Marehemu Roy alikuwa anajua sana

Mi Regina nlikua naipenda haswa!
Steve 2k yule mshikaji aliyemuua(Castro) hivi ashatoka jela?
Enzi zile ray c ndo queen wa bongo fleva alitiwa makofi na kajala siku moja baada ya kuskia anatoka nae

Halafu Amit nae kamla ray c
Dah. Umenikumbusha mshkajibwangu Steve 2K.

Yani jamaa ni binge ka optimist sijawahi kuona.

Mnaweza kuwa katika bonge la jam unataka kuchachawa, Steve ndo kwanza anacheka kicheko chake cha ki clown, halafu anakwambia "bro, mambo yatakuwa poa tu". Ukimuuliza details yatakuwaje poa anakwambia poa tu (hata yeye hajui hapo, ila yuko positive mpaka inatisha).

Na kweli mambo yanakuwa poa mnamaliza zali.

Jamaa alikuwa bonge la optimist.

R.I.P
 
Vipi casto ashatoka segerea?
 
Dah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.
Ndio nyimbo zilizonifanya nikatiwa mimba miaka ile ya 2005.
Dah!
Kila nikizisikiliza nyimbo hizi, nakumbuka bikra yangu niliyopoteza kwa kwenda Club miaka hiyo kusikiliza hizi nyimbo.
R.I.P Roy ndani ya G2
:D:D:D:D:D
 
Hivi nini kilimtoa uhai Roy?
The man was talented na alipofariki naona mdogo wake enika naye mziki aliupa kisogo.
Yule dada anajua sana nikikumbuka ngoma yake ya baridi kama hii, nimekubamba sijakubamba, wimbo wa makamoa aliomshirikiaha enika wa baby please, nako2nako- hawatuwezi
Aids
 
Ma producer na studio kibao zimepotea kama sound crafters, kama kawa records, fm studios, fish crab naye simskii
Kuna ngoma aliigonga lamar ya mandojo na domokaya inaitwa we nenda naikubari mpaja kesho
Lamar barna nae alikuwa ana mizuka yake hatariii...sijui alipuliza vitu gani siku anatengeneza ile ngoma ya Geez mabovu(R.I.P mwanangu wa ukweli) ft. Jay Mo mbakiaji,Ngosha the don and Chidi Benzino...daah ile ngoma ina mzuka wa hatari sanaaa.
R.I.P Roy...huyu jamaa alikuwa anatandika bass flan hivi daah hatariii
 
Castro ndiye alimuua steve 2k bwanake joan.
Sina hakika hadi matonya alimuimba kwenye dunia mapito prod by roy again.
Nani alimkata makofi mwenzake kajala au ray c?
Dah ray c nlikuwa nikuona tumbo lake nasema ayaah yaaah kama kwenye she got gwan
Kajala alimzibua ray c makofi mazuri tu
Halafu yule dogo wa kwenye "sogea"wa ray c nae kamla ray c yule
 
Dah. Umenikumbusha mshkajibwangu Steve 2K.

Yani jamaa ni binge ka optimist sijawahi kuona.

Mnaweza kuwa katika bonge la jam unataka kuchachawa, Steve ndo kwanza anacheka kicheko chake cha ki clown, halafu anakwambia "bro, mambo yatakuwa poa tu". Ukimuuliza details yatakuwaje poa anakwambia poa tu (hata yeye hajui hapo, ila yuko positive mpaka inatisha).

Na kweli mambo yanakuwa poa mnamaliza zali.

Jamaa alikuwa bonge la optimist.

R.I.P
Nivunje vunje vunjaaaa
Hili shuga mamiii
RIP Steve 2k
 
Dah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.
Ndio nyimbo zilizonifanya nikatiwa mimba miaka ile ya 2005.
Dah!
Kila nikizisikiliza nyimbo hizi, nakumbuka bikra yangu niliyopoteza kwa kwenda Club miaka hiyo kusikiliza hizi nyimbo.
R.I.P Roy ndani ya G2
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom