Marekani kupitia ubalozi wake imesema inaendelea kufuatilia kwa karibu kesi ya Erick Kabendera.

Mh! Kuna Jambo juu ya huyu kabendera linawagusa moja kwa moja! Ben kimya,Gwanda kimya, lisu kimya , MKIRU Kimya Leo kbdra mayowe! Heko tz intelligence,

Nashauri mwachieni kabendera then mtengenezeeni mazingira akimbie nchi, mtakua mmewakata maini mabeberu. Mwalimu alikua very intelligent kwa mtego wa Kambona by then. (Though Kambona was right lakini amani ya nchi ilikua muhim zaidi)
 
Mjadala ni Marekani kujifanya anatetea uhuru wa watu na ndio sababu tunatoa facts za kuonesha kuwa America sio mfano bora wa utetezi wa haki za binadamu na huwa wanajifanya hivyo pale tu wanapokuwa na agenda hasi nyuma ya Pazia

Wamemaliza ‘kutetea haki za binadamu ‘ Syria na Libya?

Mohamed Mursi Rais halali na wa kwanza wa ki Demokrasia wa Egypt kawekwa mahabusu kwa zaid ya miaka nane na hatimae kafia kizimbani ushawahi kusikia press release ya America juu ya hilo?
Lakini Majority tunakubaliana na agenda hasi ya amerika kama ni kutetea haki za binadamu, labda tuambie agenda yao ni IPI?
 
Na kwanini mtu mmoja tu mwenye roho mbaya na chuki za kutisha, asiyetaka kukosolewa kwa maovu yake chungu nzima aichafue nchi kama vile hii nchi ni mali yake na ana hati miliki?

Ni haki yao.... Maana mihela yao inatutesa vilivyo.

Ila hili jambo la huyu mwandishi lina tuchafua sana kimataifa.
 
Wewe na wenzio ‘hamjali ‘
Pohamba na wenzie wanajali

Kama mnajali muwaambie hao wanaochezea box la kura ni kama wanachomoa battery, madhara yake yako wazi. Huu uhayawani wa wazi kwenye demokrasia na box la kura uko wazi, hivyo wajue mchezo wao utatuingiza matatizoni wote.
 
Mh! Kuna Jambo juu ya huyu kabendera linawagusa moja kwa moja! Ben kimya,Gwanda kimya, lisu kimya , MKIRU Kimya Leo kbdra mayowe! Heko tz intelligence,

Nashauri mwachieni kabendera then mtengenezeeni mazingira akimbie nchi, mtakua mmewakata maini mabeberu. Mwalimu alikua very intelligent kwa mtego wa Kambona by then. (Though Kambona was right lakini amani ya nchi ilikua muhim zaidi)
Angalizo; Serikali ikiendelea vitendo viovu vya ukiukwaji wa haki za binadamu, ikitokea uasi kama wa bokoharam au alshababu utapata wafuasi wengi sana
 
Huenda beberu ameshikwa hashua anakaribia kuhasiwa!!
 
Usiniambie?? Kwahiyo hata mshahara wa Mwenyekiti wenu unaotokana na ruzuku unalipwa na Marekani?? Basi sawa.
Kama huna habari hata uchaguzi uliomuweka Magufuli ikulu uligharamiwa na anaowaita mabeberu, juzi tumeanza kuwabembeleza wazungu watupe pesa za uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Acheni Upuuzi hivi sisi mambo yao Marekani huwa tunawaingilia? au mnadhani na huko Kwao ni Kusafi hivyo? Utajiri wa Marekani, Nguvu yao Kijeshi na Kiusalama bila kusahau kupenda Kwao kutoa Misaada Afrika kwa Kutumia Rasilimali zetu wenyewe ndizo zinawafanya mshindwe kujua kuwa hata nao wana Matendo yao mabaya tu ila tatizo la Watanzania wengi hampendi Kufuatilia mambo mbalimbali na mnabaki kudakia dakia tu.

Tanzania ni nchi Huru na kamwe hatutotishwa wala Kuyumbishwa na Wamarekani. Tupo pia tayari kwa lolote. Kama kweli Wamarekani wanataka Haki za Binadamu na wanazingatia hilo sana watujibu Waafrika ni kwanini wao kupitia CIA walimuua vibaya Baba wa Taifa la DRC Hayati Lumumba kiasi kwamba hadi leo hii hiyo nchi haitawaliki huku bado wakiendelea kuinyonya tu pamoja na Washirika wao wakuu Waingereza, Wafaransa bila kuwasahau Warusi pia na Ushahidi wa hili upo kila mara kupitia Literature / Publications mbalimbali.

Ninachojua tu ni kwamba Mamlaka za Tanzania siyo Wapumbavu Kumkamata huyo Mwandishi na kama hana Hatia basi ataachiwa Huru tu ila kama akikutwa na Hatia basi Maamuzi ya Mahakama yaheshimiwe na apate anachostahili na siyo kuanza Kumtetea Kinafiki hapa wakati ukweli ni kwamba wengi Wetu hatujui lolote kwakuwa ndani ya Nchi zote zile huwa kuna yale tunayoyajua na yale tusiyoyajua vile vile.

Na kama kuna nchi duniani ambayo ina najisi Haki na inazionea sana nchi zingine nyingi duniani basi ni Marekani wenu hawa hawa ambao leo hii mnajifanya mnawapenda eti kwakuwa tu wamekuwa mara kwa mara wakijitokeza Kuwatetea Watu ambao Kwenu nyie mna Maslahi nao ya Kiupinzani na Kiuanaharakati na Kuzisema zile Tawala ambazo hamzipendi na mna Chuki nazo hasa kupitia Marais wao waliopo Madarakani.

Kwenye hili Sakata la Mwandishi Erick Kabendera nipo 50 / 50 nikiwa na maana kuna Upande namlaumu Yeye kama Yeye kutokana na kwamba kuna Key Principles za Investigative Journalism alizikiuka ( na Yeye anajua hilo nina uhakika ) na sehemu ambayo nailaumu Mamlaka ni pale tu ambapo nao walijichanganya mwanzoni kwa Kuanza nae na Sakata la Uraia na ghafla baadae tena hilo la Uraia wakaachana nalo wakaja na haya mengine. Kuna Udhaifu fulani waliuonyesha hapo hata hivyo pamoja na Madhaifu yao hayo bado Mamlaka hiyo haikatazwi kuendelea na hatua za Kisheria dhidi ya huyu Mwandishi wenu.
 
Serikal yetu nayo kupitia Ubalozi wetu uliopo Washington DC unafuatilia kwa karibu Sintofahamu ya Wafungwa wa Guantanamo bay wa tangu 2001 ambao baadhi yao walifungwa kwa zaid ya muongo mmoja na kuachiwa huru bila ya kukutwa na hatia na wengine kuhmishiwa kwenye Magereza mengine

Watetezi wa Ushoga na usagaji wanataka kuingilia uhuru wa Mahakama na mifumo yetu

Tutatetea Nchi yetu kwa Gharama zote kama wao wanavyotetea Nchi zao kwa gharama

Walitumia Sheria gani kumchukua Scaba scuba wakati kwa tuhuma zake angeweza kushtakiwa hapa Nchini

Wakatetee kwanza Watu wanaouwa Syria waliyoichafua kwa kusambaza Silaha kwa makundi ya Wahaini ili wachote mafuta

Rais Magufuli aachwe anyooshe Nchi asibabaishwe na Watetezi wa Ushoga
Simu anayotumia jiwe na hao hao unaowatukana. Tulia dawa iwaingie
 
Angalizo; Serikali ikiendelea vitendo viovu vya ukiukwaji wa haki za binadamu, ikitokea uasi kama wa bokoharam au alshababu utapata wafuasi wengi sana
Awamu hii hakuna serikali kuna kundi la wahuni umesahau United Republic of the gangsters.
 
Serikal yetu nayo kupitia Ubalozi wetu uliopo Washington DC unafuatilia kwa karibu Sintofahamu ya Wafungwa wa Guantanamo bay wa tangu 2001 ambao baadhi yao walifungwa kwa zaid ya muongo mmoja na kuachiwa huru bila ya kukutwa na hatia na wengine kuhmishiwa kwenye Magereza mengine

Watetezi wa Ushoga na usagaji wanataka kuingilia uhuru wa Mahakama na mifumo yetu

Tutatetea Nchi yetu kwa Gharama zote kama wao wanavyotetea Nchi zao kwa gharama

Walitumia Sheria gani kumchukua Scaba scuba wakati kwa tuhuma zake angeweza kushtakiwa hapa Nchini

Wakatetee kwanza Watu wanaouwa Syria waliyoichafua kwa kusambaza Silaha kwa makundi ya Wahaini ili wachote mafuta

Rais Magufuli aachwe anyooshe Nchi asibabaishwe na Watetezi wa Ushoga
Haya uliyoandika mpelekee kabudi akawaeleze Marekani uone Kama bendera za CCM zitapepea tena
 
Huo Ndio ukweli Trump wala hana muda na Tanzania ndio maana mpaka leo hajateua balozi kuwakilisha Tanzania

Huyo msimamizi wanakaa na wanasiasa wa kibongo kuandika vitisho visivyo na meno
Mkuu em acheni habari za kitoto jwa mambo ya msingi,unajua us ametenga budget kiasi gani kwa nchi za ea km tanzania,unajua lastweek tu kulkua na deadline ya kuongeza wafanyakazi embassy ya us dsm wabongo kedekede watakula shavu na americans, tena order sttr8 frm white house,.
Us,canada and others wanaangalia ea now kwa umakini sana,hata ungekua wewe ndo position yao ungefanya the same,na wenzetu sio 1 man army mpk usikie trump kasema au ka tweet,wenzetu urais ni teamwork,btw siungi mkono kabisaaaa wakiingilia mambo yetu ya ndani,
Cha ajabu wakiamua sjui tutawazuia vp
Suala la mahusiano ya tz na us ,mnavyodhani nani anamuhitaji mwenzie mpaka ishu ya kuteuliwa balozi iwe inaongelewa'
 
Serikal yetu nayo kupitia Ubalozi wetu uliopo Washington DC unafuatilia kwa karibu Sintofahamu ya Wafungwa wa Guantanamo bay wa tangu 2001 ambao baadhi yao walifungwa kwa zaid ya muongo mmoja na kuachiwa huru bila ya kukutwa na hatia na wengine kuhmishiwa kwenye Magereza mengine

Watetezi wa Ushoga na usagaji wanataka kuingilia uhuru wa Mahakama na mifumo yetu

Tutatetea Nchi yetu kwa Gharama zote kama wao wanavyotetea Nchi zao kwa gharama

Walitumia Sheria gani kumchukua Scaba scuba wakati kwa tuhuma zake angeweza kushtakiwa hapa Nchini

Wakatetee kwanza Watu wanaouwa Syria waliyoichafua kwa kusambaza Silaha kwa makundi ya Wahaini ili wachote mafuta

Rais Magufuli aachwe anyooshe Nchi asibabaishwe na Watetezi wa Ushoga
Ndo uelewe mwenye pesa sio mwenzio...
 
Back
Top Bottom