Marekani haina mshipa wa aibu, yamfanya Saudi Arabia kama "ATM" yake

Yani ukanunue gari utaloshindwa kuliendesha?hakuna mjinga wa hvyo, ukinunua new weapon muuzaji anatoa experts na huwa wanakwenda kujifunza huko huko zinapotoka
Hiyo ndio deal kati ya Israel na Russia, ama sivyo Russia wameambiwa hayo madude yao yatafutiliwa mbali na damascus.it is illogical but that is what transpired.
 
Mitambo yao ilikuwa imelekezwa upande mmoja, kilichotokea nikama umdhaniaye NDIYE kumbe SIYE
Cha kufanya ajilinde kila upande
 
Mimi sio chizi mkuu.
S400 ziko russia kulinda dhana za kivita za russia kitambo tu.

You wrote S-400 ziko Syria.. That is where nikaona naongea na chizi.. But if you meant ziko bado Russia hapo sawa.. Sbb Syria ziko S-300 na juzi nimetoka Tel Aviv na IDF kule wala hawajali hizo S-300 wanazi cheat na kupiga Syria tena Damascus kama mchezo tu
 
Syria hakununua mfumo wa S-300 fatilia vizuri.

Ww uko dunia gani? Ur sleeping

You wrote S-400 ziko Syria.. That is where nikaona naongea na chizi.. But if you meant ziko bado Russia hapo sawa.. Sbb Syria ziko S-300 na juzi nimetoka Tel Aviv na IDF kule wala hawajali hizo S-300 wanazi cheat na kupiga Syria tena Damascus kama mchezo tu
nadhani naanza kuona wewe ndio chizi sasa, au una tatizo ambalo WHO bado hawajaelewa linaexist kwa binaadamu.
S400 ziko syria, na taarifa niliyokuwekea hapo kutoka BBC inaelezea safari yake kutoka russia kwenda syria kwa malengo ya kulika militry infrastructure za russia.
 
Ujinga kitu kibaya sana! Marekani alimuuzia Saudi Arabia mfumo wa ulinzi wa anga was Patriots kwa mabilioni ya dola ambao kuna kila dalili kuwa umepitwa na wakati!!
Mfumo huo haujaweza kumsaidia maana kiini cha uchumi wake umeshambuliwa wakati mlinzi wake patriots hakuwa anajua kinachoendelea! Bila kushtuka Saudi Arabia analipia mabilioni mengine ili eti aongezewe ulinzi wa anga na Marekani tena! Ujinga mbaya sana!

Elimu ya sayansi ni muhimu sana, je umeiona Iran ikisumbuliwa kijinga namna hiyo???

CC Safuher , Zurri ,
 
Ww uko dunia gani? Ur sleeping

Syria kweli hakununua, bali ni Russia wenyewe ndiyo walipeleka kwa moyo wao wa upendo kwa Serikali ya Bashar al asad.

Walionunua hivi punde ni Turkey.
 
nadhani naanza kuona wewe ndio chizi sasa, au una tatizo ambalo WHO bado hawajaelewa linaexist kwa binaadamu.
S400 ziko syria, na taarifa niliyokuwekea hapo kutoka BBC inaelezea safari yake kutoka russia kwenda syria kwa malengo ya kulika militry infrastructure za russia.

Sorry nimekosea, uko sahihi, S-400 kumbe already delivered to Syria.. Niwie radhi kwa hilo.. 🙏

Naona uko nyuma ya muda.
Syria wanazo s200 toka miaka mingi nyuma.

Hapa majuzi kwanza, Russia alipeleka s400 kwa matumizi yake binafsi (kulinda dhana zake na askari walio syria kusaidia assad)

Mwaka jana syria wakanunua s300, toka hapo malalamiko ya syria kwa russia kwamba mbona haya madude hayasaidii yamekuwa yakifatiwa na majibu kwamba tatizo na askari wa ki syria ndio wanayatumia vibaya.

