Marejesho Roho inauma sana ila sina Cha kufanya(ushauri wako muhimu sana

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
963
1,054
Siku kadhaa zilizopita nilia uzi hapa kichwa cha habari kikisomeka roho inauma ila sina cha kufanya"

Nilikua nalalamika kuwa mchumba wangusimuelewi ameniaga mapema ambayo sio kawaida yake na mambo mengine mengi soma uelewe zaidi kwenye uzi uliopita

Daah wadau wengi walionishauri ilikua ni kweli asilimia 100% kuwa alini cheat that day sasa tokea siku ile akawa amedadilika sana niamuambia kuna shida akasema hakuna Tatizo nikamuambia mbona unanoneka umebadilika sana sio kama mwanzoni akaniambia hapana mimi niko sawa.

Visa vikazidi akawa anapokea cm zangu akijisikia anajibu text akijisikia basi ikabdi siku nimuite nimwambie nina mazungumzo na wewe akaja ila akanambia anakaribia siku zake nikamuambia sijakuita kwa ajili ya ku sex na wewe mekuita tuzungumze akaja.

Mazungumzo yakaanza akanipa historia kuwa alikua na boyfriend wake wa tokea udogoni walikua wanapendana na alimuamini sana na pia na pete alimvalishaga.. Ila badae yule jamaa akampa mimba Rafiki yake kitendo ambacho kilimuuma sana... waka break up.

Badae akatokea jamaa mwingine akamtongoza akawa Hampendi akawa anamlazimisha mimi ndio nikatokea nikamtongoza akawa na mimi kwenye Mahusiano na Akanmbia ni kweli na siku ile nilienda kukutana nae kimwili

Kwa sababu alikua anisumbua sana.. na alikua nae kwenye mahusiano nae kabla mimi sijamtongoza na akaniambia Ni mtu wake ila Hampendi Damn...
Maneno yake yanachanganya ukisoma hii part vizu

Basi mimi nikamuambia kama ndo hivo basi mimi mekuelewa na Mapenzi hayalazimishwii.. nikamumboa show ya mwisho ya kuagana(Hapa nilimtania nimuone msimamo wake) akakubali..

Badae akaniomba sana niwe namtafuta, niwe Nampigia Simu, na kumtumia text na Siku akinihitaji Niende, nikamuambia haiwezekani kwangu itakuwa Ni ngumu sana kufanya hivo kwa hiyo unabdi uzoee hiyo hali akaniambia itaniwia ngumu kuzoea. Baadae nikamwambia Nitajitahidi kuwa Nakutafuta akashukuru sana...

Wakuu najitahidi sana Kutaka Kumpigia Cm na Kumtumia message mkono unakua Mzito saana
tokea amenambia hili jambo leo ni siku ya tatu yeye ndo ananitumia message ya kunijulia na hali na kunipigia simu ila mimi moyo umeshakubali na Nime move on sasa haya maswala ya kunaimbia niwe nampigia simu na Kutumia message siwezi kwa kweli.. wakuu Hapa nifanyeje ?

Niko njia Panda
 
Kama huna sehemu nyingine ambapo unweza kutatua shida zako za kimwili kwa wakati,basi endelea tu kumtafuta ila uwe makini kwa kuwa ukweli umeshaujua na ameamua kuwa muwazi kwako. Ila kama umeamua ku move on just move on usiangalie nyumaa..
Anachokitafuta huyo mwanamke atakipata tu mi sikushauri uwe unamtafuta kwa sababu utakua unaendelea kumkumbuka...
 
Ata mimi Mkuu hilo ndo kusudio langu
 
Huyo mwanamke hatambui thamani yake.
Na hajui kusema No.
Hata akiwa kwenye mahusiano na mtu mwingine bado ukitaka kusex nae atakubali. Amekubali kutumika kama chombo cha starehe.
Mwache aende moja kwa moja atakuletea hatari kuko mbeleni.
 
Sasa hapa unaomba ushauri gani? Unataka kiniambia hujui cha kufanya mpaka sasa?
Siku kadhaa zilizopita nilia uzi hapa kichwa cha habari KIKISOMEKA ROHO INAUMA ILA SINA CHA KUFANYA"

Nilikua nalalamika kuwa mchumba wangusimuelewi ameniaga mapema ambayo sio kawaida yake na mambo mengine mengi soma uelewe zaidi kwenye uzi uliopita

Daah wadau wengi walionishauri ilikua ni kweli asilimia 100% kuwa alini cheat that day sasa tokea siku ile akawa amedadilika sana niamuambia kuna shida akasema hakuna Tatizo nikamuambia mbona unanoneka umebadilika sana sio kama mwanzoni akaniambia hapana mimi niko sawa....

Visa vikazidi akawa anapokea cm zangu akijisikia anajibu text akijisikia basi ikabdi siku nimuite nimwambie nina mazungumzo na wewe akaja ila akanambia anakaribia siku zake nikamuambia sijakuita kwa ajili ya ku sex na wewe mekuita tuzungumze akaja.

Mazungumzo yakaanza akanipa historia kuwa alikua na boyfriend wake wa tokea udogoni walikua wanapendana na alimuamini sana na pia na pete alimvalishaga.. Ila badae yule jamaa akampa mimba Rafiki yake kitendo ambacho kilimuuma sana... waka break up.....

