Marekani kupitia ubalozi wake imesema inaendelea kufuatilia kwa karibu kesi ya Erick Kabendera.

Wameisha maliza kufuatilia kedi Kashogi wa Saud Arabia aliyekatwa vipande kwa msumeno!!?...na alikuwa mwandishi nguli!
===
Kibaya zaidi kuna watu hawalioni hili...poleni.
 
daah..
Are you serious.

Huo Ndio ukweli Trump wala hana muda na Tanzania ndio maana mpaka leo hajateua balozi kuwakilisha Tanzania

Huyo msimamizi wanakaa na wanasiasa wa kibongo kuandika vitisho visivyo na meno
 
Ukiitoa marekani, zipo nchi kama Norway Canada zimeishatoa nyaraka za kulaani vitendo viovu vya serikali

Mjadala ni Marekani kujifanya anatetea uhuru wa watu na ndio sababu tunatoa facts za kuonesha kuwa America sio mfano bora wa utetezi wa haki za binadamu na huwa wanajifanya hivyo pale tu wanapokuwa na agenda hasi nyuma ya Pazia

Wamemaliza ‘kutetea haki za binadamu ‘ Syria na Libya?

Mohamed Mursi Rais halali na wa kwanza wa ki Demokrasia wa Egypt kawekwa mahabusu kwa zaid ya miaka nane na hatimae kafia kizimbani ushawahi kusikia press release ya America juu ya hilo?
 
Hatujali, ili mradi hapa tunaona uonevu wa wazi ni bora waje ili tujifunze kutenda haki kuliko kufanyiana uhayawani wa wazi kwenye nchi huru.
 
Hatujali, ili mradi hapa tunaona uonevu wa wazi ni bora waje ili tujifunze kutenda haki kuliko kufanyiana uhayawani wa wazi kwenye nchi huru.

Wewe na wenzio ‘hamjali ‘
Pohamba na wenzie wanajali
 
Kuna uovu gani unafanyika hapa ambao haujawahi fanyika US?

Pamoja na unyama unaofanyika huko US lakini vyombo vyake vya kutoa haki viko huru. Sio hapa hata vyombo vya kutoa haki vinatumika na watawala kukandamiza mahasimu wake.
 
Back
Top Bottom