Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
Mahera inakuhusu hii
Mahera bwe*g* sana huyu jamaa.
He must face the consequences.... !!!
Mahera inakuhusu hii
Shida zote hizi ni jamaa mmoja kichaa aliyepewa rungu!Kutumia vyombo vya dola na vya maamuzi kukandamiza ushindi na nia ya wao kudai rights zao siyo ushujaa ni uoga.
Bora hao wapinzani wanaodai haki zao kwa amani , kuliko wale waliojawa uoga na kuiba kura bila akili , na kufikia kuliaibisha taifa kufikia kunyishewa vidole. Zamani Sisi Tz ,ndiyo tulikuwa tukiwanyooshea vidole wabaguzi wa rangi na na dictator pote ulimwenguni. Leo ni kinyume chake tunanyoshewa vidole. Kama taifa tumekosea sana njia
Odhis *
Wewe utakuwa unaota ndoto za Alnacha...!!!This time wakituwekea vikwazo, nasi tumuwekee vikwazo asikanyage kwetu. Unyaunyau tu, palua nikupalue.
Hata kama Jiwe hatokwenda US hadi kufa kwake , the consequences are their to stay. Kibano kitawahusu wasaidizi wake, ndugu zake na familia yake. Just wait n' see!!! Mbona ni swala la muda tu!!!Huyo unaemwita jiwe tokea alipoingia madarakan hakuwahi na hatowahi kutetemekea kwenda US au Ulaya. Wanaopigania kwenda Ulaya ni Lisu, Lema na magenge yao
Kura za kwenye mabegi hukuziona? Au macho yako yapo makalioni?Tumeshinda kihalali wewe leta ushahidi wakuonyesha hatukushinda kihalali.
Mahera siyo mdukumaMahera arudi usukumani na likiswahili lake libovu
Ni heri ya akili za kitumwa kuliko akili za KIDIKTETA......!!!Akili za kitumwa! Kwa taarifa yako Marekani hakuna cha maana zaidi ni majengo na ubaguzi wa rangi.
wewe ndiyo hujaelewa ulichokiandika.Kwenu huko Vladmir Putina ndiyo huwa mnashindwa kutofautisha kati ya nchi na viongozi . Mfano aliposemwa kiongozi wetu, mlidai nchi inachafuliwa !!.
Ukinisoma hapo ndiyo maana nikasema tuombe Mungu wasizidishe vikwazo toka kwa viongozi kwenda kwa nchi .
Odhis *
Kwani kwa hizo nchi unazokubali zimeathirika ki uchumi sababu ya vikwazo. Tatizo lilianzia nini , kama si viongozi wasiowajali wananchi bali utukufu wao mamlakani ?!.wewe ndiyo hujaelewa ulichokiandika.
Mimi nilitoa hoja kwamba kwani kuwewekea vya kusafiri baadhi ya viongozi wetu kutakuwa na hasara gani kiuchumi kwa nchi ? Na nikatolea mfano kuwa makonda alipowekewa vikwazo vya kutoingia marekani je nchi ilipata hasara yeyote ? Then nikamalizia kwa kusema kuwa mimi naona hivyo vikwazo vya visa ya kuingia marekani havina athari kwa taifa zima.
Wewe ukani quote kwamba nikitaka kujua madhara ya vikwazo vya Amerika niwaulize NORTH KOREA,IRAN NA ZIMBAMBWE,mimi nikakujibu kwamba hizo nchi ulizotaja hapo ni nchi ambazo zimewekewa vikwazo kamili vya kiuchumi (economic sanctions) na siyo kulenga kiongozi mmoja mmoja kama walivyofanya kwa tanzania ndiyo maana unaona hizo nchi zinaathirika moja kwa moja.
Sasa unakuja kunambia sijaelewa wapi au wewe ndiyo umetolea mfano nchi ambazo aina yake ya vikwazo haviendani kamwe na ilichofanyiwa tanzania ndiyo maana nikawa nakuelewesha.
Hayo majungu mnaeneza nyinyi CHADEMA kwa sababu ruzuku yenu imeyeyuka kama uyoga na ni ukweli usiopingika msingeweza kushindana na JPM ambaye anatekeleza ahadi kwa vitendo sio maneno matupu ambayo hayavunji mfupa...serikali ikikaa kimya, na isipochukua hatua, maana yake ni kukubali kuwa uchaguzi wetu ulikuwa mchafu.
Hayo majungu mnaeneza nyinyi CHADEMA kwa sababu ruzuku yenu imeyeyuka kama uyoga na ni ukweli usiopingika msingeweza kushindana na JPM ambaye anatekeleza ahadi kwa vitendo sio maneno matupu ambayo hayavunji mfupa.
Kwa kosa lipi?..serikali imtimue balozi wa marekani nchini.
Hawana ubavu huo..serikali imtimue balozi wa marekani nchini.
Kwani wamemfukuza Balozi wetu?Hawana ubavu huo
Hawana ubavu huo