HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 547
tungependa kuona ufuatiliaji ulio makini kwa vikosi vyetu waingie kazini sasa tumeona ya libya ,tumeona ya syria .tumeona ya somalia .tumeona ya nigeria ,yaishie huko huko yasifike huku ,tahadhari zote zichukuliwe wasahau kama kulikuwa na kitu kinatwa uamsho.