Marekani: Kijana ashikiliwa na jeshi la Polisi baada ya kupanda bawa la ndege

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Mwanaume mmoja anashikiliwa na Polisi la Vegas Marekani baada ya kufanya kitendo cha Hatari cha kupanda bawa la ndege ya abiria iliyokuwa inakaribia kupaa.

Bawa la ndege ni moja ya sehemu ambazo Binadamu huwa haruhusiwi kukanyaga na ndege zote huwa Zinawekwa maandishi ya tahadhari ya kutofanya hivyo.

Bado haijaelezwa kama Mtu huyu ana tatizo la Akili au vipi lakini imegundulika aliingia Airport baada ya kuruka fensi, ndege hiyo iliahirishwa Safari kwa Saa 4 ili kufanyiwa ukaguzi wa bawa hilo.

Ndege.JPG
 
Ningekua rubani ningepaa nae huyo si anafikiri ni keria ya gari hiyo
 
Nilivyosoma kichwa cha habari nilikuwa najiuliza huyo ndege ndege gani..kumbe ndege ya abiria
 
Back
Top Bottom