Marekani: Idadi ya vifo vitokanavyo na vilevi imeongezeka kwa haraka katika miongo kadhaa ya hivi karibuni

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,480
9,241
Kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya Taifa ya Matumizi Mabaya ya Vilevi na Ulevi umesema Idadi ya vifo vitokanavyo na vilevi imeongezeka kwa haraka katika miongo kadhaa ya hivi karibuni, kulingana na uchambuzi mpya wa vyeti vya kifo

Kwa ujumla, vifo vinavyohusiana na unywaji wa pombe kwa watu wenye umri wa miaka 16 na zaidi vimeongezeka kutoka vifo 35,914 mwaka 1999 hadi kufikia vifo 72,558 mwaka 2017

Wakati wanaume umri wa kati wakionekana kupoteza maisha zaidi, wanawake nao - hasa wanawake weupe wanashika kasi katika ongezeko la watumiaji wa vilevi na madhara yatokanayo na matumizi ya pombe ikiwemo Saratani, ugonjwa wa Ini na matatizo ya Moyo

========

The number of alcohol-related deaths has grown rapidly in recent decades, according to a new analysis of death certificates. The research, published Wednesday in Alcoholism: Clinical & Experimental Research, is from the National Institute on Alcohol Abuse and Alcoholism, part of the National Institutes of Health.

The yearly total of alcohol-related deaths for people ages 16 and over more than doubled, from 35,914 in 1999 to 72,558 in 2017. There were almost 1 million such deaths overall in that time.


While middle-age men accounted for the majority of those deaths, women — especially white women — are catching up, the study found. That's concerning in part because women's bodies tend to be more susceptible to the effects of alcohol.

"Women are at greater risk than men at comparable levels of alcohol exposure for alcohol-related cardiovascular diseases, certain cancers, alcohol-related liver disease and acute liver failure due to excessive drinking," the study authors wrote.

"Because women reach higher blood alcohol levels than men of comparable weights after consuming the same amount of alcohol, their body tissues are exposed to more alcohol and acetaldehyde, a toxic metabolite of alcohol, after each drink," the authors continued.

Government guidelines recommend that women have no more than one alcoholic drink a day and that men have no more than two.


Source: NBC News
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom