Marekani: Mwanamke aliyepooza kwa zaidi ya Miaka 10 ajifungua, Baba wa Mtoto asakwa

Huku kwetu vichaa wengi wanapewa mimba, hakuna sheria yeyote ya kufuatilia watu waliosababisha mimba
 
Hahaaa ...kwenda shule na kioo je !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahA,ukitoka na kioo shule unahama nacho mtoni kwenda kuchota maji ya chemichemi,utoto raha na utundu huu ndo unafanya wanaume wawe majasiri kupindukia wanawake wanabaki kutushangaa tu,mtu anagonga picha tu ya demu yeyote na anarelax au anagonga chupi hasa zile za Mademu wa nyumba za kupanga wanaopenda kuanika vibikini vyao nje!!! Vimeiliwa sana.
So man kumlala aliepooza hiyo ni cha mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HahahahA,ukitoka na kioo shule unahama nacho mtoni kwenda kuchota maji ya chemichemi,utoto raha na utundu huu ndo unafanya wanaume wawe majasiri kupindukia wanawake wanabaki kutushangaa tu,mtu anagonga picha tu ya demu yeyote na anarelax au anagonga chupi hasa zile za Mademu wa nyumba za kupanga wanaopenda kuanika vibikini vyao nje!!! Vimeiliwa sana.
So man kumlala aliepooza hiyo ni cha mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa
 
Kabla ya kuhitimisha kwamba alibakwa inabidi waanze naye, huenda alitamani mtoto, na jamaa akamuonea huruma akamsaidia... wapo wanawake wengi sana wanaomba misaada ya kupewa japo mtoto.....
 
huyo mwanaume kafanya ushenzi mkubwa sana lkn kwa upande mwingine kampa faida huyo mama maana kamuachia mtoto ambaye atakuja kumtunza
wewe unadhani huko ni Africa? Mtu mzima kwa maana ya wazee, mtu asiejiweza wote wanatunzwa na serekali kupitia vituo maalum.
 
Mwanamke aliyepooza kwa miaka isiyopungua 14, amejifungua mtoto na kusababisha mamlaka kufanya uchunguzi wa nani aliyempa mimba katika kituo cha kulelea wagonjwa wasiojiweza kilichopo Phoenix, Arizona nchini Marekani.

Mwanamke huyo alikuwa anatunzwa katika kituo kiitwacho Hacienda Healthcare. Lakini kitendo cha mwanamke huyo kubeba mimba ni ishara ya kufanyiwa unyanyasaji wa kingono katika kituo hiko, na kinachoshangaza zaidi ni ripoti kwamba waliokuwa wanamtunza hawakugundua kama ana mimba mpaka pale aliposhikwa na uchungu. Kwa msaada wa wauguzi, mwanamke huyo alijifungua mtoto wa kiume tarehe 29 December, 2018 na mtoto inaripotiwa anaendelea vizuri kabisa.

Unyanyasaji wa kingono kwa mtu asiyejiweza ni kosa la jinai katika jimbo la Arizona, na msemaji wa polisi katika mji wa Phoenix aliliambia gazeti la Washington Post kwamba mamlaka zinafanya uchunguzi wa tukio hilo.

Baada ya tukio hilo kutokea kituo cha Hacienda sasa kimeanzisha utaratibu wa wafanyakazi wa kiume kuingia na angalau mfanyakazi mmoja wa kike pindi wanapoingia katika vyumba vya wagonjwa wa kike.

Mpaka sasa hamna mtuhumiwa yoyote aliyekamatwa. Kwa sasa inasemekana polisi wameanza kuchukua sampo za DNA kwa wafanyakazi wanaume wote wa kituo hiko na kwa wale waliogoma kutoa sampo kwa hiyari polisi wamechukua hati ya mahakama ili kusaidia.

Source: CNN

https://edition.cnn.com/2019/01/09/us/arizona-woman-vegetative-state-gives-birth/index.html
DOOOOOO
 
kwanza mungemuuliza huyo mwanamke amefurahi au amechukia
Uskute pengine alitaka mwenyewe
Halafu juu ya hivo amepata mrithi
 
What does it mean to be in a vegetative state?
A vegetative state is absence of responsiveness and awareness due to overwhelming dysfunction of the cerebral hemispheres, with sufficient sparing of the diencephalon and brain stem to preserve autonomic and motor reflexes and sleep-wake cycles.
 
Back
Top Bottom