Marekani: Makasisi 700 wa kanisa katoliki watuhumiwa kuwalawiti watoto

Kanisa kuwalipia fidia ni mambo ya aibu kabisa kwa kanisa katoliki!
Wangeacha washtakiwe hata kunyongwa au kufungwa maisha pale inapidi kuendana na sheria za nchi husika!
 
Kwahiyo wewe unaona ushoga ni bora kuliko mapadri kuruhusiwa kuoa?duuuuh kweli wewe utakua choko
Ilimu yako kuhusu deen/Imani ni ndogo sana dogo!
Wakristo wamepoa kama maji mtungini, sababu Yesu Alikwisha Utoa Mwongozo kwa watu kama hao!

Mathayo 13
26 Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu.

27 Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?

28 Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye?

29 Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing'oa ngano pamoja nayo.

30 Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu.

Sasa tuwekee humu Mungu wako ametoa hukumu gani kwa wanaume wanaofirana
 
Back
Top Bottom