MAREKANI: Daktari wa Wanamichezo ya Olimpiki ahukumiwa miaka 175 kwa udhalilishaji wa jinsia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
IMG_20180124_210730.jpg

MAREKANI: Aliyekuwa Daktari wa timu ya Olimpiki, Larry Nassar(54) amehukumiwa kwenda jela miaka 175 baada ya kupatikana na hatia ya unyanyasaji wa kijinsia

Dokta Larry Nassar amethibitika kuwafanyia unyanyasaji huo Wanamichezo wa Kike kwa miaka mingi aliyokuwa akihudumu kama Daktari wa timu ya Olimpiki ya Marekani

Takribani Wanamichezo Wanawake 160 walifika katika Korti huko Michigan na kutoa ushahidi kuhusu shauri hilo la Daktari huyo

Jaji Aquilina aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo amenukuliwa akisema kuwa "Kama ilivyokuwa heshima kuwasikiliza wahanga hawa 160, pia ni heshima kukuhumu. Kwasababu hiyo hustahili kutembea tena nje ya Gereza. Nimekwisha saini hati yako ya kifo"

=======
Ex-US Olympic gymnastics team doctor Larry Nassar has been sentenced to 40 to 175 years after testimony from nearly 160 of his victims.

The judge dismissed Nassar's attempted apology as insincere, saying he would "be in darkness the rest of his life".

Nassar pleaded guilty to 10 counts of sexual assault against girls and young women, including Olympians.

The 54-year-old had already been sentenced to 60 years for possession of child pornography.

Judge Rosemarie Aquilina told Nassar during the sentencing: "As much as it was my honour and privilege to hear the sister survivors, it was my honour and privilege to sentence you.

"Because, sir, you do not deserve to walk outside of a prison ever again."

She told the paedophile: "You have not owned yet what you did. I wouldn't send my dogs to you, sir.

"I've just signed your death warrant".

Following seven days of emotional testimony from Nassar's victims, he was given an opportunity to address the court.

"What I am feeling pales in comparison to the pain, trauma, and emotional destruction that all of you are feeling," he told the packed courtroom.

"There are no words to describe the depth and breadth of how sorry I am for what has occurred," he added.

A story of survival
Rajini Vaidyanathan, BBC News, Lansing, Michigan

Throughout the seven-day hearing, the stories have been strikingly similar - the former USA Gymnastics team doctor would call the women in for treatment, but instead of taking away their pain, he stole their innocence. Some were so young they didn't realise until years later that they had been sexually abused.

As Larry Nassar sat in his prison overalls, just metres away from them, survivor after survivor looked him in the eye and reminded him of what he'd done to them. And that's been the most extraordinary thing about this hearing.

While the content of their testimony has been harrowing, it's also been inspiring. For survivors of sexual abuse it's hard to relive the experience, let alone do so in front of your attacker.

Chanzo: BBC
 
hii inapeleka ujumbe mkali kwa wale wote wanyanyasaji wa kijinsia,hapa kwetu ME anampiga KE,kinachotokea ME anaonekana shujaa kwa kumdhibiti KE,huu upuuzi fanyia hapa hapa kwetu ,kwingine utachezea miaka jela na criminal record juu,kwetu anapiga au kudhalilisha mtu Mwanza ukihamia Lingusenguse unakuwa mtu mpya!,COMMON HON.Nchemba hizi life books zitatoka lini hapa kwetu?hili sio jambo la kisiasa ni muhimu kwa nchi,ni lazima taifa letu litambue raia wake,lijue raia wake wanaishi vipi na faida nyingine nyingi tu za kuwa na life books,huwezi kutoa vitambulisho vya uraia vyenye ukomo!,huu ukomo unatokea mtu anapofariki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom