Marekani na uingereza ni washirika wakubwa wa serikali ya ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marekani na uingereza ni washirika wakubwa wa serikali ya ccm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Nov 10, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Poleni na majukum ndugu zangu za ujenzi wa taifa hili ingawa walio wachache wametumia mwanya walionao kubomoa kwa kadiri wanavyoweza, ni kazi kubwa sana mbele yetu na lazima tuwe na moyo wa chuma kufanikisha malengo yetu kwani tuliowaamini na kuwakabidhi madaraka wamenunuliwa!

  mimi si muhumin hata siku moja wa sera za nje za nchi za magharbi, ningependa sana wanachi wenye mapenzi mema na hii nchi wachunguze kwa makini na watambue hapa tukizubaa tutajikuta tumezungushiwa fensi ndani ya nchi yetu, tumekuwa tukiona mwenendo wa nchi za magharibi, washirika wakuu wa nato ikiwa na jumla ya nchi 28 laikini wanaoonekana sanasana ni marekani, uingereza na ufaransa, je malengo yake nini?

  Watu wamekuwa wakijiuliza kwa nini hawa mataifa wanaojifanya wababa wa democrasia, wasiopenda kuona watu wanayimwa democrasia ya kweli mbona wamenyamaza kuhusu sakata la democrasia finyu ndani ya nchi?niwaambie ndugu zangu, marekani na uingereza ni nchi ambazo ni ndumilakuwili, ni nchi ambazo zinatumia mgongo wa kutafuta democrasia kukidhi matakwa yake na si vinginevyo, hawa jamaa hawezi hata siku moja, narudia hata siku moja kusapoti upinzania au kushawishi democrasia ya kweli kwani mambo yao yanafanikiwa kwa asilimia mia ndani ya tanzania, a country of posibilities, a country blessed almost for everything but poor for everything,hizi ni nchi ambazo zina permanent interest and not permanent frendship, serikali ya ccm inatekeleza matakwa yake na bado kuna mambo mengi chini ya kapeti juu ya mpango wao wa kuhakikisha ccm inabakia madarakani!

  nadhani watanzania wengi wameamka na wanataka mabadilko katika nchi yao tukufu iliyozungushia na mikomamaanga, iliyotiwa moto na wachache wenye hila, waliohakikishiwa maisha ili kufanikisha mpango wa magharibi, tumeona viongozi waandamizi wa serikali wanasimama kwenye vyombo vya habari na kutangaza kusimamisha maandamo ya chadema bila ya sababu za msingi na hii ikiwa ni mpango wa kutekeleza matakwa ya magharibi!je tunatoa kodi zetu kuwalipa mishahara ili mvunje katiba ya nchi?katiba ipi ambayo Shamsi Vuai naodha ameapa kuilinda??mwena analinda katba ipi?watanzania tumeelimika hata kama sio kwenda darasani, elimu ya uraia tunayo na haya tushayabaini! tunaomba mwendelee na mpango wa kurutubisha maisha na familia zenu, na sisi tutaendelea na mpango wa kurudisha amani na matumaini ya watanzania, mliowageuka kwa hila na tamaa zenu mbaya!

  mwisho nipende kuwaambia juu ya hili, WOGA NI ADUI WA HAKI' lazima tuamke na tupambane kwa umoja wetu kurudisha hadhi ya nchi yetu, there is no soft revolution in this world, sucrifice must be there but for the benefit of the next generation.pamoja tutafika mungu ibariki tanzania, mumngu baruiki wale wazalendo wenye moyo wa kuleta mabadiliko, mungu wamulike ccm tuyajue hata mengine ambayo yamejificha, wewe ni alfa na omega, inshalah tutafika kwa nguvu zako!
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Luckman usihofu, hata katika kwaya waimbaji hawaanzi kwa pamoja, wimbo unaweza kuanzishwa na waimbaji wa sauti ya kwanza, au ya pili au ya tatu na hata ya nne yaani bass.Wimbo ulioanzishwa na CDM pamoja na utashi wa wananchi ndiyo kwanza unaanza kueleweka na wattu wa Arusha yawezekana ndiyo sauti ya KWANZA. Hawa ni waanzilishi tunajua nuda si mrefu sauti zote nne zitaitikia yaani mikoa yote na baada ya hapo wimbo huo utakuwa umeenea kueleweka hadi nchi za magharibi zitaanza kuvutiwa na hatimaye nao wataanza kuimba KIITIKIO CHA WIMBO.Hapo ndipo utamuone JK na serikali yake wakitaka suluhu huku mambo yameshaharibika.KAENI MKAO WA KUSIKILIZA wimbo huo
   
 3. l

  luckman JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Cha msingi ni kuwaelimisha wananchi juu ya haya mambo!tunaona wamarekani walivyorudi kwa nguvu zote na mipango yaon tunaijua, washaona jk anapenda nini ndo maana kila siku yuko nje, mara kachair meeting basi yeye anajiona yupo juu kumbe wanamchota na mwisho anaingiza nchi kwenye mkenge!tuwe makini sana na viongozi uchwara kama hawa., mtu anayechukua nchi ndani ya mda mfupi kila kitu kinaharibika,hatima ya tanzania ipo mikononi mwa vijana hasa wenye upeo wa mambo na wasio nahila na tamaa za mali, wenye moyo wa kujenga kama sokoine, wenye kuona kila mwananchi ananufaika na mali asili za nchi, wenye kuona kila mwenye sifa napata nafasi ya kusoma.tujifunge mkanda tutetee ukombozi wa nchi yetu!
   
 4. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  wana uhakika wa kupata uranium tena kwa bei chee chini ya serikali iliyopo...kwa nini wasiipende? kumbuka wao wana permanent interests...sio permanent friends. watakapoona it is in their interest kutokuwa na ccm, watageuka hapo hapo na stori za demokrasi, huma rights etc...lkn yoote ni kwa ajiliya economic and other interests zao tu!
   
 5. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Umenena vema, Serikali ya ccm huwapa mabwana mkubwa chochote watakacho, ndo maana mabwana hukaa kimya. Si unaona sasa wanatuomba hata vitu vyetu vya faragha? (tigo). Yaani dhahabu wamebeba wameshiba, imewakinai, sasa wanataka upuuzi!
   
 6. ismathew

  ismathew JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Marekani na Uingereza sio marafiki wakubwa wa Tanzania, Bali Kikwete ni kibaraka "UNCLE TOM" kwa nchi hizo mbili husika na pia
  Ufaransa. Alitumiwa kama kibaraka na serikali ya Ufaransa katika mgogoro wa Ivory Coast, na alitumiwa kama kibaraka na Marekani
  kuweka kituo cha ndege zake zisizokuwa na rubani (Drohne) katika visiwa vya Ushelisheli katika bahari ya Indi (Sychells Islands)
  Na Waingereza wanamtumia kama kibaraka kukwapua rasilimali za nchi yetu. Kikwete na Serikali yake ya Ccm wote kwa ujumla ni
  ni watu wa hatari ambapo sasa hivi wanapaswa watuachie nchi yetu kutoka katika makucha yao ya udikteta kabla ya mwaka 2015.
   
Loading...