Russia hajaweza elezea mpaka leo kwa nini s400 hazikusaidia kuzuia ndege yake isidunguliwe na majeshi ya syria yalipokuwa yameitarget ndege ya israel.

ni kweli, syria hajanunua s400, lakini haya madude yapo pale tena very active lakini waisrael wanaingia wanapiga na kuondoka mpaka juzi wameenda na kurudi.
Mkuu ss ushasema S400 Kama Inalinda maslahi binafsi ya RUSSIA kwa maana in mipaka na maeneo maalum

Ss vp unahoji kuhuau kuripuliwa ndege yake wakat unaelewa RUSSIA Nisehem 2 Kieneo flan ndio inafanzia kazi ndani za SYRIA
 
Hahahaha
Nyoko sanaaa wee, ww unajua kuliko Saudia au US.. Wao wanasema drones zimetoka Iran, ww kinuka shithole almost non-living human, unasema drones zimetoka Yemen, nasty scented shithole..!!
Hata zitoke wapi ina maana uwezo wahayo machuma chuma nimdogo sana kiasi kwamba hauwez walau kuulinda mkoa kama wa DAR 2

Ss ya nn hayo machuma chuma c waya2pe 2
 
Mkuu ss ushasema S400 Kama Inalinda maslahi binafsi ya RUSSIA kwa maana in mipaka na maeneo maalum

Ss vp unahoji kuhuau kuripuliwa ndege yake wakat unaelewa RUSSIA Nisehem 2 Kieneo flan ndio inafanzia kazi ndani za SYRIA
S400 iko pale kulinda mali za russia zilizo ardhini, majini na angani over an entire geography known as syria in our modern time.
 
Hii kweli kabisa mkuu. USA alipima kwa kupeleka ile ndege tena ya kisasa kabisa na kubwa kuliko drone yoyote hapa duniani kwa sasa. Sasa ilipotunguliwa akabaki anashangaa huyu jamaa ana teknolojia ya aina gani. Angalia nchi amabazo US ameshambulia, huwa hajiulizi mara mbili hata siku moja. Angalia syria wakati assad walimtuhumu kuwa alitumia silaha za sumu, alipiga mabomu ya kutosha tu. Iran leo anadunda sababu ya teknolojia mkuu.
UKWELI MTUPU
 
Trump alishamchana live Mfalme na mwanamfalme wa Saudia kua siku America akiondoa tu ulinzi wake ndani ya Saudia basi hayatazidi masaa 6 ya utawala wa Al Saudi kuendelea kushika madaraka.
Marekani anaichukulia Saudi Arabia kama vile ng'ombe wake, anajikamulia tu maziwa vile anavyotaka, na siku maziwa yakiisha atampiga kisu ale nyama.
Hu mstari wa mwisho ndio ukweli mchungu, wanapata hela za hija lakini watazua la kuzua kuongeza uliza wakati wa hija ili wale commission, USA janja janja sana kamfanya mpaka mchina naye aweke ukomunisiti kapuni kivutendo na kubaki nadharia tu.
 
Ujinga kitu kibaya sana! Marekani alimuuzia Saudi Arabia mfumo wa ulinzi wa anga was Patriots kwa mabilioni ya dola ambao kuna kila dalili kuwa umepitwa na wakati!!
Mfumo huo haujaweza kumsaidia maana kiini cha uchumi wake umeshambuliwa wakati mlinzi wake patriots hakuwa anajua kinachoendelea! Bila kushtuka Saudi Arabia analipia mabilioni mengine ili eti aongezewe ulinzi wa anga na Marekani tena! Ujinga mbaya sana!
UJINGA NI MZIGO.
 
Umeongea as if una knowledge ya Air defence system, kumbe zero kabisa..

At the time of UAV attacks in Saudi Oil Fields, zile patriotic air defence systems zilikuwa zimeelekezwa Yemen, ili kuzuia rockets from Yemen, meaning Yemen iko upande wa Kusini Magharibi ya Saudi Arabia na Drones that attacked came from North East of Saudi Arabia yaani North ya Iran.. Sijui kama una elewa. So Saudia lazima iongeze more air defence system for more protection
Mkuu sasa Radar inatakiwa isome kokote kule bila kujali mashambulizi yanatoka wapi, kimsingi mfumo madhubuti unareact tokana na Source ya Threat.
 
Back
Top Bottom