Marekani na Uingereza wanapomlilia kuwadi wao Kabendera,wakishindwa kutoa pole ya msiba wa watu 60 Morogoro

Hahaha etii tecno boom!!!
Unaziongelea Marekani na Waingereza kama unaongelea Mikumi na chamwino, kama kitu hujui kaa kimya, ww unajua mkuu wa inchi amepokea simu ngapi jana kutoka serikali ya Marekani? Unajua Marekani wametoa msaada gani kwa wagonjwa walioshuka leo pale Jangwani? Kama hujui mambo kaa kimya sio unaandika kwa vile una tecko boom yako
 
Acha kukurupuka,Balozi wa Uingereza,Sarah Cooke jana kupitia twitter katoa pole kwa wahanga wa hili tukio.

No research,no right to speak.

Mnajenga miundombinu kila kukicha huku wananchi wanalala njaa..upuuzi wazungu wanashangaa
We unakwama wapi! Hiyo miundo mbinu itumie kujitafutia msosi usilale njaa. Usitegemee Serikali itapiga filimbi ili tupange foleni Mnazi mmoja na bakuli zetu kwenye mgao wa ugali ndondo.
 
MAREKANI NA UINGEREZA WANAPOMLILIA KUWADI WAO KABENDERA,WAKISHINDWA KUTOA POLE YA MSIBA WA WATU 60 MOROGORO.

Leo 12:15pm,11/08/2019.

Leo Taifa litawapumzisha ndugu zetu 60 katika makaburi ya Kola Hill,Morogoro. Lakini makuwadi wa Mabeberu wameshindwa kuwaambia Marekani na Uingereza kutoa pole ya msiba huo,ila waliwaambia tu waandike walaka na kutoa pole kwa mwandishi mmoja Kabendera wakati wao Marekani hadi leo bado wanaendelea kumtafuta Mwandishi Snowden aliyekimbilia Urusi baada ya kupokonywa haki yake ya kuwa raia wa Marekani, kwa madai ya kuandika makala za kuichafua Marekani nje ya nchi.

Edward Snowden alikuwa raia wa Marekani ambaye aliondokewa uraia,kunyang'anywa passport amelazimika kukimbilia Urusi kwa kuwa tu aliandika habari zilizoichukiza Taifa la Marekani.Toka Mwaka 2013 Bwana Snowden anaishi ndani ya chumba bila kutoka nje,Uhuru wake umepokwa na Taifa la Marekani,Taifa ambalo leo linataka Kabendera aachiwe lakini aliyetenda kosa sawasawa na Snowden ambao wao walimvua uraia,wakampokonya passport lakini Snowden alifanikiwa kukimbilia kujificha nchini Urusi.

Taifa linaomboleza msiba mkubwa lakini Mabeberu na Makuwadi wao wanaendelea kujifanya kama hawaoni msiba ila wanamuona kuwadi wao tu aliyeshikiliwa akisubiri kesi yake.

Niseme tu kuwadi mwandamizi mmoja wa Mabeberu hawezi kuwa na faida kwa Taifa zaidi ya Watanzania waliofariki na kujeruhiwa.Kwa hiyo Mabeberu na Makuwadi wao wameona Watanzania 60 wala fariki hawana maana kwao zaidi ya kuwadi wao mmoja,

Mabeberu na Makuwadi wao wameamua kula kimya maana hawana maslahi kwa Watanzania 60 waliokufa,Niseme tu awa Watanzania 60 waliokufa walikuwa ni nguvu kazi kwetu na pia ni msaada mkubwa kwa Watanzania,nani anayejua kuwa kati ya waliokufa labda ndiye angekuja kukusaidia kesho kuokoka na hatari fulani au kukuokoa katika changamoto tunazokumbana nazo katika maisha.

Makuwadi wa Mabeberu mlioshirikiana na vibaraka wenzenu kwenye balozi za Uingereza na Marekani kuandika tamko la aibu la haki za binadamu lililoitwa la pamoja huku kwao yakitokea mauaji mchana kweupe wakishindwa kutoa tamko hilo kwao na pia walichokiita kutetea Uhuru wa habari ikiwa wao walimpa Mwandishi Assange kesi hewa ya ubakaji baada ya kutoa siri ya Marekani kudukua mawasiliano ya Kiongozi wa Ujerumani,Kansera Angela,hadi leo Assange anaishi ndani ya Ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza akipewa tahadhari akitoka tu anakamatwa na Uingereza na kupelekwa Marekani, na fununu tayari Uingereza wameshamkabidhi kwa Serikali ya Marekani,sasa tujiulize awa Marekani na Uingereza wanapataje uhalali wa kutuandikia Walaka mkubwa na kuusambaza duniani eti tumwachie Mwandishi Kabendera aliyeandika habari za kuichafua Tanzania!

Tujiulize je awa Mabeberu bado hawajatafsiriwa na vibaraka wao kuwa kuna Msiba mkubwa umetokea kwa Taifa!? Je Marekani na Uingereza bado hawajatafsiriwa kuwa Watanzania zaidi ya 60 wamefariki Morogoro katika ajali mbaya ya moto na makumi wamejeruhiwa!?

Ina maana kina Zitto,Maria na Fatma bado hamjawatafsiria Mabeberu kuwa kuna ajali imetokea Morogoro!? Au mmepima na kuona hamna maslahi katika hilo mkala kimya lakini mlikesha mkakurupuka na katamko kenu uchwara na kukapeleka ubalozi wa Marekani na Uingereza kuweka logo,Shame on you!

Nitaishia hapa,nitaendelea baadae,Niwaambieni tu ninyi Makuwadi na Mabeberu kuwa Watanzania tumeamka,Sisi sio wale wa kufundishwa tena na kupotoshwa hiki ni kizuri na kile ni kibaya,Tuna macho tunaona,tuna masikio tunasikia.

Taifa linaomboleza,Taifa limefiwa lakini Mabeberu na Makuwadi wao wamejitia pamba masikioni na boriti machoni.Huu si uungwana na muone aibu japo kidogo kwa kukimbilia Marekani na Uingereza kuichafua nchi kwa maslahi yenu binafsi lakini kushindwa kuwaambia suala la kitaifa kama msiba wa Taifa.

Nimalizie kwa kutoa Salamu za pole kwa Taifa langu la Tanzania,Msiba huu mkubwa wa ajali ya Moto iliyotokea Msamvu,Morogoro ni wetu sote,Mungu awape pumziko la amani marehemu wote,awaponye Majeruhi wote,na awape moyo wa Ustahimilivu familia zote zilizopoteza ndugu na jamaa waliokuwa wakileta mkate wa kila siku katika familia zao.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga.
Morogoro.
Ingawa Mimi ni mwanaccm ila sikuungi mkono umeandika MIMAVI
 
Nani kakwambia Edward Snowden alikuwa mwandishi?

Umeamua kujitungia ndoto uote?

Ama kweli wewe ni chakubanga.
 
Mleta hoja huna hoja bali viroja! Kipi kilitangulia Kati ya tamko na ajali?
Nilidhani kuwa ungeanzisha uzi Wa kuinasihi serikali yako kuongeza nguvu za kupambana na umaskini Wa mwananchi mmojammoja kwani ajali ile imethibitisha kuwa umaskini umeota mizizi kwenye jamii nyingi na ndio uliopelekea ajali ile!
Lumumba fc jifunzeni kutafakari kabla hujakimbilia kuandika na kulaumu!
Kuna balozi wenu Kule marekani siyo? Mbona hatujamsikia akitoa salami za pole na rambirambi kwa wananci wa marekani waliopoteza ndugu zao kwa kushambuliwa na yule RAIA mbaguzi? Mbona hajasema lolote juu ya kamatakamata ya wahamiaji halali? Don't be biased!
 
Acha kumlinganisha Snowden na Kabendela, Snowden alikuwa ni jasusi, na jasusi wanakuwa na viapo vyao na adhabu zao zinajulikana. Hakuna kazi mbaya kwa wasaliti kama ujasusi na jeshi, adhabu yake ni kifo kwa kupigwa risasi na ipo kimaandishi kabisa
 
Walitoa paund 2000 kusaidia maafa ya tetemeko Kagera zikayeyuka na hakuna mtakatifu yeyote wa nchi hii aliyejitokeza kuhoji zilikoyeyukia.
 
YouTube comment.PNG
 
MAREKANI NA UINGEREZA WANAPOMLILIA KUWADI WAO KABENDERA,WAKISHINDWA KUTOA POLE YA MSIBA WA WATU 60 MOROGORO.

Leo 12:15pm,11/08/2019.

Leo Taifa litawapumzisha ndugu zetu 60 katika makaburi ya Kola Hill,Morogoro. Lakini makuwadi wa Mabeberu wameshindwa kuwaambia Marekani na Uingereza kutoa pole ya msiba huo,ila waliwaambia tu waandike walaka na kutoa pole kwa mwandishi mmoja Kabendera wakati wao Marekani hadi leo bado wanaendelea kumtafuta Mwandishi Snowden aliyekimbilia Urusi baada ya kupokonywa haki yake ya kuwa raia wa Marekani, kwa madai ya kuandika makala za kuichafua Marekani nje ya nchi.

