mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,036
Ujinga kitu kibaya sana! Marekani alimuuzia Saudi Arabia mfumo wa ulinzi wa anga was Patriots kwa mabilioni ya dola ambao kuna kila dalili kuwa umepitwa na wakati!!
Mfumo huo haujaweza kumsaidia maana kiini cha uchumi wake umeshambuliwa wakati mlinzi wake patriots hakuwa anajua kinachoendelea! Bila kushtuka Saudi Arabia analipia mabilioni mengine ili eti aongezewe ulinzi wa anga na Marekani tena! Ujinga mbaya sana!