Marekani: Maandamano ya kifo cha George Floyd yafika White House, mabomu ya machozi yatumika. Rais Trump ajificha

Nadhani pia changamoto kubwa sasa iliyopo ni hiyo. Sheria za kumili silaha kwa nchi kama Marekani sio ngumu, hivyo kupelekea watu/raia wengi sana kuwa na silaha mitaani, achilia zile ambazo zinamilikiwa kinyume na utaratibu.

Ni mwezi wa tatu au wanne ilionyesha ununuzi wa silaha kwa watu binafsi ulipanda kwa kiasi kikubwa sana japo nchi ilikuwa kwenye lockdown.

Nadhani ni muda muafaka sasa wa mamlaka husika kuliangalia swala la haya maandamano kwa jicho la tatu na kuona namna ya kushusha hizo hasira/maandamano.
huu ndio utakua wakati muafaka sasa wakuzitumia hizo silaha maana zinakaribia kuota kutu tu ndani aaah

tutaenda kuzitest soon.....
 
Roho yako mbaya haiwezi kufanikiwa.

Marekani yaongoza kwa wananchi kuwa na siraha ila hujaona mtu kaitumia
wewe kaa tu huko namtumbo kijana

US kumenoga ohoooo shauri yako.....

Nawakizidi kuleta upuuzi wao ndio tutakiwasha kweli kweli sasa maana hatutaki ujinga ujinga...
 
Kuna baadhi ya watu humu ni mambumbumbu sana aisee!

Kwanza hawajui hata White House ikoje, licha ya kuwa na access na mtandao.

Pili hawajui hata kupembua kati ya uzushi na habari ya kweli, licha ya kuwa na nyenzo za kufanya hivyo.

Tatu, mtu anakomaa kubisha kitu ambacho hata hakijui.

White House haiwezi kuwa breached. Tuliofika hapo tunajua palivyo.

Yeyote atayethubutu kuvuka mstari uliowekwa na Secret Service basi anatafuta kifo tu.

Secret Service hawana mchezo. Wanamaanisha wanachokisema.
Watu wameamua uentertain ujinga kwa makusudi.Wanaelewa kabisa kuwa kwenda kufanya chokochoko zozote kwenye makazi ya Rais ni hatari halafu wanaamini watu wameingia White House Tena kizembe zembe tu.Wajinga ni wa kuachana nao
 
Screenshot_20200601-234458~2.png

Screenshot_20200601-234420~2.png

Tatizo la US,kila mtu Ni mbabe.
 
Trump kashaongea na wala hapepesi macho imewekwa Curfew kuanzia 07:00 Usiku na wote watakao puuza basi immediately military action will be taken to let them stop the violence, Ila pia ame mobilize fully the Us Millitary and civilian resources to curb the unrest situation thats goin on nationawide, He urged americans to calm and he called himself as an ally of peaceful protests but not this rioting and looting, He also said all the organizers will face length sentence and penalties. Amelalamikia pia State governors failed to safeguard their residents, and here we are He will do whatever he can to restore Peace and safeguard all the people.
He also said he will take the charge to protect the Capital city Washington DC
 
Trump kashaongea na wala hapepesi macho imewekwa Curfew kuanzia 07:00 Usiku na wote watakao puuza basi immediately military action will be taken to let them stop the violence, Ila pia ame mobilize fully the Us Millitary and civilian resources to curb the unrest situation thats goin on nationawide, He urged americans to calm and he called himself as an ally of peaceful protesters but not this rioting and looting, He also said all the organizers will face length sentence and penalties. Amelalamikia pia State governors failed to safeguard their residents, and here we are He will do whatever he can to restore Peace and safeguard all the people.
He also said he will take the charge to protect the Capital city Washington DC

Poor Trump, too late to do that, no one listen at this stage, the chaos, riots, has passed uncontrollable stage bcoz of his racist words, hate and arrogant behaviour, the people's power is all over the streets of US cities, sio rahisi to kill all people, the truth is anajua kabisa anaweza kutolewa WH na nguvu ya umma kama nchi zingine unazoziona.
 
Back
Top Bottom