Edward Snowden alikuwa raia wa Marekani ambaye aliondokewa uraia,kunyang'anywa passport amelazimika kukimbilia Urusi kwa kuwa tu aliandika habari zilizoichukiza Taifa la Marekani.Toka Mwaka 2013 Bwana Snowden anaishi ndani ya chumba bila kutoka nje,Uhuru wake umepokwa na Taifa la Marekani,Taifa ambalo leo linataka Kabendera aachiwe lakini aliyetenda kosa sawasawa na Snowden ambao wao walimvua uraia,wakampokonya passport lakini Snowden alifanikiwa kukimbilia kujificha nchini Urusi.

Taifa linaomboleza msiba mkubwa lakini Mabeberu na Makuwadi wao wanaendelea kujifanya kama hawaoni msiba ila wanamuona kuwadi wao tu aliyeshikiliwa akisubiri kesi yake.

Niseme tu kuwadi mwandamizi mmoja wa Mabeberu hawezi kuwa na faida kwa Taifa zaidi ya Watanzania waliofariki na kujeruhiwa.Kwa hiyo Mabeberu na Makuwadi wao wameona Watanzania 60 wala fariki hawana maana kwao zaidi ya kuwadi wao mmoja,

Mabeberu na Makuwadi wao wameamua kula kimya maana hawana maslahi kwa Watanzania 60 waliokufa,Niseme tu awa Watanzania 60 waliokufa walikuwa ni nguvu kazi kwetu na pia ni msaada mkubwa kwa Watanzania,nani anayejua kuwa kati ya waliokufa labda ndiye angekuja kukusaidia kesho kuokoka na hatari fulani au kukuokoa katika changamoto tunazokumbana nazo katika maisha.

Makuwadi wa Mabeberu mlioshirikiana na vibaraka wenzenu kwenye balozi za Uingereza na Marekani kuandika tamko la aibu la haki za binadamu lililoitwa la pamoja huku kwao yakitokea mauaji mchana kweupe wakishindwa kutoa tamko hilo kwao na pia walichokiita kutetea Uhuru wa habari ikiwa wao walimpa Mwandishi Assange kesi hewa ya ubakaji baada ya kutoa siri ya Marekani kudukua mawasiliano ya Kiongozi wa Ujerumani,Kansera Angela,hadi leo Assange anaishi ndani ya Ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza akipewa tahadhari akitoka tu anakamatwa na Uingereza na kupelekwa Marekani, na fununu tayari Uingereza wameshamkabidhi kwa Serikali ya Marekani,sasa tujiulize awa Marekani na Uingereza wanapataje uhalali wa kutuandikia Walaka mkubwa na kuusambaza duniani eti tumwachie Mwandishi Kabendera aliyeandika habari za kuichafua Tanzania!

Tujiulize je awa Mabeberu bado hawajatafsiriwa na vibaraka wao kuwa kuna Msiba mkubwa umetokea kwa Taifa!? Je Marekani na Uingereza bado hawajatafsiriwa kuwa Watanzania zaidi ya 60 wamefariki Morogoro katika ajali mbaya ya moto na makumi wamejeruhiwa!?

Ina maana kina Zitto,Maria na Fatma bado hamjawatafsiria Mabeberu kuwa kuna ajali imetokea Morogoro!? Au mmepima na kuona hamna maslahi katika hilo mkala kimya lakini mlikesha mkakurupuka na katamko kenu uchwara na kukapeleka ubalozi wa Marekani na Uingereza kuweka logo,Shame on you!

Nitaishia hapa,nitaendelea baadae,Niwaambieni tu ninyi Makuwadi na Mabeberu kuwa Watanzania tumeamka,Sisi sio wale wa kufundishwa tena na kupotoshwa hiki ni kizuri na kile ni kibaya,Tuna macho tunaona,tuna masikio tunasikia.

Taifa linaomboleza,Taifa limefiwa lakini Mabeberu na Makuwadi wao wamejitia pamba masikioni na boriti machoni.Huu si uungwana na muone aibu japo kidogo kwa kukimbilia Marekani na Uingereza kuichafua nchi kwa maslahi yenu binafsi lakini kushindwa kuwaambia suala la kitaifa kama msiba wa Taifa.

Nimalizie kwa kutoa Salamu za pole kwa Taifa langu la Tanzania,Msiba huu mkubwa wa ajali ya Moto iliyotokea Msamvu,Morogoro ni wetu sote,Mungu awape pumziko la amani marehemu wote,awaponye Majeruhi wote,na awape moyo wa Ustahimilivu familia zote zilizopoteza ndugu na jamaa waliokuwa wakileta mkate wa kila siku katika familia zao.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga.
Morogoro.
Mnasababisha condom zipande bei kisa raha yenu kuacha watu watekwe na kuuawa bila uchunguzi?
Kubambika kesi ya utakatishaji fedha na kukashifu wake zao?
 
Back
Top Bottom