Marehemu Roy alikuwa anajua sana

Dah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.
Ndio nyimbo zilizonifanya nikatiwa mimba miaka ile ya 2005.
Dah!
Kila nikizisikiliza nyimbo hizi, nakumbuka bikra yangu niliyopoteza kwa kwenda Club miaka hiyo kusikiliza hizi nyimbo.
R.I.P Roy ndani ya G2
Una mambo wewe
 
P funk na yeye ni hatari sana nikipiga kibanda cha simu ya soggy kwenye system yangu hapa utumbo unatetemeka paa linataka kung'oka afu mimi sijui nikoje yaani napenda ngoma za kitambo tu, yaani saivi na usiku huu namsikiliza
kala_pina_asiye kibali kishindwa!
 
Lamar barna nae alikuwa ana mizuka yake hatariii...sijui alipuliza vitu gani siku anatengeneza ile ngoma ya Geez mabovu(R.I.P mwanangu wa ukweli) ft. Jay Mo mbakiaji,Ngosha the don and Chidi Benzino...daah ile ngoma ina mzuka wa hatari sanaaa.
R.I.P Roy...huyu jamaa alikuwa anatandika bass flan hivi daah hatariii
Hapo kwa lamar bila kusahau...Langa ft chid benz-Naposimama...huu mkono lamar alitisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P funk na yeye ni hatari sana nikipiga kibanda cha simu ya soggy kwenye system yangu hapa utumbo unatetemeka paa linataka kung'oka afu mimi sijui nikoje yaani napenda ngoma za kitambo tu, yaani saivi na usiku huu namsikiliza
kala_pina_asiye kibali kishindwa!
Mkuu unaweza kuiweka hiyo ngoma ya kalapina hapa...nmeitafuta sana cjaipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah kaka na kuna ngoma kibao za mensen zina quality mbovu.
Kuna ile ngoma ya country boy ft linah ngoma nzuri ila production mbovu saaana yani saana nikitaka isikiliza uwa naipenda, inabidi niiskilize kwa sauti ya chini
Inaitwa MATESO. Kaka hii ngoma naisikiliza hadi mwaka huu. Naipenda sana kutoka moyoni. Video yake alikuja kushoot Adam Juma nae akalipua lipua tu.

Ngoma kali isiyo na bahati from Audio to Video. Bongo nyosso!
 
Roy bonge la Mnyamwezi mtu wangu. Katikawatu fulani unaokutana nao na kuona huyu clean heart halafu ana talent halafu mtu poa kabisa Roy nimmoja wapo.

Kuna siku nilikutana naye Raha Towers, kipindihicho 1999 Internet tunaifuata pale juu Raha Tower kwenye ki internet Cafe,unatoa buku unakaa saa moja or so.

Roy akaniita, kaingia website gani hukosijui ina piano online, sasa ile keyboard ime map keys zote za piano, unaweza kupiga piano kwa keyboard ya computer. Roy akawa anapiga nyimbo za Hip Hop, mara Eminem, mara Dr. Dre.

Mimi nikawa naangalia tu utundu wake.

Bonge la talent tumepoteza.

R.I.P Roy.
Mmmh! Kuanzia mwaka 2003 na kuendelea, kulipia huduma ya Internet kwenye Cafe ilikuwa Jero unapewa lisaa lizima huku nusu saa ikiwa ni 300 tu. Sasa inawezekanaje mwaka 1999 iwe Buku kwa saa???
 
Hakika mkuu kwa post hii umeusuuza moyo wangu nlikua naitafuta sana hii nyimbo dah .aliye imba ni nani mkuu?tuanzie hapo kwanza.
Hahaha mkuu jamaa aliyeimba huu wimbo wa gita jina lake alikuwa anaitwa NANI.

Gita NANI nakuita, itika basiii..



Kawimbo kalikuwa katamu hako balaa!
 
Enzi hizo zeze inatamba kutoka 2eyes

Adam wa visual lab kafia wapi jamani maana ndiyo aliyeleta mapinduzi kwenye video Tzz
2 EYEZ Production ya Frank Mtao. Jamaa alikuwa talented sana baadaye nikasikia amehamishia makazi ughaibuni.

Halafu mshikaji alimuoa Chuchu Hans lakinin wakashindwana hatimaye demu siku hizi analiwa kisela na akina Ray Kigosi.
 
Yupo kwani aliyetengeneza mabundi si akili?
Enzi za regina sema mimi napenda zaidi bongo bangla.
Enzi za steve 2k (RIP)
Nakumbuka 2berry walipotoka walitisha na shirko alikuwa anachana ka sean paul sema beat zake ziliko zafanana

Ha ha ha! Producer Shirko alibamba sana na 2Berry enzi zile akiingiza verse yake kama Sean Paul vile aisee. Siku hizi anatengeneza ngoma za Aslay na Kaswida.

Halafu mchizi anamla binamu yangu cheupe dawa Zulfa maaninah zake!
 
Dah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.
Ndio nyimbo zilizonifanya nikatiwa mimba miaka ile ya 2005.
Dah!
Kila nikizisikiliza nyimbo hizi, nakumbuka bikra yangu niliyopoteza kwa kwenda Club miaka hiyo kusikiliza hizi nyimbo.
R.I.P Roy ndani ya G2
Kwanini unaikumbuka?

Leo ungekuwa nayo ungeifanyia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom