Marekani: Kikongwe wa miaka 91 adai hana mpango wa kustaafu jeshi la polisi

Kwani hao ndugu zetu mabeberu hawana ukomo wa umri wa kustaafu? Au anajitolea tu kwa sasa?

Kuna ukomo; polisi wa patrol (deputies) ni miaka 46 mpaka 50, Polis wa Upelelezi (Detectives) ni miaka 55 mpaka 60. makapteni, maluteni makanali na mchifu wao retirement age yao ni zaidi kidogo, yaani kuanzia 64.

Ila marekani mtu anaweza kuretire, na akaamua kurudi kufanya kazi kwa contract; kazi ya contract anaweza kufanya kwa umri wowote mradi tu anaimudu na ujuzi wake unahitajika na mwajiri huyo.
 
Back
Top Bottom