Elections 2010 Marekani, Canada, Australia, UK Watuma Salamu za Pongezi kwa JK

Kwani ya mashimo wanayotuachia kule Lake zone ni nani si ndiyo hawa hawa unataka waseme nini? Uwiii tumalike
 
Lakini pia kuchelewa hivi kutuma kuna ujumbe wake mzito sana. Ni namna ya kuhoji legitimacy ya ushindi huu.
 
Jamani si jamaa amesema this is an hoax, au hatujui nini maana ya hoax? Labda atupe kwanza source ya hii habari yake ni wapi kama sio hoax kweli!!!!

Tiba
 
Lakini pia kuchelewa hivi kutuma kuna ujumbe wake mzito sana. Ni namna ya kuhoji legitimacy ya ushindi huu.

nini maana ya hoax?

Au mimi tu ndo sikumwelewa mzee wa kumchukia jk kuliko wote...naona ananipita hata mimi
 
A hoax is a deliberately fabricated falsehood made to masquerade as truth. It is distinguishable from errors in observation or judgment, or rumors and urban ..
 
A hoax is a deliberately fabricated falsehood made to masquerade as truth. It is distinguishable from errors in observation or judgment, or rumors and urban ..

Ahsante mkuu.

Huu uzi ni burdani kwa ajili ya Press Release ya Ubalozi wa UK kuwashushua kitengo cha CCM( TAKUKURU ) na kampeni yao ya kumsafisha fisadi Chenge.
 
Mods.

Kama kuna mtu haelewi maana ya msamiati 'hoax' na ana status ya premier avuliwe na awe 'member' kwa wiki 1 then arudishiwe status yake ya premium

Sikubaliani na wewe. Tunakubaliana (japo wachache wanaweza kuwa kinyume na mimi pia wakitaka, wana haki ya kikatiba) kwamba kuuliza si ujinga; na asiyeuliza hana ajifunzalo; mficha uchi hazai. Kuna maana gani kujifanya unajua wakati hujui kitu?
 
Thank God. For a second there I thought Obama was stupid enough to associate himself with a failed democracy.
 
2005 Sikumpa Kura Yangu JK; 2010 Sikumpa Kura Yangu JK. Kwa Sababu JK Ni Chekibobu. Siwezi Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Bora Nife Tu, Kuliko Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Chekibobu Hastahili Kuwa Rais wa TZ. Ndiyo Maana Tuna Matatizo Mengi Kwa Sababu ya Huyu Chekibobu JK.


nimeipenda sana hiyo
 
best sa nyingine thithiemu wanajitumia pongezi wenyewe halafu wanasema wametumiwa. We must be sure about this in the first place. Pili kama wamemtumia salamu elewa kuwa wanafurahia kuendelea kuifaidi hii nchi na kutuachia maumivu. All in all, mafisadi ni mafisadi tu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom