Asernal stockpile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 601
- 933
US inaongoza ikifuatiwa na China. Watu duniani wanapenda bata siyo kuzunguka maporini.
Ungeleta takwimu za Africa ndio iwe benchmark badala ya hao ma giants ambao ndio tunawategemea wasafiri kuja Tanzania.US inaongoza ikifuatiwa na China.
Watu duniani wanapenda bata siyo kuzunguka maporini.
Laiti ungejua.... Google is free brother.US inaongoza ikifuatiwa na China.
Watu duniani wanapenda bata siyo kuzunguka maporini.
Mbona USA ni soko namba 3 la Utalii Tzn?TZ Kuna nin zaidi ya wanyama na maporomoko mmarekani aje kushangaa.
hilo nalo ni wazoUngeleta takwimu za Africa ndio iwe benchmark badala ya hao ma giants ambao ndio tunawategemea wasafiri kuja Tanzania.
Hapa Takwimu zao zimeongezewa na mama kwenda kuwatembelea tembelea kutalii huko.... Hatari sana.Ungeleta takwimu za Africa ndio iwe benchmark badala ya hao ma giants ambao ndio tunawategemea wasafiri kuja Tanzania.
Kwaiyo???Laiti ungejua.... Google is free brother.
Ndo maana nimesema duniani watu wanapenda starehe zaidiTZ Kuna nin zaidi ya wanyama na maporomoko mmarekani aje kushangaa.
Kwa data zipi?Mbona USA ni soko namba 3 la Utalii Tzn?
Za SerikaliKwa data zipi?
Uko kama mm sienjoy kabisaMimi binafsi huwezi kunipeleka kwenye mapori , wanyama daily naangalia kweny king'amuzi cha azam.
😂😂😂Utalii wa kushangaa umasikini na ujinga huu utatuingizia pesa nyingi.
Hapo umesemaKizazi cha sasa hakielewi utalii wa mapori,
Inabidi tubadilike, watu wanataka utalii wa bata,
Mikutano mikubwa na vitu kama hivyo, matamasha ya muziki na movie, matamasha ya biashara nk