kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,299
- 6,321
Haswa siyo uongoKumbe? Basi ndiyo maana 20% alikuwa analalamika
Haswa siyo uongoKumbe? Basi ndiyo maana 20% alikuwa analalamika
Dah. Umenikumbusha mshkajibwangu Steve 2K.Mi Regina nlikua naipenda haswa!
Steve 2k yule mshikaji aliyemuua(Castro) hivi ashatoka jela?
Enzi zile ray c ndo queen wa bongo fleva alitiwa makofi na kajala siku moja baada ya kuskia anatoka nae
Halafu Amit nae kamla ray c
Vipi casto ashatoka segerea?Dah. Umenikumbusha mshkajibwangu Steve 2K.
Yani jamaa ni binge ka optimist sijawahi kuona.
Mnaweza kuwa katika bonge la jam unataka kuchachawa, Steve ndo kwanza anacheka kicheko chake cha ki clown, halafu anakwambia "bro, mambo yatakuwa poa tu". Ukimuuliza details yatakuwaje poa anakwambia poa tu (hata yeye hajui hapo, ila yuko positive mpaka inatisha).
Na kweli mambo yanakuwa poa mnamaliza zali.
Jamaa alikuwa bonge la optimist.
R.I.P
Hata sifahamu mkuu, ila kaniondolea mshkaji ambaye we go way back.Vipi casto ashatoka segerea?
kukodi red ya ukweli ni laki 6 per day..nani anataka presha!?Vifaa mbona watu wanakodi pale wanene wana mavifaa ya kila aina
Kweli jamaa yako alikuwa anaishi kwa matumaini ile ya mary mary itakuwa sawaHata sifahamu mkuu, ila kaniondolea mshkaji ambaye we go way back.
Vizuri gharama maana red sijui version latest niliona thamani yake unanunua range toka south na chenji inabakibkwa ajili ya kulitia mafuta miezi kadhaakukodi red ya ukweli ni laki 6 per day..nani anataka presha!?
Dah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.
Ndio nyimbo zilizonifanya nikatiwa mimba miaka ile ya 2005.
Dah!
Kila nikizisikiliza nyimbo hizi, nakumbuka bikra yangu niliyopoteza kwa kwenda Club miaka hiyo kusikiliza hizi nyimbo.
R.I.P Roy ndani ya G2
red so mchezoVizuri gharama maana red sijui version latest niliona thamani yake unanunua range toka south na chenji inabakibkwa ajili ya kulitia mafuta miezi kadhaa
AidsHivi nini kilimtoa uhai Roy?
The man was talented na alipofariki naona mdogo wake enika naye mziki aliupa kisogo.
Yule dada anajua sana nikikumbuka ngoma yake ya baridi kama hii, nimekubamba sijakubamba, wimbo wa makamoa aliomshirikiaha enika wa baby please, nako2nako- hawatuwezi
Lamar barna nae alikuwa ana mizuka yake hatariii...sijui alipuliza vitu gani siku anatengeneza ile ngoma ya Geez mabovu(R.I.P mwanangu wa ukweli) ft. Jay Mo mbakiaji,Ngosha the don and Chidi Benzino...daah ile ngoma ina mzuka wa hatari sanaaa.Ma producer na studio kibao zimepotea kama sound crafters, kama kawa records, fm studios, fish crab naye simskii
Kuna ngoma aliigonga lamar ya mandojo na domokaya inaitwa we nenda naikubari mpaja kesho
Kajala alimzibua ray c makofi mazuri tuCastro ndiye alimuua steve 2k bwanake joan.
Sina hakika hadi matonya alimuimba kwenye dunia mapito prod by roy again.
Nani alimkata makofi mwenzake kajala au ray c?
Dah ray c nlikuwa nikuona tumbo lake nasema ayaah yaaah kama kwenye she got gwan
kweli lakiniSalama akimpenda mtu uwa hamkosoi.
Yah alipoanza ponda video zikaanza boreshwa.
Kuna wimbo nilikuwa naupenda wa k-lyne ft jaymo- nikipata wangu, salama aliponda video na zile helcopter hadi nkaichukia
jibu hilooDuh humfahamu Roy...ina maana Bongo fleva mmeanza kuisikiliza kipindi cha akina Diamond na Bob Junior??
Nivunje vunje vunjaaaaDah. Umenikumbusha mshkajibwangu Steve 2K.
Yani jamaa ni binge ka optimist sijawahi kuona.
Mnaweza kuwa katika bonge la jam unataka kuchachawa, Steve ndo kwanza anacheka kicheko chake cha ki clown, halafu anakwambia "bro, mambo yatakuwa poa tu". Ukimuuliza details yatakuwaje poa anakwambia poa tu (hata yeye hajui hapo, ila yuko positive mpaka inatisha).
Na kweli mambo yanakuwa poa mnamaliza zali.
Jamaa alikuwa bonge la optimist.
R.I.P
Hahahaa hamumjui Roy ..daahh keeling mnasikitishaMimi mwenyewe natoa mimacho hata simuelewi. Alikufa kwa ugonjwa au ajali?
HahahaDah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.
Ndio nyimbo zilizonifanya nikatiwa mimba miaka ile ya 2005.
Dah!
Kila nikizisikiliza nyimbo hizi, nakumbuka bikra yangu niliyopoteza kwa kwenda Club miaka hiyo kusikiliza hizi nyimbo.
R.I.P Roy ndani ya G2
Miikamwamba ni mtu hatari sana huyo ..tamala ni ngoma ya hard mad ... halafu hakuishia kwenye tamala tumikamwamba..alitengeneza ngoma moja inaitwa tamala...cjui ya nani....hatar kwa vinanda