hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,115
Daah aisee bonge la ngoma hilo ...Hivi wimbo wa Sina demu wa B Boy alitengeneza huyu Roy?
Sina demu kama unavyoniona mpenzi ..ndio maana nimekuchagua wewe ukidhi yangu mahitaji' sio kwamba mimi sitaki demu .ila sijaona mwenye sifa" uzuri ulionao wewe malaika wangu
Sent using Jamii Forums mobile app