Marekani iliponunua 'shamba' la Alaska, ingewapatia Waisraeli waifanye Expansio joint!!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Miaka mingi iliyopita, Marekani iliuziwa jimbo la Alaska na nchi ya Urusi. Sehemu kubwa ya ardhi ya Alaska haikuwa ikikaliwa na watu.
Kama kweli Marekani ilikuwa na upendo wa dhati na wa Israeli, ingewapatia ardhi hiyo ya Alaska ili waifanye kama 'expansion joint' yao kwa shughuli za kilimo uzalishaji maisha mengine...
Otherwise mgogoro uliopo juu ya ardhi ya Israeli utakuwa ni mgumu kwa kuwa kule ardhi ni ndogo sana na kila squre inch moja ya ardhi ni lulu!
 
Huo ni mtazamo wako mkuu, hakuna wa kumwondoa Israel pale alipo na Jerusalemu ni mji wao mkuu....just wait and see
 
Miaka mingi iliyopita, Marekani iliuziwa jimbo la Alaska na nchi ya Urusi. Sehemu kubwa ya ardhi ya Alaska haikuwa ikikaliwa na watu.
Kama kweli Marekani ilikuwa na upendo wa dhati na wa Israeli, ingewapatia ardhi hiyo ya Alaska ili waifanye kama 'expansion joint' yao kwa shughuli za kilimo uzalishaji maisha mengine...
Otherwise mgogoro uliopo juu ya ardhi ya Israeli utakuwa ni mgumu kwa kuwa kule ardhi ni ndogo sana na kila squre inch moja ya ardhi ni lulu!
Lulu gani?
 
Kuna kitu kinaitwa geographical coordinates ; kama utaweza kuzibadili coordinates za Alaska ziwe zile zile za Israel; kama uahamisha makaburi ya manabii yaliyojaa nchi ya Yakobo; kama utahamisha udogo wa Israel na hali yake ya hewa; na kama milima yote Bwana aliyowatokea manabii wake iende Alaska; basi sidhani wana wa Yakobo watakuwa na hiyana kwenda huko Alaska. Israel ni agano la Mungu na Jerusalem ni mji wake; ukiweza kubadili hayo yote basi watakwenda Alaska. Mungu mwenyewe alimtajia Ibrahimu mipaka ya nchi aliyompa yeye na uzao wake wewe unaleta habari za Alaska hapa! Kwani Mungu hakufahamu kwamba kuna Alaska tena ikiwa "ukiwa" enzi hizo.
 
UN ilifikiria pia kuwamwaga hawa Uganda! Wangekuwa majirani zetu duh!

Miaka mingi iliyopita, Marekani iliuziwa jimbo la Alaska na nchi ya Urusi. Sehemu kubwa ya ardhi ya Alaska haikuwa ikikaliwa na watu.
Kama kweli Marekani ilikuwa na upendo wa dhati na wa Israeli, ingewapatia ardhi hiyo ya Alaska ili waifanye kama 'expansion joint' yao kwa shughuli za kilimo uzalishaji maisha mengine...
Otherwise mgogoro uliopo juu ya ardhi ya Israeli utakuwa ni mgumu kwa kuwa kule ardhi ni ndogo sana na kila squre inch moja ya ardhi ni lulu!
 
Ardhi ni ndogo na watu ni wachache pia! Sijui unamaanisha nini ukisema ardhi kule ni lulu! Kama ni kilimo wao ndo wanaongoza kuzalisha chakula duniani kutoka jangwani, hadi wanatoa msaada kwa nchi nyingine hapa Africa, viwanda wanavyo vya kutosha, Makazi wananchi wanajengewa na serikali, na kama hujui ni kuwa serikali yao huwa inataka watu waishi pamoja ili iwe rahisi kuwalinda. Serikali ya kule iliwahi kuwaamisha wakazi 8,000 kutoka ukanda wa gaza maana walikuwa scattered hivyo ilikuwa ngumu kuwapa ulinzi.
Hii arshi unayoita lulu ni ya kufanyia kazi gani hasa?

Miaka mingi iliyopita, Marekani iliuziwa jimbo la Alaska na nchi ya Urusi. Sehemu kubwa ya ardhi ya Alaska haikuwa ikikaliwa na watu.
Kama kweli Marekani ilikuwa na upendo wa dhati na wa Israeli, ingewapatia ardhi hiyo ya Alaska ili waifanye kama 'expansion joint' yao kwa shughuli za kilimo uzalishaji maisha mengine...
Otherwise mgogoro uliopo juu ya ardhi ya Israeli utakuwa ni mgumu kwa kuwa kule ardhi ni ndogo sana na kila squre inch moja ya ardhi ni lulu!
 
Walipewa neema nyingi na utukufu wakajitukuza na kujisahau

wakalaaniwa na kuwa taifa dhalili na watatanga hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom