Marekani anaijua Urusi nje ndani, awasaidia kuzuia shambulio la kigaidi kanisani mjini St. Petersberg

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,436
17,082
CIA sio watu wa mchezo.

Kulikua na shambulio la kigaidi kubwa lililokua limepangwa kutekelezwa na magaidi mjini St. Petersberg katika kanisa moja.

Shambulio hilo kama lingetekelezwa basi lingeua watu wengi sana. Wakati wote magaidi wanapanga kushambulia mamlaka za Urusi zilikua zimelala usingizi wa pono ila CIA ilikua inamonitor hiyo mipango ya magaidi.

Siku chache kabla halijatekelezwa likiwa limefika 90% ya utekelezaji, Marekani ikawapa tips warusi na wakafanikiwa kuwatia nguvuni wahusika.

Putin amepiga sim Marekani kushukuru kwa kazi nzuri ya CIA ya kuwalinda warusi.

C.I.A. Helped Thwart Terrorist Attack in Russia, Kremlin Says
 
Wamarekani sio mchezo, kuna siku nimechomeka mordem kwenye kompyuta mpakato yangu maeneo ya Kigamboni , mara ika-detect FBI surveillance nikajaribu ku-sign in ikashindikana maana ilinitaka niingize password. Wamarekani wanafuatilia mawasiliano yote tunayofanya kupitia networks zote tunazotumia.

Vv
 
mambo mengine ni siri.
 
CIA sio watu wa mchezo.

Kulikua na shambulio la kigaidi kubwa lililokua limepangwa kutekelezwa na magaidi mjini St. Petersberg katika kanisa moja.

Shambulio hilo kama lingetekelezwa basi lingeua watu wengi sana. Wakati wote magaidi wanapanga kushambulia mamlaka za Urusi zilikua zimelala usingizi wa pono ila CIA ilikua inamonitor hiyo mipango ya magaidi.

Siku chache kabla halijatekelezwa likiwa limefika 90% ya utekelezaji, Marekani ikawapa tips warusi na wakafanikiwa kuwatia nguvuni wahusika.

Putin amepiga sim Marekani kushukuru kwa kazi nzuri ya CIA ya kuwalinda warusi.

C.I.A. Helped Thwart Terrorist Attack in Russia, Kremlin Says
Marekani na Russia wakiamua kuwa marafiki, ughaidi unaisha duniani!
 
Unafiki at work.

CIA na USA kutaka kumuonesha Urusi kuwa yuko uchi mbele za USA.

Iweje kila siku magaidi yanashambulia kule Paris Ufarans na UK , London lakini CIA hawatoi tips japo USA wako kwenye NATO na nchi za Ulaya!?

Hiyo CIA inaweza kugundua ugaidi Urusi tu ila UK au Ufaransa haiwezi kila siku wanashambuliwa?

CIA na USA , wasifanye wengine kuwa wajinga wakati tunaelewa njama na matendo yao yote kote duniani.

Hii ni movie, kama movies za hapo Tanzania.

USA ni wanafiki namba 1 duniani.
 
Back
Top Bottom