Marekani: Muigizaji Nick Cannon ambaye ni Mume wa zamani wa Mariah Carey, atuhumiwa kwa ubaguzi baada ya kuwafananisha wazungu na wanyama

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1594797509909.png

1594797547569.png

Mmarekani mweusi Nick Cannon (39) ambaye anafahamika zaidi kama muigizaji, mchekeshaji na mtangazaji ametuhumiwa kwa ubaguzi baada ya kuwafananisha wazungu na wanyama

Kupitia kipindi chake, Cannon amesema wazungu wapo chini ikilinganishwa na watu weusi kutokana na ukosefu wa 'Melanin' ambayo husaidia ngozi kuwa na rangi

Muigizaji huyo alisema watu weusi wana asili ya huruma, kitu ambacho wazungu wanakosa na hivyo kuwa na uoga na wivu unaopelekea wafanye vitendo viovu

Baada ya kukosolewa mitandaoni, Cannon amesema kipindi chake kinalenga kutoa elimu na kukaribisha mijadala kumsahihisha na kumuelimisha

Aidha, kampuni ya ViacomCBS aambayo amefanya nayo kazi kwa muda mrefu imetangaza haitoshirikiana naye kuanzia sasa

===

“The Masked Singer” host and former husband of Mariah Carey, Nick Cannon said in his podcast last week that white people are inferior to black people due to the lack of melanin in their skin.

As detailed on The Daily Wire, Speaking on an episode of “Cannon’s Class,” the television host argued that “melanated people” have a natural sense of compassion and soul that white people lack, creating jealousy and fear that causes them to act out in evil ways.

“When we talk about the power of melanated people,” he said on the program. “Melanin is so powerful, connects us in a way, that the reason why they fear blacks is because of the lack that they have of it.”

Cannon argued that this lack of pigment in their skin leads white people to fear genetic annihilation.

“When you see a person that has a lack of pigment, a lack of melanin, they fear that they will be annihilated,” he said. “So, therefore, however they got the power, they had a lack of compassion. Melanin comes with compassion, melanin comes with soul. We call it soul. You know soul brothers and sisters. That’s the melanin that connects us. So the people that don’t have it, and I’m going to say this carefully, are a little less.”

Cannon even compared white people with animals and barbarians, referring to them as the “true savages.”

“They had to be savages, they had to be barbaric, because they’re in these Nordic mountains, they’re in these rough environments, so they’re acting as animals,” he said. “So they are the ones that are actually closer to animals, they are the ones that are actually the true savages.”

Cannon addressed the controversy and refused to apologize while inviting people to come on the show and debate him.

“There’s no malice or negative intent, but in a time like 2020 we got to have these conversations,” said Cannon. “And if there’s an assumption that is perceived as ignorant, let’s debunk it right away.”

“My podcast is specifically an academic podcast to have tough and difficult conversations based off of text. And if we read something and something’s not accurate, let’s do away with it,” he continued. “I can’t wait to sit down with some people that can help educate me and help further this conversation. I want to be corrected.”
 
Wazungu bana ukiwa mtu maarufu wakaja wakanasa skendo zako za ubaguzi au unyanyasaji wa kijinsia basi wanaacha kufanya kazi na wewe
 
Anajisahau hata baadhi ya watoto wake wana damu ya hao ''closer to animals''
 
Hapo alichokosea Nick ni kuwataja Jews kwenye hiyo Podcast...

Jews Own Hollywood, watamharibia mbaya
 
Inaitwa mihemko...
Terry Crews,Kareem A.J,Chance the rapper na baadhi ya Watu weusi wamekuwa wakitoa maoni ambayo jamii kubwa ya wenye mrengo wa kushoto wanawaona Kama wasaliti wa weusi wenzao.
This guy is so stupid. Huwezi sema kitu kama hicho ukategemea utatoka salama. Watu weusi sijui tuna matatizo gani, tunadhani tukiwa racists ni sawa ila weupe wakiwa racists tunapiga kelele. Stupid ass
 
Na sisi nani katuzuia kuacha kufanya kaz na wao ?
Hatuwezi kuacha kufanya nao kazi, sababu hatujitoshelezi katika SCIENCE & TECHNOLOGY.
Taifa Kubwa ni lile Taifa ambalo linalojiweza sana katika Science & Technology.
Ukiwa na Sayansi na Teknolojia bora basi itakufanya uendelee katika nyanja zifuatazo :-
• MILITARY (Ukiwa na Teknolojia bora basi utakuwa na zana bora za kisasa unazoziunda mwenyewe iwe ni Computerized & Software Systems, Jet-fighters, Drones, Biological Weapons etc.)
• INDUSTRIAL REVOLUTION (nchi kubwa zote ni nchi zilzoendelea kiviwanda, hususani Manufacturing industries)
• HEALTHCARE SYSTEM ( sayansi na teknolojia bora itakufanya uwe na Mfumo Bora wa Afya, Vifaa-Tiba Bora, Taaluma Bora ya Afya pia)
• AGRICULTURAL SECTOR (kilimo kinaleta chakula, chakula ni Uhai.. Sayansi na Teknolojia bora husaidia sekta ya kilimo na kuongeza Uzalishaji kwa mbinu za kisasa)
• RESEARCH & DEVELOPMENT (nchi kubwa duniani huwa ni zile zinazofanikiwa katika Tafiti zao za Kisayansi)
• ENERGY (sayansi na teknolojia bora itasaidia katika Uzalishaji wa Nishati, Nishati ni muhimu katika Viwanda, Matumizi ya Majumbani etc. Umeme wetu bado wa kusuasua na haujasambaa nchi nzima)

Nchi za Kiafrika badooooo sana hazijafinikiwa katika Sayansi na Teknolojia. Hahahah!! Tumeachwa nyuma miaka kama Mia Moja Tisini (190) hivi....
Ukifanikiwa katika sekta hizo basi VIWANDA (Manufacturing industries na Processing Industries) utakuwa navyo vingi na Mzunguko wa Pesa utakuwa Mkubwa, Sekta ya Afya itakuwa Bora, Umaskini wa Kipato kwa Mwananchi Mmoja Mmoja Utapungua Sana, na FURSA ZA BIASHARA na AJIRA zinakuwa nyingi pia sababu MZUNGUKO WA PESA utakuwa mkubwa.
 
Magufuli amesema sisi ni nchi tajiri, wewe unasema wazungu wametuacha mbali sana.
 
Back
Top Bottom