HahahahA,ukitoka na kioo shule unahama nacho mtoni kwenda kuchota maji ya chemichemi,utoto raha na utundu huu ndo unafanya wanaume wawe majasiri kupindukia wanawake wanabaki kutushangaa tu,mtu anagonga picha tu ya demu yeyote na anarelax au anagonga chupi hasa zile za Mademu wa nyumba za kupanga wanaopenda kuanika vibikini vyao nje!!! Vimeiliwa sana.
Nimeona miguu yako tayari nimekuwashia IndicatorHahahahaha mnajiendekeza muda mwingine......sasa ona mpaka mgonjwa anafanyiwa hivyo nyege gani hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Khe makubwa hayoNimeona miguu yako tayari nimekuwashia Indicator
HahaaHahahahA,ukitoka na kioo shule unahama nacho mtoni kwenda kuchota maji ya chemichemi,utoto raha na utundu huu ndo unafanya wanaume wawe majasiri kupindukia wanawake wanabaki kutushangaa tu,mtu anagonga picha tu ya demu yeyote na anarelax au anagonga chupi hasa zile za Mademu wa nyumba za kupanga wanaopenda kuanika vibikini vyao nje!!! Vimeiliwa sana.
So man kumlala aliepooza hiyo ni cha mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe unadhani huko ni Africa? Mtu mzima kwa maana ya wazee, mtu asiejiweza wote wanatunzwa na serekali kupitia vituo maalum.huyo mwanaume kafanya ushenzi mkubwa sana lkn kwa upande mwingine kampa faida huyo mama maana kamuachia mtoto ambaye atakuja kumtunza
DOOOOOOMwanamke aliyepooza kwa miaka isiyopungua 14, amejifungua mtoto na kusababisha mamlaka kufanya uchunguzi wa nani aliyempa mimba katika kituo cha kulelea wagonjwa wasiojiweza kilichopo Phoenix, Arizona nchini Marekani.
Mwanamke huyo alikuwa anatunzwa katika kituo kiitwacho Hacienda Healthcare. Lakini kitendo cha mwanamke huyo kubeba mimba ni ishara ya kufanyiwa unyanyasaji wa kingono katika kituo hiko, na kinachoshangaza zaidi ni ripoti kwamba waliokuwa wanamtunza hawakugundua kama ana mimba mpaka pale aliposhikwa na uchungu. Kwa msaada wa wauguzi, mwanamke huyo alijifungua mtoto wa kiume tarehe 29 December, 2018 na mtoto inaripotiwa anaendelea vizuri kabisa.
Unyanyasaji wa kingono kwa mtu asiyejiweza ni kosa la jinai katika jimbo la Arizona, na msemaji wa polisi katika mji wa Phoenix aliliambia gazeti la Washington Post kwamba mamlaka zinafanya uchunguzi wa tukio hilo.
Baada ya tukio hilo kutokea kituo cha Hacienda sasa kimeanzisha utaratibu wa wafanyakazi wa kiume kuingia na angalau mfanyakazi mmoja wa kike pindi wanapoingia katika vyumba vya wagonjwa wa kike.
Mpaka sasa hamna mtuhumiwa yoyote aliyekamatwa. Kwa sasa inasemekana polisi wameanza kuchukua sampo za DNA kwa wafanyakazi wanaume wote wa kituo hiko na kwa wale waliogoma kutoa sampo kwa hiyari polisi wamechukua hati ya mahakama ili kusaidia.
Source: CNN
https://edition.cnn.com/2019/01/09/us/arizona-woman-vegetative-state-gives-birth/index.html
Unajuaje kama mma ataponahuyo mwanaume kafanya ushenzi mkubwa sana lkn kwa upande mwingine kampa faida huyo mama maana kamuachia mtoto ambaye atakuja kumtunza
Sasa utelezi ulitokaje kama hajasense,Bwana wee hahaa ... usiseme mgonjwa tu ..sema mgonjwa wa stroke .. waweza kukuta hata utamu hakuusikia
Sent using Jamii Forums mobile app
You never know labda jamaa alipaka KYSasa utelezi ulitokaje kama hajasense,
Hahahahah umenichekesha kimaku man af niko kwenye kibasi
Sure mambo mengi msingi wake unaanzia utotoni,upole, ulaji,roho mbaya,ukatili,uzinzi na ushenzi wowote km ushoga nk unaanzia utotoni hakika so watoto wanahitaji uangalizi wa karibu sanamakubwa kama mzazi nimepata cha kujifunza
sana kwakweli na kumuomba mungu kwa kweliSure mambo mengi msingi wake unaanzia utotoni,upole, ulaji,roho mbaya,ukatili,uzinzi na ushenzi wowote km ushoga nk unaanzia utotoni hakika so watoto wanahitaji uangalizi wa karibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni tatizo hapo, hata akifa kaacha legacy .
Ila acha niheshimu taratibu na sheria za nchi ngine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajitahidi sana dada sema tatzo nature huwezi izuia.