Marekani: Mwanamke aliyepooza kwa zaidi ya Miaka 10 ajifungua, Baba wa Mtoto asakwa


Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
239
Likes
462
Points
80
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
239 462 80
Mwanamke aliyepooza kwa miaka isiyopungua 14, amejifungua mtoto na kusababisha mamlaka kufanya uchunguzi wa nani aliyempa mimba katika kituo cha kulelea wagonjwa wasiojiweza kilichopo Phoenix, Arizona nchini Marekani.

Mwanamke huyo alikuwa anatunzwa katika kituo kiitwacho Hacienda Healthcare. Lakini kitendo cha mwanamke huyo kubeba mimba ni ishara ya kufanyiwa unyanyasaji wa kingono katika kituo hiko, na kinachoshangaza zaidi ni ripoti kwamba waliokuwa wanamtunza hawakugundua kama ana mimba mpaka pale aliposhikwa na uchungu. Kwa msaada wa wauguzi, mwanamke huyo alijifungua mtoto wa kiume tarehe 29 December, 2018 na mtoto inaripotiwa anaendelea vizuri kabisa.

Unyanyasaji wa kingono kwa mtu asiyejiweza ni kosa la jinai katika jimbo la Arizona, na msemaji wa polisi katika mji wa Phoenix aliliambia gazeti la Washington Post kwamba mamlaka zinafanya uchunguzi wa tukio hilo.

Baada ya tukio hilo kutokea kituo cha Hacienda sasa kimeanzisha utaratibu wa wafanyakazi wa kiume kuingia na angalau mfanyakazi mmoja wa kike pindi wanapoingia katika vyumba vya wagonjwa wa kike.

Mpaka sasa hamna mtuhumiwa yoyote aliyekamatwa. Kwa sasa inasemekana polisi wameanza kuchukua sampo za DNA kwa wafanyakazi wanaume wote wa kituo hiko na kwa wale waliogoma kutoa sampo kwa hiyari polisi wamechukua hati ya mahakama ili kusaidia.

Source: CNN

https://edition.cnn.com/2019/01/09/us/arizona-woman-vegetative-state-gives-birth/index.html
 
Mccarrick

Mccarrick

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Messages
119
Likes
91
Points
45
Mccarrick

Mccarrick

Senior Member
Joined Jul 29, 2018
119 91 45
Hahaa wanaume sisi ..baadhi yetu ni nyoko sana "...
Chakushangaza hata huko ambapo tunaamini kuwa kuna civilization " kumbe pia bado kuna watu ambao ni hamnazo

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Binadamu wakati mwingine kama mumiani. Yaani huyo mama ana miaka 10 hajui anaeingia wala anaetoka kumbe usiku watu wanamnyatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,615
Likes
29,437
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,615 29,437 280
Teh,mnajiendekeza.
Kwani sisi hatuna ashki?mbona hatutumii nguvu kuzipunguza
Haujui kitu ..bi- dada uwanaume ni shida " ndio maana unaona mpka makasisi wamekutwa na tuhuma za ubakaji huko ulaya /amerca

Hili swala sio la kulichukulia poa ujue " imagine watu wamesoma na kuelimika kisha wakaamua kumtumikia bwana " lakini wameshindwa kuishi kwenye misingi ya ustaarabu " misingi ambayo huwa ndio wanaihubiri " kwaajili ya genye tu " ...haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,615
Likes
29,437
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,615 29,437 280
Kabisa,...bora umetutetea kuliko wanaoamini kuwa wakipata ashik akili yao huwatuma kufanya lolote.
Mwishowe watazini na watoto wao,iwe shida hadi kutoka njee kwa aibu
Haha mbona wengi tu wame shafanya hivyo aisee ... achana na genye aisee "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,615
Likes
29,437
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,615 29,437 280
Duh! Binadamu wakati mwingine kama mumiani. Yaani huyo mama ana miaka 10 hajui anaeingia wala anaetoka kumbe usiku watu wanamnyatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtihani sana mkuu ..shida kubwa kwetu ni pale tunapo anza kuupa udhaifu wetu nafasi ya kutangulia mbele katika maamuzi yetu ...badala ya busara tulizonazo " hapa ndio anguko la watu wengi huwa linapopatikana "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
4,512
Likes
1,687
Points
280
Age
34
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
4,512 1,687 280
Je Kama Mgonnjwa Alitaka Mwenyewe Apewe Vituz Kuna Ubaya Gani? Mgonjwa Naye Ana Haki Ya Kujamiana Akijisikia Hamu, Maana Viungo Vyake Vya Uzazi Ni Vizima
 
0ozg Tz

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
288
Likes
225
Points
60
0ozg Tz

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
288 225 60
Kumbe hata wakonta ataweza kuzaa,afu nasikiaga anampenzi,kuna hisia huwa wanapata au wanafanya tu bila kuhis chochote
 
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
5,683
Likes
9,178
Points
280
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
5,683 9,178 280
Tuliambiwa yupo kwenye coma sasa hivi unatuambia amepooza... tushike lipi na tuache lipi?
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
22,259
Likes
20,681
Points
280
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
22,259 20,681 280
Kuna bindamu hawana huruma kabisa...

Mtu kapooza unaenda kumfanya mpaka kuumpa mimba...


Cc: mahondaw
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
7,902
Likes
5,983
Points
280
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
7,902 5,983 280
huyo mwanaume kafanya ushenzi mkubwa sana lkn kwa upande mwingine kampa faida huyo mama maana kamuachia mtoto ambaye atakuja kumtunza
Choose the lesser evil now...
 
kijana13

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Messages
680
Likes
389
Points
80
kijana13

kijana13

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2013
680 389 80
SWALI LA KUJIULIZA. ilikuwaje Mgonjwa huyo hapo kituoni amekaa Miezi 9 na ujauzito Hakuna aliyenotice? Nani aliyekuwa amuhudumia kama kumwogesha etc.. maana Kwa hali yake ya it's means akili yake haifanyi kazi. Na Yupo yupo hujitambui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
11,893
Likes
10,279
Points
280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
11,893 10,279 280
Tukio limetokea ubeberuni
 
M

Mr Twesie

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2017
Messages
322
Likes
425
Points
80
Age
39
M

Mr Twesie

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2017
322 425 80
Yaani jamaniii nyege gani hizi,..wanaume baadhi wange rest in peace tuu,.loh!!!
Hii kitu huanzia mbali sana mpendwa toka kwe udogo hasa wa miaka 7-12 nakumbuka umri km huo ndo kipindi tulikuwa tunavizia kuchungulia wale wanawake hasa wanaokojoa nyuma ya nyumba zetu,akimaliza kukojoa unaangalia pale katikati mkojo ulipochimba kitundu,unajitombea ardhi mpk kamkia kanakuwa kekundu ukichoka /ukiridhika kwa maumivu huyo unaweka tiki kuwa huyo umeishamla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

MUSINGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
475
Likes
193
Points
60
M

MUSINGA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
475 193 60
Hii kitu huanzia mbali sana mpendwa toka kwe udogo hasa wa miaka 7-12 nakumbuka umri km huo ndo kipindi tulikuwa tunavizia kuchungulia wale wanawake hasa wanaokojoa nyuma ya nyumba zetu,akimaliza kukojoa unaangalia pale katikati mkojo ulipochimba kitundu,unajitombea ardhi mpk kamkia kanakuwa kekundu ukichoka /ukiridhika kwa maumivu huyo unaweka tiki kuwa huyo umeishamla

Sent using Jamii Forums mobile app
makubwa kama mzazi nimepata cha kujifunza
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
4,655
Likes
6,365
Points
280
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
4,655 6,365 280
Sio tatizo ila ndio tulivyoumbwa hivi. Kichwa cha chini kikipata moto cha juu hakiwezi kuuzima.
Noma!!!

Wakati fulani mwaka siukumbuki exactly ila ilikuwa kama sikosei 2002/2003 pale Jangwani kwenye daraja kipindi hiko mto Msimbazi haujawa tambalale kama ulivyo sasa ilikuwa mapema kama 06:00 am nipo kwenye ki-Hiace basi kuna jamaa alikuwa amemshikisha kingo za mto maza mmoja hivi alikuwaga chizi.

Jamaa alikuwa anapeleka moto hatari chakushangaza hata yule maza tuliyekuwa tunamuona chizi naye alikuwa anatembea na beat mbaya kabisa so haka kamchezo kakishawadia wote mwanaume smart na mwanamke asiyejitambua akili zao zinafanana.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
F

fokonola bokoyoka

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Messages
698
Likes
346
Points
80
F

fokonola bokoyoka

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2015
698 346 80
Bila shaka huyo mgonjwa atakuwa alitaka mwenyewe. Haiwezekani amekaa kimya bila kuripoti issue kwa uongozi.
 
Mccarrick

Mccarrick

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Messages
119
Likes
91
Points
45
Mccarrick

Mccarrick

Senior Member
Joined Jul 29, 2018
119 91 45
Mtihani sana mkuu ..shida kubwa kwetu ni pale tunapo anza kuupa udhaifu wetu nafasi ya kutangulia mbele katika maamuzi yetu ...badala ya busara tulizonazo " hapa ndio anguko la watu wengi huwa linapopatikana "

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe. Halafu songombingo lingine ni kuhusu doctor wa huyo mama...... Yaani mpaka mimba imefikisha miezi 9 na mtoto kuzaliwa ndio anashtuka kwamba mgonjwa alikuwa mjamzito. Sielewi ni tests gani alikuwa anamfanyia huyo mgonjwa ambazo zilishindwa kudetect hiyo pregnancy. Nadhani kibarua kimeishaota nyasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mccarrick

Mccarrick

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Messages
119
Likes
91
Points
45
Mccarrick

Mccarrick

Senior Member
Joined Jul 29, 2018
119 91 45
Je Kama Mgonnjwa Alitaka Mwenyewe Apewe Vituz Kuna Ubaya Gani? Mgonjwa Naye Ana Haki Ya Kujamiana Akijisikia Hamu, Maana Viungo Vyake Vya Uzazi Ni Vizima
Taratibu mkuu! Unaambiwa huyo mgonjwa kwa zaidi ya miaka 10 hajui anaeingia wala anaetoka, sasa sifahamu ni haki ipi unayoiongelea wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,615
Likes
29,437
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,615 29,437 280
Hii kitu huanzia mbali sana mpendwa toka kwe udogo hasa wa miaka 7-12 nakumbuka umri km huo ndo kipindi tulikuwa tunavizia kuchungulia wale wanawake hasa wanaokojoa nyuma ya nyumba zetu,akimaliza kukojoa unaangalia pale katikati mkojo ulipochimba kitundu,unajitombea ardhi mpk kamkia kanakuwa kekundu ukichoka /ukiridhika kwa maumivu huyo unaweka tiki kuwa huyo umeishamla

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa ...kwenda shule na kioo je !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,615
Likes
29,437
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,615 29,437 280
Nakubaliana na wewe. Halafu songombingo lingine ni kuhusu doctor wa huyo mama...... Yaani mpaka mimba imefikisha miezi 9 na mtoto kuzaliwa ndio anashtuka kwamba mgonjwa alikuwa mjamzito. Sielewi ni tests gani alikuwa anamfanyia huyo mgonjwa ambazo zilishindwa kudetect hiyo pregnancy. Nadhani kibarua kimeishaota nyasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me uchunguzi ukiisha hapo " hautomuacha huyo doctor salama " ...haiwesekani kabisaaa eti kwamba walishindwa kujua kuwa mgonjwa ni mjamzito ....huwenda ikawa doctor mwenyewe alimla mzigo "au mtu wa karibu na doctor so wakaamua kufanyiana siri

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,905
Members 481,523
Posts 29,750,309