Marehemu mangwea anapogeuzwa mtaji!!

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
MAREHEMU ANAPOGEUZWA MTAJI. . . . . . . HILI NI TANGAZO KATKA KIPEPERUSHI. . . . . '' Hakikisha unanunua tisheti orijino, tisheti za kampuni yetu zina ufito unang'ara pale chini ya neno R.I.P na pia jina la marehemu limewekewa mng'aro wa rangi ya dhahabu! Usidanganyike na wengne Msisitize na mwenzako, mjitokeze kwa wingi'' . . . . . . . He! Kumbe na tisheti tayari orijino na feki! Sasa kama msiba unazua upinzani wa kibiashara na kusisitizwa kufika kwa wing kama sherehe vile. KUNA UCHUNGU HAPA?
 
'kwani we hujui kama kufa kufaana mkuu,araaaaa...'
 
Hujui maisha siku hizi magumu so ndio mambo yenyewe hayo
 
wabongo wanapenda sana fursa nasikia rugay alipeleka watu kule bondeni kutumia fursa hakika kufa kufaana na rip za kinafiki juu.
 
kuna msemo wa kiswahili usemao 'sio kila anayelia kwenye msiba ana uchungu na marehemu' baadhi ya wabongo wameamua kuu2mia mcba wa Mangwea kujinufaisha.
 
Hii kibongo si kitu ya kushangaa km watu wanakula fedha za rambirambi hili dogo sana
 
MAREHEMU ANAPOGEUZWA MTAJI. . . . . . . HILI NI TANGAZO KATKA KIPEPERUSHI. . . . . '' Hakikisha unanunua tisheti orijino, tisheti za kampuni yetu zina ufito unang'ara pale chini ya neno R.I.P na pia jina la marehemu limewekewa mng'aro wa rangi ya dhahabu! Usidanganyike na wengne Msisitize na mwenzako, mjitokeze kwa wingi'' . . . . . . . He! Kumbe na tisheti tayari orijino na feki! Sasa kama msiba unazua upinzani wa kibiashara na kusisitizwa kufika kwa wing kama sherehe vile. KUNA UCHUNGU HAPA?

Ruge alisisitiza sana utumiaji wa fursa zilizopo,hivyo hiyo nayo ni fursa waache wajasiriamali waitumie.
 
Clouds wanapiga pesa mpaka za wafu, Milad Ayo nae karudi?
 
Mwisho wa simu familia ya marehemu wanaiachia madeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom