Urusi zimewasilisha maazimio yanayokinzana kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya kisiasa nchini Venezuela.

Marekani inamtaka rais Nicolas Maduro kukubali kufayika kwa Uchaguzi mpya wa urais haraka iwezekanavyo, lakini pia kuhusu misaada ya kibinadamu kuingia nchini humo.

Hata hivyo, Marekani haijasema inataka uchaguzi huo ufanyike lini, wakati huu ikiitaka jumuiya ya Kimataifa kumuunga mkono kiongozi wa upinzani Juan Guido kama kiongozi wa Venezuela.

Hata hivyo, Urusi nayo inataka katika azimio lake, mataifa ya nje yaache kuingilia siasa za ndani ya Venezuela na rais Nicolas Maduro, atambuliwe kuwa rais halali wa nchi hiyo.

Kwa namna ya mambo yalivyo, Marekani na Urusi zinatarajiwa kutumia kura zao za veto, kuzuia maazimio hayo.

Katika hatu nyingine, kiongozi wa upinzani ameonya dhidi ya serikali ya rais Maduro kukataa kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia nchini humo, wakati uo huo Maduro akionya kuwachukua hatua kali wale watakaojaribu kuleta vurugu katika nchi yake.

Sw.rf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maxmizer

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
4,430
Likes
3,719
Points
280
Maxmizer

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
4,430 3,719 280
Kituko ni nini?

Kituko ni pale USA akimjua Guido kama raisi wa mpito huku akimuomba mtu ambaye si raisi ambaye ni maduro (according to USA and his allies) kwamba aitishe uchanguzi mkuu

Unabaki unashangaa Hiiiiiiiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
3,044
Likes
833
Points
280
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
3,044 833 280
wote mabeberu ni lao moja
Maduro za kuambiwa changanya Na zako baba
 
JustDoItNow

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,700
Likes
636
Points
280
JustDoItNow

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,700 636 280
Kituko ni nini?

Kituko ni pale USA akimjua Guido kama raisi wa mpito huku akimuomba mtu ambaye si raisi ambaye ni maduro (according to USA and his allies) kwamba aitishe uchanguzi mkuu

Unabaki unashangaa Hiiiiiiiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
huo ndo upumbavu wa marekani na ujinga wa trump. Trump is a real asshole
 

Forum statistics

Threads 1,262,034
Members 485,449
Posts 30,112,086