Marekani: Maandamano ya kifo cha George Floyd yafika White House, mabomu ya machozi yatumika. Rais Trump ajificha

Kitu ya namna hii HAITOKAA ITOKEE kwenye Ikulu ya Marekani. Hizi ni ndoto za mchana. Baada ya 9/11 huwezi kuingia White House kindezi hivi. Mtauawa kama nzige na wala hakutakuwa na kesi. Those Protesters are not that stupid kurisk maisha yao.
 
Yaani kabisa eti mtu anaamini hiyo ndo ikulu ya Marekani...

Hata ukimwonyesha picha, bado anabisha.

Kiwango cha upumbavu ni kikubwa sana aisee
 
Crisis on top of Crisis lakini mimi ntakuwa wa mwisho kabisa kuamini kama WH inaweza kuwa attacked ile ndo safest place on the earth, kuna parameters Secret Service wameweka na Atakae kuwa kiherehere kuzikuvuka basi huyo atakuwa hataki kuishi
Hao demonstrators jana walishia tu kupiga kelele huku tayari walisha cholewa mstari wasivuke.
 
Crisis on top of Crisis lakini mimi ntakuwa wa mwisho kabisa kuamini kama WH inaweza kuwa attacked ile ndo safest place on the earth, kuna parameters Secrer Service wameweka na Atakae kuwa kiherere kuzikuvuka basi huyo atakuwa hataki kuishi
WH yaweza isiwe safest place ndo maana ikitokea exchange ya nuclia warheads POTUS hatokaa pale.
 
Kitu ya namna hii HAITOKAA ITOKEE kwenye Ikulu ya Marekani. Hizi ni ndoto za mchana. Baada ya 9/11 huwezi kuingia White House kindezi hivi. Mtauawa kama nzige na wala hakutakuwa na kesi. Those Protesters are not that stupid kurisk maisha yao.
Kwani hio 9/11 ulitegemea kama itatokea japokua nimpango wao wenyewe ila ulitegemea kama itatokea

Wahuni tutazama humo humo natutamchomoa huyu simbirisi na atakula bakora zakushato...

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom