mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,912
- 5,255
Kama ndivyo salakasi zote za nini? . mara hatujamkamata, tumemkamata, sio raia, utakatishaji fedha.
Kwanini ushahidi hadi leo uwe bado wakati mambo ni wazi hivyo unavyo yasema, si kesi ianze ushahidi uwekwe mezani afungwe. Kuliko hizo sarakasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ushahidi hadi leo uwe bado wakati mambo ni wazi hivyo unavyo yasema, si kesi ianze ushahidi uwekwe mezani afungwe. Kuliko hizo sarakasi
Hakuna uhusiano wowote kati ya huyo jamaa na Kabendera, kwanza huyo jamaa alikuwa anafanya wizara ya fedha na sio EU, get your facts straight na sio hearsay za Ufipani. Kabendera ametumika na beberu kwa maslahi yake binafsi na genge lake, anachopata saivi ni stahili yake ndogo kwa madhari aliyokuwa anasababishia wengine wakati anatumika kuichafua serikali kwa kulipwa.
Sent using Jamii Forums mobile app