Tell them bro, taifa bado lina wapumbavu wa kutosha sana. Bahati mbaya elimu yetu inaondoa ujinga, haiondoi upumbavuHii nchi ina wajinga wengi sana! Yaani me ni Moja wa watu wa mwanzo kabisaa kupata chanjo hapa nchini. Hakuna tofauti yoyote niliyowahi kuihisi tangu nichanjwe. Bahati mbaya sana wajinga km huyu mleta mada nchini kwetu ndiyo wanaaminika.
Siongezi neno hapa!Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa binaadamu, siku zote mjinga huinua masikio yake kama popo ili asikie jambo la kijinga litakalompa nafuu kichwani mwake. Watu waliochanja wako kimya wamekwisha sahau kama walichanja, chaajabu wale wajinga kila siku wanayoyoma kuhusu madhara ya chanjo kama vile wamechanja, King Kikii alisema, hata kama nikila makongolo na familia yangu wewe inakuhusu nini?
Napita tuuUjinga wake unamfanya aamini kuwa waliochanjwa masikio yao yanasikilizia kutoka ilikotoka chanjo, yaani Amerika!
Ahahaaaaa....! Nilisema sichanjwiUmeanza kuchanganyikiwa?
Ni swala la wakati na MudaHata mie nashangaa. Nimechanja na wala sina dalili hata moja ya hizo zinazotajwa
Binafsi hata mm nilishasahau kama nilichanjwa.Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa binaadamu, siku zote mjinga huinua masikio yake kama popo ili asikie jambo la kijinga litakalompa nafuu kichwani mwake. Watu waliochanja wako kimya wamekwisha sahau kama walichanja, chaajabu wale wajinga kila siku wanayoyoma kuhusu madhara ya chanjo kama vile wamechanja, King Kikii alisema, hata kama nikila makongolo na familia yangu wewe inakuhusu nini?