Marekani imetengeneza Ebola kupunguza idadi ya Waafrika

Kali _D

Senior Member
Feb 10, 2019
145
132
Marekani imetengeneza Ebola kupunguza idadi ya Waafrika

Anaandika Professa Francis Boyle, mtaalamu wa baiolojia kutoka Chuo Kikuu cha Illinois Marekani...✍✍✍

Nimekua nikifahamika duniani kwa kuwa mtafiti mkubwa wa masuala yanayohusu vita vya kibaiolojia na sheria za kimataifa.

Ugonjwa wa Ebola ulinishtua sana pindi ulipoua maelfu ya Waafrika kwenye taifa la Sierra Leone mnamo 1976.

Kama mtaalamu nilianza kufanya utafiti wa kina ili niweze kubaini chanzo cha ugonjwa huo.

Nilitumia usiri wa hali ya juu ili kunusuru maisha yangu kwani huenda wangeniua endapo wangebaini dhamira ya utafiti wangu.

Nilifanya utafiti kwa miaka 12 kuanzia 1976 mpaka 1988.

Utafiti huo ulihusisha vituo vya Marekani vya kupambana na kuzuia maradhi (CDC) vilivyo kwenye mataifa mbalimbali barani Afrika.

Ukiangalia katika ramani, utaona maeneo ambayo vituo hivyo vinapatikana.

Laa hasha! Ni maeneo ambayo yamekuwa yakigubikwa na miripuko ya ugonjwa wa ebola mara kwa mara.

Mnamo 1988, niliweza kukamilisha ripoti yangu ambayo ilikuja kuizindua dunia.

Ripoti hiyo ilionesha mpango wa muda mrefu wa kupunguza idadi ya watu kwenye bara la Afrika.

Mpango huo wa siri ulipangwa na idara ya kijasusi ya Marekani.

Kwahakika, nimepitia changamoto nyingi ambazo siwezi kuzielezea tangu nilipoitoa ripoti hiyo.

Mnamo 2014, ile maabara iliyopo Afrika Magharibi ilifanya shambulizi kubwa la kibaiolojia.

Ni pale ilipoeneza virusi vya ugonjwa kwenye mashamba ya matunda huko nchini Mali.

Waafrika wengi sana walifariki dunia.

Majasusi wa Marekani wenye elimu ya udaktari wakamiminwa katika taifa la Mali kama watoa misaada.

Wakafanikiwa kuanzisha makundi ya kigaidi na kiuasi kwenye taifa hilo la Afrika Magharibi.

Umafia huo wa hali ya juu pia umefanyika kwenye taifa tajiri la Kongo ambapo uasi hauishi, Ebola haiishi.

Madini yao yanaporwa kupitia makundi ya majasusi wanaojifanya walinda amani.

Hivi karibuni nadharia yangu iitwayo "Ebola Conspiracy Theory" imepata nguvu sana ns imeanza kujulikana ulimwenguni kote.

Hii ni baada ya aliyekua katibu msaidizi wa Hazina na Sera za Kiuchumi za Marekani, Dr. Paul Craig Robert kutoa siri nzito.

Mtaalamu huyo aliyefanya kazi kwa miaka mingi kwenye idara nyeti
ya Marekani amesema: "Kueleza ukweli ni jambo muhimu. Marekani ni taifa linaloongoza kwa uhalifu duniani"

Alieleza haya pindi alipoulizwa kuhusu uwepo wa "Ebola conspiracy theory"
 
Akili za Maccm hizi, rasilimaliz za kongo zinaliwa na wamarekani kutokana na ebola na vita vya wenyewe kwa wenyewe, je Rasimali za Tanzania zinaliwa na nani tangu 1961??
 
Unstoppable continent
FB_IMG_1568620857663.jpeg
 
Huu mfumo wa dunia huu. Yaani lazima wengine wafe ili wengine waishi. Kama ni kweli hapo utakuta sababu ni wameogopa overpopulation au kutoweka kwa race fulani fulani. Inatia hasira' Ila nikikumbuka na sisi uwepo wetu unavyoangamiza viumbe wengine najisemea tu anyway hakuna aliye sahihi. Maana kama kuku, ng'ombe mbuzi, samaki nao wangekuwa na uwezo wa fikra wangepiga kelele kuwa kwanini wao wafe ili binadamu waishi? Na tusingekuwa na jibu.
 
Marekani imetengeneza Ebola kupunguza idadi ya Waafrika

Anaandika Professa Francis Boyle, mtaalamu wa baiolojia kutoka Chuo Kikuu cha Illinois Marekani...

Nimekua nikifahamika duniani kwa kuwa mtafiti mkubwa wa masuala yanayohusu vita vya kibaiolojia na sheria za kimataifa.

Ugonjwa wa Ebola ulinishtua sana pindi ulipoua maelfu ya Waafrika kwenye taifa la Sierra Leone mnamo 1976.

Kama mtaalamu nilianza kufanya utafiti wa kina ili niweze kubaini chanzo cha ugonjwa huo.

Nilitumia usiri wa hali ya juu ili kunusuru maisha yangu kwani huenda wangeniua endapo wangebaini dhamira ya utafiti wangu.

Nilifanya utafiti kwa miaka 12 kuanzia 1976 mpaka 1988.

Utafiti huo ulihusisha vituo vya Marekani vya kupambana na kuzuia maradhi (CDC) vilivyo kwenye mataifa mbalimbali barani Afrika.

Ukiangalia katika ramani, utaona maeneo ambayo vituo hivyo vinapatikana.

Laa hasha! Ni maeneo ambayo yamekuwa yakigubikwa na miripuko ya ugonjwa wa ebola mara kwa mara.

Mnamo 1988, niliweza kukamilisha ripoti yangu ambayo ilikuja kuizindua dunia.

Ripoti hiyo ilionesha mpango wa muda mrefu wa kupunguza idadi ya watu kwenye bara la Afrika.

Mpango huo wa siri ulipangwa na idara ya kijasusi ya Marekani.

Kwahakika, nimepitia changamoto nyingi ambazo siwezi kuzielezea tangu nilipoitoa ripoti hiyo.

Mnamo 2014, ile maabara iliyopo Afrika Magharibi ilifanya shambulizi kubwa la kibaiolojia.

Ni pale ilipoeneza virusi vya ugonjwa kwenye mashamba ya matunda huko nchini Mali.

Waafrika wengi sana walifariki dunia.

Majasusi wa Marekani wenye elimu ya udaktari wakamiminwa katika taifa la Mali kama watoa misaada.

Wakafanikiwa kuanzisha makundi ya kigaidi na kiuasi kwenye taifa hilo la Afrika Magharibi.

Umafia huo wa hali ya juu pia umefanyika kwenye taifa tajiri la Kongo ambapo uasi hauishi, Ebola haiishi.

Madini yao yanaporwa kupitia makundi ya majasusi wanaojifanya walinda amani.

Hivi karibuni nadharia yangu iitwayo "Ebola Conspiracy Theory" imepata nguvu sana ns imeanza kujulikana ulimwenguni kote.

Hii ni baada ya aliyekua katibu msaidizi wa Hazina na Sera za Kiuchumi za Marekani, Dr. Paul Craig Robert kutoa siri nzito.

Mtaalamu huyo aliyefanya kazi kwa miaka mingi kwenye idara nyeti
ya Marekani amesema: "Kueleza ukweli ni jambo muhimu. Marekani ni taifa linaloongoza kwa uhalifu duniani"

Alieleza haya pindi alipoulizwa kuhusu uwepo wa "Ebola conspiracy theory"
Si, kweli, kwa mtu aliyeiva ktk neno la Mungu hawezi kuamini hiyo research ya uongo ya huyo Prof, siku za mwisho patakuwepo na magonjwa mengi yasiyo na tiba, Ebola outbreak haikwepeki hata balozi wa US inaweza kumpata akiwa ktk mazingira flani kisha naye akawaambukiza familia yake, nao bila kujua wakapanda ndege kwenda US na kufika huko wakaugua na kuambukiza wengine.
US kuna HIV victims zaidi ya 380,000 walisema ni US alitengeneza HIV.
 
Watu weusi ndio taifa teule. Tumebarikiwa kila kitu na Mwenyezi Mungu na ndio maana tunachukiwa ulimwenguni kote.

Asante mkuu kwa hili andiko. Mwenye akili atakuelewa mkuu.
 
Si, kweli, kwa mtu aliyeiva ktk neno la Mungu hawezi kuamini hiyo research ya uongo ya huyo Prof, siku za mwisho patakuwepo na magonjwa mengi yasiyo na tiba, Ebola outbreak haikwepeki hata balozi wa US inaweza kumpata akiwa ktk mazingira flani kisha naye akawaambukiza familia yake, nao bila kujua wakapanda ndege kwenda US na kufika huko wakaugua na kuambukiza wengine.
US kuna HIV victims zaidi ya 380,000 walisema ni US alitengeneza HIV.
Mkuu, unaweza kuweka na hilo andiko ulilolisema? Halafu je kwenye hizo nchi za weupe, umewahi kusikia hayo magonjwa kama Ebora? Yaani nchi zinazo kaliwa na wazungu, wachina, waarabu na kwenyewe umewahi kusikia ugonjwa wa ebora umelipuka? Neno la Mungu haliwezi kubagua hivyo mkuu? Haliwezi; coming to kwenye hiyo idadi yako ya HIV positive wa USA, hivi Marekani ina watu wangapi halafu wenye virusi wawe 380,000? ( kwa mujibu wa takwimu zako). Tanzania tupo watu wa ngapi na wenye HIV ni wangapi? Nasikia wanazidi 2,000,000, so kwa maana ya asilimia, huoni kama bado Africa ipo mbali zaidi kuliko kwa hao Wamarekani? Na huenda hiyo 380k ya wenye HIV huko USA wakawa wengi wao weusi, wale kina Magic Johnson (sijui yuko wapi huyu jamaa, alikuaga mcheza basketball huko USA na ni mweusi pia)
 
2endeleeni Kuwapenda Wazungu Including Wamarekani Hasa Hasa Maana Tunawaona MIUNGI Watu

Hawa jamaa hawa2pendi Hata Kiduchu Aseee
 
Back
Top Bottom