Marekani inatufanya watanzania wote mbumbumbu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marekani inatufanya watanzania wote mbumbumbu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Luteni, Feb 5, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Balozi wa Marekani hapa nchini Alfonso Lenhardt amesema Serikali ya Marekani imeridhishwa kwa kiasi kikubwa na kasi ya maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa yaliyofikiwa na Tanzania kiasi cha kuwa mfano wa kuigwa na serikali za nchini nyingine za Bara la Afrika na dunia kwa jumla.
  Ameusifu mfumo wa demokrasia na utawala wa Serikali ya Tanzania, kwa kujali maslahi ya wananchi wake.

  "Tanzania ina rasilimali muhimu kwa mfano ardhi yenye rutuba, hivyo kupitia ushirikiano wa kirafiki kati yetu, Marekani itahakikisha kuwa wananchi wote wanafaidika katika miradi ya maendeleo,".

  Alisema msingi wa ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani ni wa kujivunia na kwamba ili uwe wa manufaa zaidi kwa wananchi, serikali zote mbili (kweli mbili au moja?)hazina budi kudumisha mshikamano kupitia uboreshaji wa huduma za maendeleo ya jamii.

  Kwa upande wake, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ambaye pia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, John Chiligati, alisema katika kuhakikisha kuwa wananchi wote wananufaika na rasilimali za taifa, Serikali ya CCM imejiwekea mikakati mbalimbali ya utekelezaji wa ilani ya Chama.
  Alisema moja ya maeneo ambayo ilani hiyo imeyapa kipaumbele ni uboreshaji sekta za maendeleo ya jamii ikiwemo elimu. Kwa mujibu wa Chiligati, kwa sasa karibu kila kijiji hapa nchini, kina shule ya msingi na shule za sekondari katika kila kata.


  My take
  In reality tuseme ni maendeleo gani kiuchumi kijamii na kisiasa ambayo Marekani imeyaona hadi kusema nchi zingine zije kuiga kama huku si kutufanya wote mazezeta America is kidding us wanatuambia wakituchekea huku moyoni wakisema yaone haya majinga

  Nafikiri tatizo data wanazopewa ni zile zilizotayarishwa na watu wa type ya kina Chiligati mfano anaposema kila kijiji kina shule wamarekani si wajinga wanajua kila kitu wanajua ubora wa shule zinazosemwa na type ya viongozi tulionao kwamba wakitaka chochote wanajichukulia ndiyo maana nasema tunafanywa mazezeta.
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Feb 5, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,999
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  they know that it is a lie!

  wakisema hivyo wanataka serikali hii iendelee kuwa madarakani, wanawasifu viongozi dunia ijue, ili hali wakichukua raw materials migodi ya dhahabu ni yao, sio wajinga

  wakisema hivi wanawapata wale wananchi fulani, watakaosema;you see, even USA is complimeting Tz! let give CCM vote for the next 20yrs.

  So they are not fool, they make those speech purposely!after all who are they? can JK made the same statements towards USA that Obama is doing good! why?

  Ilichotakiwa ni kuwashushua, kufanya maandamano ya amani ya kupinga hii statement, wa kufanya hivi ni vyama vya upinzani! another delusion 'thing' for Tanzanian!

  ukisikia tu kuna reaction ya chama chochote cha upinzani over this statement ni-PM tafadhali!!
   
 3. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Unafikiri chama gani kitaipigia kelele statement hii wakati na wao nao wanategemea huko huko kama nilivyosema watanzania hatuoni tofauti ya vague statements mradi tumesifiwa tu basi hatuzipimi na kuzitolea angalau tamko
   
 4. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2010
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  “Nations have no permanent friends or allies, they only have permanent interests.” - Lord Palmerston


  Kwa hiyo as long as utawala uliopo unahakikisha "masilahi ya Marekani" yanalindwa, Marekani itaendelea kuwavika kilemba cha ukoka huku wakiendelea kuchota rasilimali na kudumisha "umaskini" wetu! Mungu ibariki Tanzania na watu wake si viongozi wake!
   
 5. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 4,237
  Likes Received: 4,354
  Trophy Points: 280
  Wajameni mbona mnasahau kama hili ni shamba la bibi. Ukitaka kukata muwa bibi anasema sawa mjukuu wangu mbona ipo mingi tu. Huo ndio ukweli wenyewe.
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 36,080
  Likes Received: 7,649
  Trophy Points: 280
  Unafahamu idea nzima behind international diplomacy?

  Ukielewa the entire construct hutashangaa sio tu hili, bali pia kwa nini Henry VIII alikuwa ana alternate between calling Louis of France "my brother" and "a bastard". Au kwa nini Nixon alikuwa anamsifia Mobutu au hata Mao.

  Bottom line, you cannot take diplomats and politicians words very seriously all the time because they may targeted towards cultivating political alliances and void of any truth.
   
 7. kui

  kui JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,147
  Trophy Points: 280
  Well, we made some achievement on "our own level", (Third World Level) It's the same level on which other African countries can achieve If they work hard, like we did (rolling eyes)!...lol!, tumekuwa watemi wa mtaa!

  Luteni, another sad thing is, these people r' completely out of touch with the regular citizen, hiyo misaada wanayotoa, they do a little follow up to make sure it reaches those in desperate need. They need to come up with some'in better.
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,490
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Ku#@$nina zao, Samahani wajameni kwa lugha hii kali, lakini that is what I am saying and feeling. Sasa hivi wanaona tunawalindia maslahi yao both politically and economically kwa hiyo lazima watusifie. Kuna wakati walimsifia Mobutu na Samuel Doe wa Liberia. Msisahau hilo.
   
 9. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,599
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Kiranga:
  Hivi wewe umesoma nini? Physics (quantum physics), history, theology, law, siasa (propaganda) au hasa nini? Unanichanganya sana. Ur among the few!
   
 10. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0


  Makanyaga,

  My Take: Huwezi kumuweka Kiranga kwenye kundi...ukisoma post zake unagundua kuwa ni mtu anayependa kujisomea in general. Sina maana kwamba hana "filed" inayompa ugali, ila ni kwamba vitabu vya fani tofauti havimpigi chenga.

  Kiranga, you are a breath of fresh air here at JF. I enjoy reading your posts. Keep it up.

  Back to the post: I never take any compliment coming from Americans serious...they are know what and when to say for the OWN benefits.

  YY
   
 11. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo USA ni "wanafiki" period!

  Mngekuwa mnafahamu hivi hata kwa mambo mengine arguments zenu zingine kuwa fair!
   
 12. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #12
  Feb 5, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,999
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  mambo mengine yapi kaka, mimi binafsi najiona fair na mkweli katika kila kitu hata kama kinaniumiza mimi!

  can you give me an example which some people where favouring USA?
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 36,080
  Likes Received: 7,649
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu Waberoya,

  Hii ndiyo type ya one track minded medieval crusade like thinking tunayopambana nayo hapa JF.

  Kwa kuwa USA ni wrong on this (by the way this is the nature of diplomacy, kwa hiyo nchi zote zina unafiki huu, hata Tanzania) unataka kusema USA watakuwa wrong on every issue?

  How simplistic, watu wana overgeneralize bila data.
   
 14. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2010
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 0
  - Well, hapo kuna US foreign policy ambayo ni only US interest, the dataz ni kwamba Tanzania tuna uranium somewhere, Iran wanaitaka......na.....you can fill the rst of the story ukianza na kina Rostam...!

  Respect
  .

  FMEs!
   
 15. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  Hivi kuwa diplomacy ni ticket ya kuwa "mnafiki"? au kusema uwongo?
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 36,080
  Likes Received: 7,649
  Trophy Points: 280
  Nani kasema hivyo?
   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  Feb 5, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,999
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  Yes, tatizo hatujui hata sisi uko nje yta nchi we may be like USA, kuna wazimbabwe nikikutatana nao wanamlaumu sana JK na Tanzania the way we dealt with the problems of their country.
   
 18. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo wanafanya unafiki ili wapate hiyo US interest?

  Iran nayo wanataka uranium? US wanataka Uranium?

  Hivi hiyo Uranium ni Tanzania? US? Iran? nchi zingine zitatakaje bila kujali maslahi ya Tanzania?

  Kwani ni Lazima tuwape US? au Iran?
   
 19. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2010
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwani mnajihisi mpo vipi na kama si hivyo wanavyohisiu wamarekani? binafsi nahisi wamekutukuzeni kukupeni nafsi ya mambumbu .
   
 20. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Hiyo ni typical american propaganda ukiona marekani anakusifia ujue basi ana ajenda nyuma. Itazame tanzania ina nini kizuri kwa America unakuta ardhi yenye rutuba na rahisi, uranium for nuclear reactor na mabomu, mafuta sasa wanapaka mafuta ili mlainike na mkubali kirahisi wakiwaletea mikataba yao.

  Wana msemo wao una God Bless America kuna jamaa mmoja alinihadithia maana yake nikasema kweli. Ule msemo unaosema God Bless America kwa maana kamili ni kwamba God Bless America and No Place Else. Walimsifu savimbi walipomuhitaji wakamgeuka baadae. Walimsifu mobutu wakaja kumgeuka baadae. Bado Kikwete!!!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...