Badae akatokea jamaa mwingine akamtongoza akawa Hampendi akawa anamlazimisha mimi ndio nikatokea nikamtongoza akawa na mimi kwenye Mahusiano na Akanmbia ni kweli na siku ile nilienda kukutana nae kimwili kwa sababu alikua anisumbua sana.. na alikua nae kwenye mahusiano nae kabla mimi sijamtongoza na akaniambia Ni mtu wake....ila Hampendi Damn...
Maneno yake yanachanganya ukisoma hii part vizu
Basi mimi nikamuambia kama ndo hivo basi mimi mekuelewa na Mapenzi hayalazimishwii.. nikamumboa show ya mwisho ya kuagana(Hapa nilimtania nimuone msimamo wake) akakubali..

Badae akaniomba sana niwe namtafuta, niwe Nampigia Simu, na kumtumia text na Siku akinihitaji Niende, nikamuambia haiwezekani kwangu itakuwa Ni ngumu sana kufanya hivo kwa hiyo unabdi uzoee hiyo hali akaniambia itaniwia ngumu kuzoea. Baadae nikamwambia Nitajitahidi kuwa Nakutafuta akashukuru sana...

Wakuu najitahidi sana Kutaka Kumpigia Cm na Kumtumia message mkono unakua Mzito saana
tokea amenambia hili jambo leo ni siku ya tatu yeye ndo ananitumia message ya kunijulia na hali na kunipigia simu ila mimi moyo umeshakubali na Nime move on sasa haya maswala ya kunaimbia niwe nampigia simu na Kutumia message siwezi kwa kweli.. wakuu Hapa nifanyeje ?

Niko njia Panda
 
mmh huyo dada ameamua kuwa mkweli kwasababu ya guilt she is not a bad person, she is just confused, bado hajui anataka nini. Amenikumbusha mimi kabla ya kumpata alienioa i was in a relationship with some1 else and i thout ndo atakuwa mume, mara vuuu nikakutana na mwingine ambae alikuwa na vigezo vyooote nivitakavyo kwa mwanaume nnaetaka kuingia nae kwenye ndoa, so for a while nikawa huku na kule lakini yote ilikuwa guilt tu i ddnt knw how to leave the other guy mwisho nikaamua tu kumwambia ukweli nikazani ntajipunguzia kuhisi vibaya lakini ikawa ndo kama nimeongeza volume, mana aliumia sana kwa kweli, ikabidi nimuombe tuendelee kuwa marafiki to easy the guilt na kweli tulikuwa marafiki for a while hata sendoff alinichangia, nilipoingia kwenye ndoa na mawasiliano ya simu tuliyokuwa nayo yakaishia hapo
 
Ukweli unauma ila ndio ukweli... wewe na huyo dada (mpenzi) bado hamjitambui.
 
Siku kadhaa zilizopita nilia uzi hapa kichwa cha habari KIKISOMEKA ROHO INAUMA ILA SINA CHA KUFANYA"

Nilikua nalalamika kuwa mchumba wangusimuelewi ameniaga mapema ambayo sio kawaida yake na mambo mengine mengi soma uelewe zaidi kwenye uzi uliopita

Daah wadau wengi walionishauri ilikua ni kweli asilimia 100% kuwa alini cheat that day sasa tokea siku ile akawa amedadilika sana niamuambia kuna shida akasema hakuna Tatizo nikamuambia mbona unanoneka umebadilika sana sio kama mwanzoni akaniambia hapana mimi niko sawa....

Visa vikazidi akawa anapokea cm zangu akijisikia anajibu text akijisikia basi ikabdi siku nimuite nimwambie nina mazungumzo na wewe akaja ila akanambia anakaribia siku zake nikamuambia sijakuita kwa ajili ya ku sex na wewe mekuita tuzungumze akaja.

Mazungumzo yakaanza akanipa historia kuwa alikua na boyfriend wake wa tokea udogoni walikua wanapendana na alimuamini sana na pia na pete alimvalishaga.. Ila badae yule jamaa akampa mimba Rafiki yake kitendo ambacho kilimuuma sana... waka break up.....

Badae akatokea jamaa mwingine akamtongoza akawa Hampendi akawa anamlazimisha mimi ndio nikatokea nikamtongoza akawa na mimi kwenye Mahusiano na Akanmbia ni kweli na siku ile nilienda kukutana nae kimwili kwa sababu alikua anisumbua sana.. na alikua nae kwenye mahusiano nae kabla mimi sijamtongoza na akaniambia Ni mtu wake....ila Hampendi Damn...
Maneno yake yanachanganya ukisoma hii part vizu
Basi mimi nikamuambia kama ndo hivo basi mimi mekuelewa na Mapenzi hayalazimishwii.. nikamumboa show ya mwisho ya kuagana(Hapa nilimtania nimuone msimamo wake) akakubali..

Badae akaniomba sana niwe namtafuta, niwe Nampigia Simu, na kumtumia text na Siku akinihitaji Niende, nikamuambia haiwezekani kwangu itakuwa Ni ngumu sana kufanya hivo kwa hiyo unabdi uzoee hiyo hali akaniambia itaniwia ngumu kuzoea. Baadae nikamwambia Nitajitahidi kuwa Nakutafuta akashukuru sana...

Wakuu najitahidi sana Kutaka Kumpigia Cm na Kumtumia message mkono unakua Mzito saana
tokea amenambia hili jambo leo ni siku ya tatu yeye ndo ananitumia message ya kunijulia na hali na kunipigia simu ila mimi moyo umeshakubali na Nime move on sasa haya maswala ya kunaimbia niwe nampigia simu na Kutumia message siwezi kwa kweli.. wakuu Hapa nifanyeje ?

Niko njia Panda
Una miaka mingapi mkuu mpaka ushindwe kuamua hapo? Kinachokuweka njia panda ni nini sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom