Marekani kupitia Waziri Pompeo yaionya Uturuki isizitumie silaha kutoka urusi s400 la sivyo vikwazo zaidi vitaihusu

Vijana wa Ndalichako. FAFAFA zinawasumbua sana, ndo akili ulizo tumia huko sec kupata Fafafa
Eee hiyo S -500 ni habari nyingine juzi burundi walikuwa wanaijaribisha yaani kigoma tulitafutana aise
 
MKUU acha vimbwanga bhana.
Burundi hela ya kununulia s-300 tu hawana hiyo s-500 waitolee wapi.???!!!
Ahahahahhaahahahah

Sasa mm naona watu humu wanazisifia hizo S kama zinaundwa nyumbu pale au wameshaona ubora wake kwenye battle

Kubwa zaidi hivi unajua kuwa S 200,300,400
na 500 ni San goa na Buk zilizoboreshwa tu

Hapo kw
Kumbuka kuwa hilo haliwezi kutokea kwamwe, kama Uturuki ikiwaruhusu wamagharibi kuzichunguza inabidi Uturuki anajitia kitanzi mwenyewe, hizo silaha wamenunua Uturuki kwa ajili ya nchi yao na sio wamagharibi
Tatizo lipo hapo kwenye kipengele cha kuuziwa S 400 pamoja na knowledge exchange jinsi ya kuunda hayo madude..

wasiwasi wangu kwenye list ya kuwapa train hao waturuki NATO wanaweza penyeza watu wao/ vibaraka .

Kama waliweza penyeza mamluki jeshini karibia wapindue nchi ..???
 
Sisi Tz tutafikia hiyo hadhi ya kumiliki hayo madubwasha na kutingisha jukwaa la kimataifa mwaka gani? au tutabakia mashabiki tu?
 
Naona Richard Irank.. umebadili tu ID lkn mwandiko ni ule ule mkuu.
Sasa mm naona watu humu wanazisifia hizo S kama zinaundwa nyumbu pale au wameshaona ubora wake kwenye battle

Kubwa zaidi hivi unajua kuwa S 200,300,400
na 500 ni San goa na Buk zilizoboreshwa tu
 
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo ameionya Uturuki isiziweke kwa mkao wa matumizi silaha .

Marekani wapo sahihi kwa 100% Kumzuia mturuki kununua na kufunga hiyo mitambo ya kujikinga na mashambulizi kupitia anga,labda kabla sijafika mbali mimi ni mtaalamu wa mawasiliano ya Redio kwa njia ya upepo (Wireless Transmission) nimesomea na ninafanya kazi katika hiyo nyanja,
Kwa miaka mingi sana ya kiushindani baina ya Marekani na Urusi hasa kwenye nyanja za Vifaa vya ulinzi(Jeshi) karibia mara zoote Urusi wamekuwa na 'Upper Hand" yaani wanakuwa mara nyingi juu ukilinganisha na marekani hii unaweza kuifanyia research,ni kutokana na aina ya silaha wanazo zitengeneza kwanza ni ngumu na zina dumu muda mrefu,pili ni bei nafuu kununua na kuzihudumia ukilinganisha na marekani na tatu ni rahisi sana kuzitumia haziko complicated sana kama silaha za wamarekani ambazo zinahitaji mtumiaji awe amekwenda shule haswa.
Mlinganisho unaweza kuwa wa
1.Ndege za kivita
2.Manowari za kivita
3.Submarines
4.Ulinzi wa Anga(RADARS,Early Warning systems,Anti missile defence systems)
5.Silaha za maangamizi (Nyuklia,kemikali,Atomic na Helium)
6.Delivery Vehicles(Ballistic missiles ICBM,
Sasa nikirudi kwenye thread yako ni kwanini marekani anamtishia mturuki kufunga hizo systems za mrusi za kujilinda na makombora na ndege za kivita??,Kabla ya kujibu tunatakiwa tujue namna RADAR inavyofanya kazi,RADAR maana yake ni RAdio Detection And Ranging maana yake unatumia mawimbi ya redio kuona kitu kilicho angani kupitia kwa mawimbi yanayo akisiwa kurudi kwenye mtambo(Transmitter/Receiver),ndio hii sababu Radar zinawekwa mahali palipo inuka,kama ni kwenye meli/boat basi inakaa juu kabisa kama ni ya kuongozea ndege za abiria au kivita basi wanaijengea mnara mrefu au inakuwa juu ya kilima na kama ni mobile basi inajirefusha mnara inakuwa juu.
Sasa Radar ya Kivita inafanya kazi Tatu kwa wakati mmoja Kazi ya kwanza ni kurusha mawimbi ya redio (Transmitting) ili iweze kuona nini kipo angani yale mawimbi iliyo yarusha yanatakiwa kama kuna kitu yamekutana nacho huko angani basi yana-akisiwa (Reflection) kurudi tena kwenye Radar (Receiving) then hayo mawimbi yaliyo akisiwa yakirudi tena kwenye Radar basi vitu vifuatavyo vinaweza kujulikana ikiwemo Umbali wa hicho kitu,Ukubwa (Signature),Mwendokasi wake,Angle na Trajectory Path (Njia),baada ya Radar kupata hivyo vitu then kitu cha tatu muhimu katika radar za kivita kinatakiwa kuchukue mkondo wake nacho kinaitwa Tracking (Ufuatiliaji) ni kupitia tracking ndio unaweza kutungua/kupiga hicho kitu ambacho radar imekiona huko angani na hapo kwenye tracking ndio kwenye siri kubwa!!!!.
Sasa siku hizi unasikia kuna teknolojia inaitwa Stealth hasa kwenye ndege za kivita(F35 na Su 57) kwamba hazionekani kwenye radar,iko hivi,hizo ndege za kivita sio kwamba hazionekani kwenye radar ila jinsi walivyozitengeneza materials yaliyotumika yamepunguza sana kitu kinaitwa Radar Cross Section Area yaani namna ndege ilivyotengenezwa inaruhusu idadi ndogo sana ya mawimbi ya Radar kuakisiwa kurudi kwenye radar na pia rangi na bati lililotumika linanyonya (absorb) mawimbi ya redio kwahiyo ndege kama hiyo kwenye radar itakuwa inaonekana ila ni vigumu kuifanyia ufuatiliaji (Tracking)sababu idadi ya mawimbi yanayokuja ni madogo kuweza kupata umbali,mwendokasi,na Angle yake sasa kupitia kitu kinaitwa Ukubwa au SIGNATURE MOVE ya ndege/target husika Radar inaweza kufanya tracking ya hiyo target iliyoiona huko angani na kuitungua kwa lugha nyingine Radar inaweza kukaririshwa (kuwa programmed) hiyo target namna inavyotembea,inavyo move,ukubwa wake na namna inavyofanya mawasiliano na ndege/target zingine rafiki,namna inavyoshambulia,namna inavyomanuvers nk.... ndiomaana kwenye ile vita ya kosovo wale watu wa kosovo waliweza kuitungua ile ndege ya mmarekani ambayo walikuwa wanajigamba kuwa haionekanagi kwenye radar baada ya wamarekani kuitumia kupiga mabomu kwenye anga la kosovo karibia mara mbili so wakosovo kwa msaada wa warusi waliweza kuzikaririsha Radar zao SIGNATURE MOVE za hiyo ndege so wakaweza kuitungua hiyo ndege inaitwa F117A,imetengenezwa kama Kishada ili kuzuia kuakisiwa sana na Mawimbi ya Radar
Turudi kwenye Mada,kwanini wamarekani wanaikataa hii system ya S400 ni kwa sababu pale uturuki marekani kupitia NATO kaweka hizi ndege zake za mashambulizi za kisasa zaidi ambazo anasema hazionekani kwenye Radar (F35) kwahiyo kama radar ya mrusi ikiwa pale inamaana itakuwa na uwezo wa kusoma Signature Moves za hizo ndege za NATO hasa hizo F35 na pia Range ya Radar ya mrusi atmost ni 450KM almost itakuwa inafanya coverage ya nusu ya anga la middle east na ulaya sehemu ambayo mmarekani ana ndege nyingi na makombora ya kivita japo hii radar itakuwa chini ya waturuki who knows labda inatuma mawasiliano kwa njia ya satellite kwenda urusi?,na pia watakao kuwa wanaifanyia maintainance si hao hao warusi?
Na kwa kuwa the best Air defence duniani kwa sasa ni ya Warusi hiyo S400 ndio maana mmarekani anaogopa uwezo wa warusi hasa kwenye maswala ya technolojia ya Redio tangu enzi na enzi,warusi wana Air surveillance Radar Inaitwa Voronezh ina range ya 10000 Km! na inauwezo wa ku track target zaidi ya 500 kwa mara moja nikama wanauwezo wa kuona nusu ya dunia nini kipo angani nani karusha kombora na linaelekea wapi nk...,Air Suvailance Radar ni tofauti na Military defence Radar utofauti nikwamba military radar inauwezo wa kuongoza kombora kwenda kupiga ilicho kiona angani wakati hiyo nyingine inaona tu vilivyopo angani na haina uwezo wa kufanya muongozo wa kombora (GUIDANCE) kwenda kwenye target
Ndio maana military Radar hazina Range kubwa ukilinganisha na radar zingine sababu zinatumia Capacty ya bandwidth , Frequency na Transmitting Power kuweza kupata details nyingi kwa wakati mmoja ili kuweza kuongoza kombora ndio maana S400 ya warusi inafikia maximum Range ya Km 380 kwa bei ya USD 300 million kwa unit ! dhidi ya Patriotic Air defence system ya wamarekani yenye range ya Km 160! na kwa bei ya USD 2-3 Billion!,ndiomaana mataifa mengi sasahivi yameanza kununua hizi Radar za mrusi ikiwemo Uturuki na China, mataifa ambayo yamepelekewa huu mfumo kwa kuazimwa kwa muda tu ni Syria na Venezuela nadhani umeona huko syria mrusi alichokifanya hakuna ndege za kivita za israel na marekani kusogelea anga la syria hadi sasa Assad kashinda vita dhidi ya ISIS the same applies kwa Venezuela ambako marekani ilikuwa inataka kuipiga kijeshi Urusi kapeleka Huu mfumo wa Radar na yale mandege yake yanayobeba mambomu ya ki nyuklia,soon Iran na India wapo mbioni kufunga hizi S400 katika nchi yao
Inaaminika mrusi kwasasa anatumia S500 ambayo hajaanza kuiza bado na huu mfumo wa s400 alikuwa nao tangu mwaka 2007 ndio kaanza kuuza mwaka jana! miaka 10 baaada ya kuutumia!,mmarekani ana silaha na mifumo mizuri pia ila ni gharama sana kuinunua na kuitumia ukilinganisha na mitambo ya urusi
 
Endorgan amesema mtambo utaanza kazi april,mwaka ujao,na sasa anajiandaa kuagiza S-400 system ya pili,baada ya delivery ya kwanza kumalizika
Sisi tunaagiza lini hii kitu, tena kwa cash, maana kila siku tunasukia kwa wenzetu tu.
 
Elimu murua kabisa mtaalamu nipo hapa kuchota madini

Safi sana mkuu kwa uchambuzi, nimeona Habari pia inayosema China muda sio mrefu atanunua huu mfumo wa S500 na itakua ni nchi ya kwanza kuruhusiwa na mrusi kuanza kutumia huu mfumo

Safi sana natamani hii arm race iendelee hivi hivi.

Yaani kama Bongo hapa mnakamata s400,Uganda pale S300 zile nchi choka mbovu hapa Africa zinapewa hata S200 hata mkopo ili mradi kila mtu awe mbabe mbabe na kuoneana kipumbavu kuishe/kupungua mkuu.

Back
Top Bottom