Marehemu seif ramadhani athumani azikwa dubai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marehemu seif ramadhani athumani azikwa dubai

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MziziMkavu, Aug 22, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280


  [​IMG]MAREHEMU
  SEIF RAMADHAN ATHUMAN

  JUMUIYA YA WATANZANIA UNITED ARAB EMIRATES INATOA POLE KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA MAREHEMU NDUGU YETU BW. SEIF RAMADHAN ATHUMAN MKAZI WA ILALA QUARTERS DAR ES SALAAM ALIYEFARIKI TAREHE 6 AGOSTI 2010 NA KUZIKWA TAREHE 19 AGOSTI 2010 BAADA YA SWALA AL ASR KWENYE MAKABURI YA AL QUOZ, DUBAI UAE BAADA YA KUKAMILIKA KWA TARATIBU ZA KISERIKALI NA KUPATIKANA MWILI WA MAREHEMU
  JUMUIYA INAWASHUKURU NDUGU WA MAREHEMU WALIOKO NYUMBANI TANZANIA NA WATANZANIA WOTE WA UAE KWA MSHIKAMANO TULIOKUWANAO KATIKA KIPINDI KIGUMU WAKATI WA KUSHUGHULIKIA TARATIBU ZA KISERIKALI, SHUKRAN ZA PEKEE ZIENDE KWA:
  • NDUGU WA MAREHEMU KWA IDHINI ZAO
  • CONSUL GENERAL WA TANZANIA KWENYE FALME ZA DUBAI NA UAE KASKAZINI BW. ALI AHMED SALEH KWA KUIWEZESHA JUMUIYA KIITIFAKI KWENYE SERIKALI YA DUBAI
  • BW. RASHID ABEID SUBHA KWA WAKATI NA JITIHADA ZAKE KWENYE KUFANIKISHA MAZISHI YA NDUGU YETU

  MOHAMED SHARIFF
  MWENYEKITI JUMUIYA YA WATANZANIA UAE

  [​IMG] WAKATI WA KUSUBIRI SWALA YA AL ASR NA KUMSWALIA MAREHEMU[​IMG] WAKATI WA KUMDINDIKIZA MWENZETU[​IMG] SHEIKH MUHIDIN BIN ABDULRAHMAN (ALIYEKETI) AKIONGOZA MAZISHI

  Source: MICHUZI
   
 2. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Allah ailaze roho marehemu mahari pema akhela
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,706
  Trophy Points: 280
  Apumzike kwa amani mkubwa wetu!
   
Loading...